Hizi ni sababu 5 zilizomfanya mke wa Paul Okoye (P-Square) Anita aombe talaka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 179

  • @tinakhan2235
    @tinakhan2235 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu, Peter namtaka Ata awe na mapungufu gani... Hakuna alie mkamilifu duniani... Na penda toka zamani za utoto wangu ❤️❤️ nikimuona wakiimba na nduguze

    • @tinakhan2235
      @tinakhan2235 3 ปีที่แล้ว

      I mean Paul aka rude boy...

    • @sweetyjanne255
      @sweetyjanne255 3 ปีที่แล้ว

      Tuko Wengi Aachie Ngazi Tuingieee😂😂😂😂

    • @syliviathomas4547
      @syliviathomas4547 2 ปีที่แล้ว

      Hahahahaaaaa bonge handsome kabisa apishe watu wachangamkie frusa

  • @luluelisante9658
    @luluelisante9658 3 ปีที่แล้ว +3

    Uendelee kutujuza broo nawapenda sn hawa Mr & Mrs p , na naumia sn kuvunjika kwa ndoa yao sikuwahi kuhisi haya

  • @RuzoOwzy
    @RuzoOwzy 3 ปีที่แล้ว +20

    Mlango mmoja ukifungwa, mwingine wafunguliwa.
    Natumaini mlango wa kundi la PSquare kurudi umefunguliwa.

  • @incredibleafricaadventures
    @incredibleafricaadventures 3 ปีที่แล้ว +25

    Kimeumana....simple logic ni kuwa awarudishe watoto Nigeria walelewe na baba na yeye aendelee na maisha mengine.

    • @ndegejr4218
      @ndegejr4218 3 ปีที่แล้ว +1

      Watoto bado ni wadogo hawawezi kukaa na Baba bill mama

    • @donaldmhulula6888
      @donaldmhulula6888 3 ปีที่แล้ว +2

      @@ndegejr4218 matoto yapo kwenye nchi ya watu hayo matunzo yanayo endana na uchumi wa nchi kama marekani ita kuaje ?mwanamke asha cheat huyo ana taka kumfirisi mhuni !

    • @donaldmhulula6888
      @donaldmhulula6888 3 ปีที่แล้ว +2

      warudi Nigeria africa ni africa sasa wapo nchi ya watu tena yenye uchumi wa juu ! huyu mama ana taka kumfirisi mhuni !

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 3 ปีที่แล้ว

      @@donaldmhulula6888 lakini umesikia maelezo vizuri? Mwanamke anamtaka mume,,,mume hataki sasa afanye nn

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 3 ปีที่แล้ว +7

    Mtihan kweli ndoa hizi

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 3 ปีที่แล้ว +16

    Ndo hpo wanasema mapenzi ni pesa
    Kumuimbia mpenzwako
    Kumuenzi mpnzwako
    Kuishi kifahari na mpnzwako
    Mpe jumba Kali
    Miliki ndege
    Jamaaa kakosa Nini hpo utakuta demu bdo anatoka nje au mchizi anatoka nje na walikuwa wapnz tangu watoto hawa 😂😂😂

  • @stevenchenga1978
    @stevenchenga1978 3 ปีที่แล้ว +13

    Sasa hapa nimegundua kitu ndomaana Diamond Platnumz Simba hataki kuoa na kufunga ndoa kuepuka misala Kama hii😅😅...Kama kihamisa kilivyotaka kumfanyia na hakua amefunga nae ndoa xaxa angekua kafunga sijui ingekuaje😅🔥🔥🔥🔥

    • @alexruhigi
      @alexruhigi 2 ปีที่แล้ว +1

      Kilikua kinataka milion 5 matumizi

  • @jrpatrick2269
    @jrpatrick2269 3 ปีที่แล้ว +12

    Reason with me ndomana imekua hit song

    • @wemakalamu3538
      @wemakalamu3538 3 ปีที่แล้ว +2

      Facts indeed 🤣🤣🤣reason with me my favourite song

  • @valentinesyekeye6846
    @valentinesyekeye6846 3 ปีที่แล้ว +17

    Na hapo ndo wanawake wanatupasua vichwa,,,

  • @iHeizar
    @iHeizar 3 ปีที่แล้ว +8

    PSQUARE LOADING…..

    • @rockyvlogs2214
      @rockyvlogs2214 3 ปีที่แล้ว

      Ila huyu yule pacha wake si alimwambia

  • @ashudahiza7871
    @ashudahiza7871 3 ปีที่แล้ว +2

    kumbe mm mjinga nadai talaka wala sihitaj matumiz ya mtu .Asante mungu kwa.ujasir.huu .

  • @halpajordan2841
    @halpajordan2841 3 ปีที่แล้ว +8

    Kwan uyu ndy chanzo Cha peter na poul wagonbane kabisa jaman af Leo anamuacha uyu kaka daaaaaah

    • @adolphmwangoje2887
      @adolphmwangoje2887 3 ปีที่แล้ว +1

      Co huyu ni mke wa yule mwingine

    • @halpajordan2841
      @halpajordan2841 3 ปีที่แล้ว +2

      @@adolphmwangoje2887 apo sawa, mana moyo Wang ulikua unaniuma apa

    • @tinajulius6522
      @tinajulius6522 3 ปีที่แล้ว

      Ilikuaje

  • @mbarikiwambarikiwa6479
    @mbarikiwambarikiwa6479 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmhh Tz yangu talaka unapewa na Child sapot hakuna.

  • @officialpriscillakiloko9811
    @officialpriscillakiloko9811 3 ปีที่แล้ว +3

    Wah pakali sana

  • @lifecoachwithlina1879
    @lifecoachwithlina1879 3 ปีที่แล้ว +8

    Then she's claiming for her right as a married woman,in fact when you look at those reasons , It seems Anitha still loves her husband & she's even redy for reconciliation.He better reconcile than pay allot of money for the bills.

  • @4dakulture651
    @4dakulture651 3 ปีที่แล้ว +38

    Ndugu ni ndugu,wanawake watakuacha

    • @jumatingi2047
      @jumatingi2047 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwanamke ni nyoka

    • @maryswai625
      @maryswai625 3 ปีที่แล้ว +3

      Sasa hapo angefanyaje ata unyumba unanyimwa?
      Ataki suluhisho la ndoa ufanyaje uendelee kukaa kama sanam????
      Zamani sana

    • @tamarimahega7569
      @tamarimahega7569 3 ปีที่แล้ว

      Wanaume manyang'au tu

    • @4dakulture651
      @4dakulture651 3 ปีที่แล้ว

      @@tamarimahega7569 pole

    • @maryswai625
      @maryswai625 3 ปีที่แล้ว +2

      @@tamarimahega7569 alafu eti wanatoa maoni Kama hawajasikia dada anachosema

  • @priscakalasa3453
    @priscakalasa3453 3 ปีที่แล้ว +6

    Am Soo sad for this, duuuh ,

    • @sophieatieno5148
      @sophieatieno5148 3 ปีที่แล้ว +1

      I knooow right? I also find this terribly sad. Yaani hiyo miaka yote jamani alafu inaisha hivi 😞🙁🙁

    • @RuzoOwzy
      @RuzoOwzy 3 ปีที่แล้ว +2

      Kuna ile ishu ya kukaa muda mrefu kufahamiana naisikiaga. Hawa walikaa miaka 10 wakifahamiana, then 7 years ya ndoa. Ila chenga.

    • @sophieatieno5148
      @sophieatieno5148 3 ปีที่แล้ว +1

      @@RuzoOwzy Ulichosema ni ukweli. Walijuana kitambo sana. Inasikitisha sana 🙁

    • @priscakalasa3453
      @priscakalasa3453 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sophieatieno5148 yaan,duuh and I think hizo reasons alizozi mention Mrs if it is true mbona Kama ni vitu za kurekebishika tuu,but may be there is other thing behind the scene,only them knows. Dear God awaepushe na hayo mavurugano jaman,it pains.

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 3 ปีที่แล้ว +2

      @@priscakalasa3453 my dear hata kama vitu ni vya kurekebishika lakini huoni efforts,yaani wewe ndo unashikilia penzi inakua situation ngumu mno. Ni vizuri ujue uko single kuliko uko kwenye marriage ambayo you still feel alone. Ndoa ambayo mmoja hauko supportive ya nini? Yaani mpk tendo lenyewe la halipo,hiyo ndoa tena,ni ishakufa kasoro mazishi tu.

  • @angelngoye4910
    @angelngoye4910 3 ปีที่แล้ว +6

    Oooooh noooo this saad

    • @Chicoamantez
      @Chicoamantez 3 ปีที่แล้ว +1

      Very very, I really liked them😢

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 ปีที่แล้ว +6

    Mtu mwenyewe anaitwa RUDE ,,, unategemea nn

  • @erastobartalome2709
    @erastobartalome2709 3 ปีที่แล้ว

    Hatuoi sisi

  • @ShSh-my8cw
    @ShSh-my8cw 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtiani jaman

  • @hopechidera
    @hopechidera 3 ปีที่แล้ว +6

    Sasa huyo Anita nae anaomba talaka Nigeria kisha anakimbilia Marekani na anataka usaidizi wote ulingane na hesabu za Marekani c ndo ushetani wote huo. Kwa hilo Paul nae asimame kwa kusema warejee kwanza Nigeria. Sasa alitaka washiriki tendo la ndoa na kashakimbilia Marekani???Anita haeleweki...

    • @nellymatalanga5033
      @nellymatalanga5033 3 ปีที่แล้ว

      Ajabu they know aki file na ako marekani hela zitatoka nyinyi sio kama akibaki Nigeria . Bwana angelikuwa maskini isingekuwa issue mara Kotini etc

    • @smarty1064
      @smarty1064 3 ปีที่แล้ว +3

      hiyo inaitwa akili ya kutafuta pesa kwa mfumo wa ki gold-digger hajasema kwann ananyimwa unyumba huyo Paul ni kichaa akaamua amnyime tu? kuna kitu kalifanya haka ka manzi

    • @sadikimwalongo7871
      @sadikimwalongo7871 3 ปีที่แล้ว

      Wanawake mungu anawaona

    • @sadikimwalongo7871
      @sadikimwalongo7871 3 ปีที่แล้ว +1

      Wanawake mna nini lakini nilijua mimi tu..na jamaa aligoma kushiliki tendo la ndoa baada ya mke huyo kurudiana na x wake wazamani pumbafu.taarifa zinasema mke huyo ndie alie fanya kundi lake kusambaratike na pacha wake..alilazimisha awe meneje wake jamaa aligoma alitaka wasafiri wote mahali popote anapo enda kutumbuiza jamaa akagoma mwanamke alitaka kumuendesha jamaa kama garj bovu jamaa akagoma ni msimamo kwa kwenda mbele safi sana p mungu wahurumie wanawake

    • @smarty1064
      @smarty1064 3 ปีที่แล้ว

      @@sadikimwalongo7871 the X always re-appear 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi1141 3 ปีที่แล้ว +4

    Anahisi mume wake pesa anazihogota

  • @issaissah8832
    @issaissah8832 3 ปีที่แล้ว +1

    Unazani kwanini wali itwa hawa

  • @swaumujuma3209
    @swaumujuma3209 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh

  • @mariasalomemelchiorkaigaru1974
    @mariasalomemelchiorkaigaru1974 3 ปีที่แล้ว

    Duh! Mitihani

  • @paulebby1552
    @paulebby1552 3 ปีที่แล้ว +5

    Paul means msimamo 😂😂😂😂

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 ปีที่แล้ว +3

    Ndunguwapedane mukenimuke wafasiyengine

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 3 ปีที่แล้ว +1

    Sawa

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona pesa nyingi ivo🤔ao anataka utajiri kupitia mumeo 😆

    • @mariyammaria3366
      @mariyammaria3366 3 ปีที่แล้ว

      Ndio kakake rude alimgundua bt rude akajifanya

    • @ashuraussein7582
      @ashuraussein7582 3 ปีที่แล้ว

      @@mariyammaria3366 akajifanyaje!

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 ปีที่แล้ว +3

    Arengeshe watoto kwao kwani kunaulazima gani Hao watoto kuwa marekani???

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 3 ปีที่แล้ว +1

      Kama watoto wamezaliwa marekani kurudishwa siyo kirahisi. Nchi za watu zinasheria zao.

    • @phinaswai4718
      @phinaswai4718 3 ปีที่แล้ว +1

      @@damariszuckschwert9489 watoto wamezaliwa nigeria wote

    • @neemayatosha1618
      @neemayatosha1618 2 ปีที่แล้ว

      Awarejeshe kwao wapi,kwani yeye sio wake?

  • @jellymbogo7246
    @jellymbogo7246 2 ปีที่แล้ว

    Na hapa ndo tnapopasuliwa vichwa na hzi mbuzi

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว +3

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @isaacsimon3580
    @isaacsimon3580 3 ปีที่แล้ว +6

    35mil analipwa kwa kufanya nini? Kulea watoto au?

    • @yhasintakalenyula970
      @yhasintakalenyula970 3 ปีที่แล้ว

      Yaani mie nimeshtuka...M.35 kwa mwezi🤔🙆🙌

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 3 ปีที่แล้ว

      Hapana, eti ni spouse support yaani ni hela yake ya kujikimu tu.
      Dunia na maajabu yake.

    • @jrpatrick2269
      @jrpatrick2269 3 ปีที่แล้ว +1

      @@unclepwechnov1381 😃😃😃😃😃

    • @adambakari9276
      @adambakari9276 3 ปีที่แล้ว +1

      @@unclepwechnov1381 labda ya kuchora chini😀

    • @nellymatalanga5033
      @nellymatalanga5033 3 ปีที่แล้ว +1

      @@unclepwechnov1381 Shida hutokea eti koti kuamua spouse and child support then Ex ana kula bata na wanaume wengine hela yako hehehe ndio maana watu wana katana mapanga ina uma

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Mtihani wallah

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 3 ปีที่แล้ว +12

    Delilah baada yakusambaratisha familia anasepa zake daah wanawake sio watu wazuri

    • @chainbre275
      @chainbre275 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha kweli kbsaaa

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 3 ปีที่แล้ว +1

      Chanzo Cha ugomvi ni mke wa Peter sio wa Paul

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 3 ปีที่แล้ว

      Duuh wanawake jmn

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fasterwalker1464
      Hayo ni mawazo yako lakini aliyoyaorodhesha aliyepeleka shauri mahakamani hilo hajalizungumza kabisa.
      Huwa kuna story za social media au vijiweni na upande wa pili huwa kuna facts and most of the time those two don't click.

    • @kingcopper_tz
      @kingcopper_tz 3 ปีที่แล้ว

      Huyu mbona hausiki, ni mke wa peter

  • @RoseRose-xl8zd
    @RoseRose-xl8zd 3 ปีที่แล้ว +2

    Wanaume ni kutapatapa huku na huku.kwanini mulidate for all those10 years, mumefanya harusi, mumezaa watoto tena imekua humtaki. Kwanini kumpotezea wakati wake. Hao watoto 3 hao ndio ma president wa badae.

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 3 ปีที่แล้ว

      Kuachana kupo ‘ Tatizo kilichosababisha kufikia hatua hiyo ni kipi..? ...tutajua siku nyingine..!

    • @shadrackkamugisha4481
      @shadrackkamugisha4481 3 ปีที่แล้ว

      Unajaji mini wakati haujasikia chochote kutoka kwa paul

    • @isikesamike
      @isikesamike 3 ปีที่แล้ว

      Kwa akili yako kila mahusiano yanayovunjika basi mkosaji ni mwanaume tu? Uko dunia ya saba kabisa wewe.

    • @cezzdankenya6812
      @cezzdankenya6812 3 ปีที่แล้ว

      Mbona Paul anakataa tendo la doa surely...kiswahili ni kingumu kweli

  • @khadijaamur6032
    @khadijaamur6032 3 ปีที่แล้ว

    Usikute kampeleka Marekani kusudi apungukiwe gharama kumbe Shosti ndo katafuta pa kumchuna

  • @egonkasiano7822
    @egonkasiano7822 3 ปีที่แล้ว +1

    Mhhhh

  • @asherykihimbi6317
    @asherykihimbi6317 3 ปีที่แล้ว

    Kimeumana. Arudishe watoto aendelee na michongo yake

  • @khadijakayuzi8471
    @khadijakayuzi8471 3 ปีที่แล้ว

    Ss yeye sindio kaomba talaka kwanini anataka pesa tena 🙄 kama hampi tendo ipo sababu mbona haisemi🤣🤣huyo kaishona family imeelewana anaona aibu ndiomana amekimbilia marekani 😂😂mwisho wa ubaya ni aibuu

  • @isikesamike
    @isikesamike 3 ปีที่แล้ว +5

    Watoto wamekuwa mtaji wa wanawake wa siku hizi.

    • @klystry1234
      @klystry1234 3 ปีที่แล้ว

      Hadi kwa mke napo unarpoka huu ujinga

    • @klystry1234
      @klystry1234 3 ปีที่แล้ว

      Asingemuoa basi

  • @zayb_tz
    @zayb_tz 3 ปีที่แล้ว

    Duuuh

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 3 ปีที่แล้ว +9

    Paul Okoye ni mtaratibu sana hata mama yao alijua Paul angekuwa mchungaji tofauti na kaka yake Peter Okoye ambaye ni mjehuri. Tatizo linakuja Anitha Okoye na Paul Okoye wanalingana umri na pia mkewe amesomea Sheria yaani wanawake waliosoma Sheri ndoa zao zina changamoto sana. Paul Okoye lazima amepata Binti mdogo mbichi ana mchanganya akili.
    Nawashauri vijana usioe mwanamke unayelingana naye umri tena na asiwe uliyesoma naye chuoni akishazaa watoto utakuja kumuona mzee hata kumtamani kimapenzi inapungua.

    • @bennyasseralfred7139
      @bennyasseralfred7139 3 ปีที่แล้ว +2

      Uko sahihi kabisa

    • @adolphmwangoje2887
      @adolphmwangoje2887 3 ปีที่แล้ว

      Sure

    • @saidiissa8729
      @saidiissa8729 3 ปีที่แล้ว +4

      ukuoa mwanamke msomi ni sawa na kupanda miwa jirani na shule ya msingi

    • @hopechidera
      @hopechidera 3 ปีที่แล้ว +13

      #Hillary unawashahuri vijana wasioe wanawake wanaolingana umri tena wasiwe waliosoma nao chuoni. Sasa wale wanaopenda wanawake wanao wazidi umri nao unawashahuri lipi??? Mbona wengi wanawaoa kama pacha wa Paul namaanisha Peter na wapo kwenye ndoa...
      Nami nakushahuri kuwa umri haihusiki kwa kujenga ndoa,swala la ujenzi wa ndoa ni kuvumiliana na kumuomba Mungu tu...

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 3 ปีที่แล้ว +1

      Hayo maoni yako yaheshimiwe ila hayana ukweli kwa upande mwingine

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 3 ปีที่แล้ว +1

    Tendo ana mnyimaa duh 🙄🙄🙄🙄

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 3 ปีที่แล้ว

    Mmnh makubwa

  • @paradisetv4972
    @paradisetv4972 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwetu ss huku hakuna km umeomba taraka ww unaenda ww km ulivyokuja na zile kila siku watoto wanaumwa tunakupiga na bima ya afya shule nalipia account ya shule

  • @egonkasiano7822
    @egonkasiano7822 3 ปีที่แล้ว +1

    Hoyo mwanamke ndo alifanya kundi la psqr livunjike acha na yeye ndoa yake ivunjike

  • @michaeljeremiah5364
    @michaeljeremiah5364 3 ปีที่แล้ว +1

    Aliambiwa akabisha Anita mtata tu

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 3 ปีที่แล้ว

    Wanaume ujinga tutaacha😏

  • @michaelgwimbugwa1535
    @michaelgwimbugwa1535 3 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/MCk7eDGQ1Eg/w-d-xo.html KAANGALIE CEO WA SIMBA BARBRA ALIVYONGEA BAADA YA MANARA KUHAMIA YANGA

  • @winfridapeter969
    @winfridapeter969 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaan Kama hawajawahi kuhishi pamoja au kuzaa,mashart gani hayo unayoyataka mwanamme atekeleze angali mmeachana,hamna kitu hapo

  • @TheBossOdhis
    @TheBossOdhis 3 ปีที่แล้ว

    Ni "Rude" boy kweli

  • @ikramalmas7039
    @ikramalmas7039 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwani Paul nae anasemaje?

    • @jannuary26
      @jannuary26 3 ปีที่แล้ว +1

      AMESEMA HANA SHIDA AMEMPA HELA ZOTE

    • @manasengobei9968
      @manasengobei9968 2 ปีที่แล้ว

      @@jannuary26 🎤

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapa ndio utagundua Hawa Wanawake Wana laana toka enzi za Hawa Yni Mtu anafosi muachane Alafu Achukue Watoto Ili Wawe Mtaji kwake Yani Hiii Hali Inaniumiza Kwakwel hawa shetan Yni Wako Na Tamaa Sna Mpe Watto Mume Wewe Nenda Ukapige Umalaya Mbele Shida Iko Wpi Lakin Ili Mradi tu akurudishe nyumba

  • @cathymika9283
    @cathymika9283 3 ปีที่แล้ว +2

    Paul arudi sasa kwa zari

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 ปีที่แล้ว

    Wanawake wehu kwel hawa milion 35 akati huja fanyia kazi🤔🤔

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 3 ปีที่แล้ว +2

    😄😄😄alimyima poupou

  • @donaldmhulula6888
    @donaldmhulula6888 3 ปีที่แล้ว +1

    warudi afrika tu huko marekani wana taka kumfirisi tu wewe mahela yote hayo ? kwani ana kiwanda cha kutengeneza pesa ?

  • @babylonyNgwembe
    @babylonyNgwembe 3 ปีที่แล้ว +1

    IMAGINE HAMISA ANGEPATA NA CHIBU INGEKUWAJE SI PANGECHIMBIKA.

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 3 ปีที่แล้ว

    inaonekana mwanamke alikuwa anamchuna sana pesa huyo jamaa ndiyo maana akasusa kufanya nae tendo la ndoa nawajua sana wanawake wa Nigeria ni wachunaji haswa kuliko wachaga

  • @smarty1064
    @smarty1064 3 ปีที่แล้ว

    anataka $35,000 kwa mwezi? hahaha apewe $3000 kwa mwezi kwaajili ya watoto ataishi poa tu marekani kwan yeye nae ni star?

    • @yeyothegreat8277
      @yeyothegreat8277 3 ปีที่แล้ว

      Mke wa star

    • @yeyothegreat8277
      @yeyothegreat8277 3 ปีที่แล้ว

      Mil 35 kila mwezi

    • @smarty1064
      @smarty1064 3 ปีที่แล้ว

      @@yeyothegreat8277 ana kichaa huyu mwanamke

    • @yeyothegreat8277
      @yeyothegreat8277 3 ปีที่แล้ว

      @@smarty1064 ahaahhaha ustar kazi

    • @smarty1064
      @smarty1064 3 ปีที่แล้ว

      @@yeyothegreat8277 wana maisha magumu sana, hela uzitafute kwa jasho halafu uwe star napo mambo yawe kama hvyo