BALAA!!!!!!!!!SHEIKH,MUHAMMAD BACHU AMKINGIA KIFUA ,HARMONIZE ,AMJIA JUU SHEIKH YUSUF DIWAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 14

  • @ABUUALLY-u6x
    @ABUUALLY-u6x 11 วันที่ผ่านมา +1

    Allah anasema kwenye qur Ani ( وإذا قرأت القرآن فستعذ بالله من الشيطان الرجيم

  • @ABUUALLY-u6x
    @ABUUALLY-u6x 11 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu bachu wenyewe Hana ajualoo 😂😂

  • @ABUUALLY-u6x
    @ABUUALLY-u6x 11 วันที่ผ่านมา +2

    Hiyo aloisoma yeye ni sehemu ya aya katika qur Ani unavyoonesha na wewe bachu mwenyewe huna ujualoo 😂😂😂

  • @HassanIddy-v1b
    @HassanIddy-v1b 13 วันที่ผ่านมา

    Shukrani al'akh umesafisha pameng'aa,

    • @darajanida
      @darajanida 13 วันที่ผ่านมา

      unapongeza nini kama hapo pumba tupu

    • @kamalmukaddam1521
      @kamalmukaddam1521 12 วันที่ผ่านมา

      Mashaalah sheikh bachuu

    • @darajanida
      @darajanida 12 วันที่ผ่านมา

      @@kamalmukaddam1521mawahabi kwa kupongezana ujinga dah kama hapo munapongeza nini

  • @ABUUALLY-u6x
    @ABUUALLY-u6x 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa mawahabii walevii sana Hawa wasoma maulidi wanawaita makafiri na yule anaestahiki kukufurishwa wao wanamtetea Kwa hali na malii 😂😂😂 yaani unaikataa sehemu ya ayaa ndani ya qur Ani na wewe tukuite nani 😂😂

  • @IsmailIddi-v3o
    @IsmailIddi-v3o 6 วันที่ผ่านมา +1

    huyu jamaaaa hajasoma wala haujuw uislam au ndo walotumwa kuja kuupinga uislam

    • @abdillahsalum3335
      @abdillahsalum3335 วันที่ผ่านมา

      Yaaaan w2 wajikinge sna n huy sheikh ametumw huyuu kuwapotosha waislam. Lkin wasiojijua ndio wanamuon anafaaa kua sheikh, ukitak kufeli ktk maisha mfuateni huyuu

  • @ABUUALLY-u6x
    @ABUUALLY-u6x 11 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani unamtetea kafiri na wewe unajikuta unatumbukia ktk ukafiri maana na wewe ushapinga ayaa ndani ya qur ani na wewe utubu kwa Allah na uwaambie watu kama umekoseaa 😢

  • @yurhamonlineTV
    @yurhamonlineTV 12 วันที่ผ่านมา

    Istiaadha imefungamana na Qurani.. amefanyakosa kuiweka huko

  • @MaseneroAmbari
    @MaseneroAmbari 12 วันที่ผ่านมา

    Mashekhe wetu badala wajikite kutuelimisha na kuusambaza uislam kumtangaza mtume wetu muhammad ila wao ndo wakwanza kugawa waislam kwa chuki na kuchambana kila siku kama wanawake, so sad😢

  • @ABUUALLY-u6x
    @ABUUALLY-u6x 11 วันที่ผ่านมา

    Aya ni Moja sema sighaa imebadilika lakini tunahisabu ni sehemu ya aya ktk qur Ani na inastahiki kuheshimiwaa wewe bachu wa wawapii wewe 😂😂