YERUSALEMU MPYA - NJIRO SDA CHOIR (OFFICIAL VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2025
- Please Subscribe to Njiro SDA Church Channel
Hii ni Official TH-cam Channel ya Kanisa la Waadventista Wasabato Njiro. (Njiro Sda Church)
Ambalo pia ni Kanisa la Makao Makuu ya Kanisa la Waadventista Wasabato Union ya Kaskazini mwa Tanzania.
Itajihusisha na Kurusha matukio yote ya Kanisa la Waadventista Wasabato ndani ya Kanisa na nje ya Kanisa la Njiro, pia utapata kuona Video za Kwaya yetu pendwa ya Njiro Sda Choir kwa Album zote ikiwemo KISHINDO CHA WAKOMA.
TH-cam:
www.youtube.co....
INSTAGRAM:
/ con. .
FACEBOOK:
www.facebook.c....
CONTACT: +255 759 219 376
@Njiro SDA Church
Mungu awabariki kwa uimbaji wenu, ni kwaya bora kabisa kwa sababu Roho wa Mungu anawaongoza,endeleeni kunyenyekea ili awainue zaidi
Ninapofunga kuombea kwa Mambo yangu, hiikwa utakuwa ya Kwanza kuiombea sababu shetani wanamkela sana
Nabarikiwa sana na nyimbo hizi Bwana Awatie Nguvu......Amina
Mbarikiwe sana na Bwana NJIRO SDA CHOIR. Mnaendelea kutubariki sana.
God bless you all
Jérusalem choir!
Wimbo huu umenibariki sana kitoka Kahma mjini
Hakika kila jambo lina wakati chini ya mbingu kwa sababu laiti huu wimbo ningepata nafasi ya kuusikiliza mwaka 1979 wakati nina miaka 14 kwa yale mapito ambayo nilikuwa napitia basi hakika lolote lile lingetokea ama ningelazimisha kulifanya katika maisha yangu lakini MUNGU karuhusu bado niwe hai hadi leo hii naamini hususani ni kwa ajili ya kuweza kuusikiliza wimbo huu kwa ajili ya kunipa tumaini la kwamba ile kazi aliyonituma kuifanya hapa duniani nitaimaliza kwa ushindi mkuu kabla ya kurudi tena mikononi mwake.
MUNGU awabariki sana kwa nyimbo zenu zote mnazoimba katika hali ya kipekee nyimbo zinazogusa NAFSI, ROHO na MWILI.
Na MUNGU azidi kuwainu a na kuwabariki wote pamoja na uzao wenu ambao naamini MUNGU ataubariki milele kutokana na hii kazi njema mnayoifanya ya kutumia vipaji alivyowapa kwa ajili ya utukufu wake.
Love from
Furaha choir
Swahili service-London
Tunafurahi Sanaa kusikia kutoka Kwako,,,.
Mungu akubariki Sanaa Na endelea kubarikiwa Na Nyimbo Hizi😍 🙏🙏
@@njirosdachurch6802 Amina na Amina🙏🙏
Karibuni Ukerewe mjihusishe.........
Tutakaribia
Wimbo mtamu kweli
WIMBO MZURI SANA (KUTOKA KENYA)
Huu ndiyo mziki waliotaka Muimbe???? Mziki wa awali ilikuwa mzurii sana.
Amen bwana awabariki sana njiro
Aminaaa
Yes mnatujenga saaaana
Amen Amen Rev 21
Ameen
From Y.A KAGUNGA CHOIR
Amen
Very impressive
Ameeeeeen🙏🙏🙏🙏
Be blessed guys
Good evening, mungu awabariki sana, naomba namba ya choir director (phone )or elder attached to choir, just by God's grace alone can enable us to do his work, be blessed, by elder Ochola
0715237973
Amen