The Mess Is Just Becoming WORST!!!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 357

  • @jesusyoulovemetoomuchwanji8860
    @jesusyoulovemetoomuchwanji8860 10 หลายเดือนก่อน +61

    Nani mwingine amependa mama mureithi ❤

    • @maryatieno9130
      @maryatieno9130 10 หลายเดือนก่อน

    • @susanwanjeri1604
      @susanwanjeri1604 10 หลายเดือนก่อน

      Ako na kiherehere mingi sana

    • @naominderitu8194
      @naominderitu8194 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ako sawa kabisa 💪😂

    • @sonniemwangi1103
      @sonniemwangi1103 10 หลายเดือนก่อน +2

      I love mama mureithi too

    • @mwanakombobakaribakaridz164
      @mwanakombobakaribakaridz164 10 หลายเดือนก่อน

      Hiyo kiherehere ya kukosa busara, ata kama nikutetea, mtoto wake ila sio kwa kiherehere hii na maneno mengi yasio na hesabu nzuri

  • @User-c6h9x
    @User-c6h9x 10 หลายเดือนก่อน +36

    The love mama mureithi has for mureithi is amazing. ❤❤❤ Love you mama...

  • @emilykwambokaochieng8622
    @emilykwambokaochieng8622 10 หลายเดือนก่อน +49

    Celine enda training ya ku dress unakaa kama ngunia ya viazi

    • @edwardmakworo4065
      @edwardmakworo4065 10 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂 na hiyo mwili

    • @MrPeterakilimali
      @MrPeterakilimali 10 หลายเดือนก่อน +2

      Huyo katumika sana mwili imekongoroka

    • @eznahnyaboke7249
      @eznahnyaboke7249 10 หลายเดือนก่อน +1

      Naona leo ako atleast

    • @ML-7lucky24
      @ML-7lucky24 10 หลายเดือนก่อน +4

      Celine has her father's structure 😊😊😊😊

    • @dolphinemouya3813
      @dolphinemouya3813 10 หลายเดือนก่อน +5

      😛😛😛🫣🫣kumbe uliona kitambo

  • @rosenjeri6058
    @rosenjeri6058 10 หลายเดือนก่อน +13

    Kwani " Sanitization" ya Juzi haikusaidia???This all Nonsense!! Repeating themselves again!!😳

  • @JoyMary-j9x
    @JoyMary-j9x 10 หลายเดือนก่อน +18

    I like the way Muriithi defends his mum .. asante sana Muriithi

  • @margaretwambui2306
    @margaretwambui2306 10 หลายเดือนก่อน +5

    Joshua ondokea hii kesi kabisa huwezani hata kidogo, stano plz malizia hii story iko boring sasa

  • @nixonnickel3076
    @nixonnickel3076 10 หลายเดือนก่อน +46

    If i were Mureithi, i wouldn't appear on this show once i realised from sanitisation that dead beat father of Celline is up for his wealth

    • @sarahwanjiku1807
      @sarahwanjiku1807 10 หลายเดือนก่อน

      True

    • @marymutavi
      @marymutavi 10 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@sarahwanjiku1807pia mimi,nalilia Muriithi.

    • @jenipherakoth4399
      @jenipherakoth4399 10 หลายเดือนก่อน +2

      True, he should just go and start his life afresh without Cellin

    • @rebeccaatemo3487
      @rebeccaatemo3487 10 หลายเดือนก่อน

      Very true

  • @Mumeuphy047
    @Mumeuphy047 10 หลายเดือนก่อน +13

    Yaani mama Muriithi anajua kudress poa kushinda Celine na ni mshoshi jamani😂😂

    • @mugesiabrigitte8843
      @mugesiabrigitte8843 10 หลายเดือนก่อน

      Celine hana time… remember Moha saying Pauline’s matacore was still typing….so is Celine 😅😅😅😅😅😅

    • @Mumeuphy047
      @Mumeuphy047 10 หลายเดือนก่อน

      @@mugesiabrigitte8843 kazi ni kulala tu na wanaume hana masaa ya kujiosha 🤣🤣🤣

  • @paulinemusonye
    @paulinemusonye 10 หลายเดือนก่อน +29

    Please Joshua,uliza rafiki ya Celina wakati ,Celina akiwachana na hezron ,alikaa mda Gani ndio aolewe na mureithi,huenda hiyo mimba ya hezron Celine anaweza kuwa alitoa then kulala na mzae ndio njoki alipatikana, Celine make things clear wewe kama mzazi unafeel aje mtoto wako akibishaniwa hivi na wewe kama mama uko hapo,why can't you protect you child wakati atajua hizi vitu what will you tell her,atachukuliwa aje kwa society, shuleni na wenzake Kila mahali, Celine huoni unaspoil maisha ya njoki completely, Celine fikiria sana

    • @paulinemusonye
      @paulinemusonye 10 หลายเดือนก่อน +2

      Celine sema ukweli cz kwa hii Dunia no one is perfect,ama mtu Hana makosa please like a mama mwenye anajua uchungu WA watoto tell everyone the truth,and it will set you free

    • @Edgybhthjklew
      @Edgybhthjklew 10 หลายเดือนก่อน +5

      Hawezi sema ukweli ju anataka Mureithi aibiwe vitu zake am sure if Mureithi hana kakitu hii kesi ingeisha kitambo hawa ni wezi tu hujiulizi mamake na babake walielewana lini ju saa hii wako pamoja??

    • @rahmaabdalla7643
      @rahmaabdalla7643 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hata mm naona hivyo hiyo ball ya hesbon alitoa ndio akapata na na muirore (father in-law) Father inlaw NAE akaona yeye na mamake Celine ni chizi ikabidi alale nao wote 😂😂😂 .

    • @user-jr5xm1ck7i
      @user-jr5xm1ck7i 10 หลายเดือนก่อน +2

      Huoni Celina anakaa nyanya mxee ametoa mimba mingi hdi amekosa shape

    • @kiri5807
      @kiri5807 10 หลายเดือนก่อน +2

      Stano mjinga siwafanye DNA naamini Osborne aliekelewa na huyu Joshua naye analeta usenge tu Project kaiona wapi ? ikituma school fee na hospital bills ? ina maana wao wanaungana na baba Celline .

  • @pamelaotieno857
    @pamelaotieno857 10 หลายเดือนก่อน +11

    Joshua ni kama umeshindwa ku run hii show.

    • @wambuimngoso9893
      @wambuimngoso9893 10 หลายเดือนก่อน

      hawezani anakaakana na mwangi😢😢

  • @essynjery3896
    @essynjery3896 10 หลายเดือนก่อน +6

    Asante Mureithi kwa kurembesha mama yako she's very smart and beautiful

  • @essywaweru3778
    @essywaweru3778 10 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu Aunt celine ni mtapeli ndio kazi yake sio mwana biashara..,mwangi na aunt Celine ni matapeli, magaidi sugu... Mureithi sue those people

  • @selinamusita4450
    @selinamusita4450 10 หลายเดือนก่อน +8

    Joshua wewe ni mjinga Sana. Si stano ndio alipigia Hesbon simu na alitoa number kwa simu ya aunty ya Celine. Achia stano hii kazi wewe fanya security

  • @wendypendo8291
    @wendypendo8291 10 หลายเดือนก่อน +7

    Mureithii.😂😂😂I don't know why stano is not working with the dates. When did Hesborn and Celine part? And when was Njoki born? Was Celine really 3 months pregnant according to the date the baby was born?

    • @methuselakipruto8316
      @methuselakipruto8316 10 หลายเดือนก่อน

      DNA ifanywe kwa Njoki na Hesbon, Mureithi na Mureithi's father....simple....

  • @janethmakori7942
    @janethmakori7942 10 หลายเดือนก่อน +32

    Justice for mureithi and Hesbon enough for this greedy people called celine's family kiwarambe na huko

    • @rosemuthoni8109
      @rosemuthoni8109 10 หลายเดือนก่อน +1

      Ukweli kabisa

    • @annewamalwa5340
      @annewamalwa5340 10 หลายเดือนก่อน

      Yes

    • @nancymijide614
      @nancymijide614 10 หลายเดือนก่อน

      Celine unakaa poa umeanza kurudi msichana tangu uwache kulala na wazee 😂

  • @faithi7216
    @faithi7216 10 หลายเดือนก่อน +2

    Stano already the truth is out leave this ppls alone, stano are you happy when you this mumu ppls fight to Mureithi

  • @tabbydemoses9524
    @tabbydemoses9524 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hata mnatubore na hizi story,,,, kwani mnaenda mbele mkirudi nyuma

  • @NjundiBrig
    @NjundiBrig 10 หลายเดือนก่อน +7

    All love to mama muriithi and mwari

  • @christopherallindi8176
    @christopherallindi8176 10 หลายเดือนก่อน +9

    The GOAT FAMILY, is back.

  • @jemi254tv7
    @jemi254tv7 10 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu aunt kila siku biashara biashara ya kukula pesa ya watoto wawenyewe😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @bethueltahash927
    @bethueltahash927 10 หลายเดือนก่อน +8

    Napenda vile mwari anaside na kina muirithi huyu ameokaka kabisaaa

    • @rosendunge4217
      @rosendunge4217 10 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂nakwambia mwari ananibaba sana..kweli ameokoka kabisa ❤❤

    • @BethKimani-h5h
      @BethKimani-h5h 10 หลายเดือนก่อน

      kweli kabisa huyu mama ni mwokovu na anasimama na ukweli

  • @euuice1071
    @euuice1071 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mama Celine na baba Celine wameenda kupanga vile watamaliza mureithi wapate Mali

  • @harrietkiden7808
    @harrietkiden7808 10 หลายเดือนก่อน +9

    What is hidden unders the sea will always be exposed

  • @bethueltahash927
    @bethueltahash927 10 หลายเดือนก่อน +11

    Mama muirithi anavaa poa kushinda celine

  • @StellitarMso
    @StellitarMso 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa watu wote walikuwa wanatumia Celine, mzae alikuwa anata connection ya mama Celine tena kupitia kwa Celine, hesbon na yeye alikuwa anakuliwa pesa na aunt Celine za uongo

  • @euniceatieno-y1w
    @euniceatieno-y1w 10 หลายเดือนก่อน +6

    Justice for Hesbon tafadhali

  • @janetnyanchera1252
    @janetnyanchera1252 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mama Mureithi you are looking wow sturning bbygal ❤keep such way but don't dare to move out of your house Wacha mzee aende hadi ajibebe ajilete again

  • @florence6127
    @florence6127 10 หลายเดือนก่อน +4

    Joshua unaboo mtu ana wezaje kuja kusema mtoto ni wake na useme ana daganya hesborn si wazimu mtoto ni wake ,,mulhya siweziacha damu yake.

  • @fredrickkariuki640
    @fredrickkariuki640 10 หลายเดือนก่อน +2

    Celine is like her mother she can't accept the reality

  • @bethueltahash927
    @bethueltahash927 10 หลายเดือนก่อน +4

    Aki mama muirithi defend ako nayo juu ya mtoto wake waaau mpaka nasikia kumis mamangu😢 mama muirithi kitambaa na bag matches waaau

  • @CatherineMuhonja-f2w
    @CatherineMuhonja-f2w 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mwangi AKA baba Selina yaani hata mzazi wako pia nikikulacho,who to trust akiongea venye anahuzunika kumbe yuapiga mahesabu Avery big shame to you Mwangi babake Seline,as a parent am so disappointed in baba Seline behavior en the sister,

  • @nzilaniruth2646
    @nzilaniruth2646 10 หลายเดือนก่อน +2

    Stano hii show imeisha tushajua ukweli Kama ni jela ,mwangi ajisalimishe pamoja na dadake kwa kushirikiana na Celine pamoja na mmake kunyemelea Mali ya mureithi. It's evident tht mama Celine alijifanya baba Celine hayuko ndio ajitokezs baadaye na njama ya kushika mureithi

  • @ruthongeri5115
    @ruthongeri5115 10 หลายเดือนก่อน +7

    Joshua anapenda Kuwaste time!!

  • @knightchebunga5123
    @knightchebunga5123 10 หลายเดือนก่อน +1

    DNA is everything here

  • @manaalele603
    @manaalele603 10 หลายเดือนก่อน +8

    Mama moreithi looking good❤❤

  • @CarolineMaina-p4z
    @CarolineMaina-p4z 10 หลายเดือนก่อน +3

    I don't think hesbon akue in that mix for nothing, Celine slept with hesbon first akapata mimba then she got married to muriithi akiwa Na mimba after then muiruri akanyemelea, njoki niwa hesbon

  • @annmuthoni2241
    @annmuthoni2241 10 หลายเดือนก่อน +3

    Joshua joshua ni nini arguments za upuzi saa yote....DNA ifanywe fullstop

  • @MrPeterakilimali
    @MrPeterakilimali 10 หลายเดือนก่อน +7

    Pasta show we love you ila msitujazie episode tu kwa kurudia rudia.hii story ilipoishia imekuja story ingine kabisa

  • @LabanChola
    @LabanChola 10 หลายเดือนก่อน +2

    Celine alikua dustbin ya wanaume adi hajui mimba ilikua ya nani.....kuvaa tena anakaa ngunia😮

  • @bettystaicy1820
    @bettystaicy1820 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna kitu cha maana hapa,kurudia tu the same thing, Joshua hajui anything stano,ni wewe unajua penye ulikuwa umefikia,ni makelele tu iko hapa, justice to murithi and Hesborn

  • @danielolekurarukuraru2247
    @danielolekurarukuraru2247 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii story tulimasa juzi😂😂😂😂😂 celeni his father na auntie all are armed robbers

  • @gladysmbatha5959
    @gladysmbatha5959 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu aunt ya Celine ni mfanyi biashara ya kuuza Celine 😂😂😂

  • @roselamech8750
    @roselamech8750 10 หลายเดือนก่อน +2

    Murithi never try to fight your father please

  • @charitywangeci4846
    @charitywangeci4846 10 หลายเดือนก่อน +7

    Justice for mureithi

  • @aishamohammed1798
    @aishamohammed1798 10 หลายเดือนก่อน +1

    Simple mathematics njoki alizaliwa lini na ni lini walipatana mureithi coz seline was 3 months pregnant na akaolewa na mureithi then njoki atazaliwa before 9 months not unless waseme she was premature

  • @richardmwangi9480
    @richardmwangi9480 10 หลายเดือนก่อน

    Baba Celine is a conman, aunt wa Celine con lady,mum Celine con lady and Celine the master of conman ship

  • @user-xu5rh6ub5j
    @user-xu5rh6ub5j 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hii imeboo kaa muwezi fanya DNA

  • @ladykemz
    @ladykemz 10 หลายเดือนก่อน +5

    OG toa Joshua kwa hii show he is a total waste
    We want you OG on set

    • @easygirl5047
      @easygirl5047 10 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @marykangai4105
      @marykangai4105 10 หลายเดือนก่อน

      Sure
      Ako hata na mdomo mob sana. Kwanza huyo part akisema story ya project. Look at his body movement when saying that. He's a total waste here

    • @ladykemz
      @ladykemz 10 หลายเดือนก่อน

      @@marykangai4105 ata vile anaongea ni kama sio mtu anajua where he is heading

    • @marykangai4105
      @marykangai4105 10 หลายเดือนก่อน

      @@ladykemz Awachane na kuhost kama hawezi fanya vizuri. He's wasting our bundles

  • @SarahOngamo-ly6cg
    @SarahOngamo-ly6cg 10 หลายเดือนก่อน +1

    Am seeing Celine's friend will end up with mureithi😅

  • @beatricesisterskeeper3201
    @beatricesisterskeeper3201 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mureithi and your family keep off cameras. Atleast you know the truth.......mkiendelea hivi kitakuramba kama vyenye kinawaramba kina Frank

  • @MaryMongire
    @MaryMongire 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hi family ya mkufi ni wakora ashindwe kabisa wanataka kufuna kwa shamba yenye hawakubanda

  • @bensonkiziiri1076
    @bensonkiziiri1076 10 หลายเดือนก่อน +1

    Stano Joshua hafai kabisa

  • @tabbydiallo2
    @tabbydiallo2 10 หลายเดือนก่อน +3

    Stano do you work,Joshua is wasting a lot of time,he keeps on repeating the same questions over and over🤔

  • @selinamusita4450
    @selinamusita4450 10 หลายเดือนก่อน +1

    Muriithi ushaskia kwa Baba Celine chenye wanataka ni Mali. Acha kuja kuskiza hii ujinga

  • @marymutavi
    @marymutavi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Joshua no ya Hesbon ya simu ilipatika kwa simu ya aunt ya Celine

  • @teresiahwangui964
    @teresiahwangui964 10 หลายเดือนก่อน +2

    It's like Celina aborted hesbon belle 😢😢 , Celina weww ni matako ,akili yote ilipotelea kwa matako

  • @maureenkarimi7366
    @maureenkarimi7366 10 หลายเดือนก่อน

    Hesbon where were you? Unafaa kumlipa Mureithi amekulelea mtoto na aka provide the basic needs to that girl, so ukitaka mtoto lipa Mureithi

  • @selinamusita4450
    @selinamusita4450 10 หลายเดือนก่อน

    Mama muriithi na Muriithi acheni kupigana na Baba Muriithi. Hata kama alikosa, si vizuri kushinda mkimpiga

  • @eddahkithimba9125
    @eddahkithimba9125 10 หลายเดือนก่อน

    Aunt conwoman I feel kukutwanga Kofi mbaya sana.Mureithi pls pls Celine akikupiga Tena,shika yeye umtwange ngumi yenye hatasahau milele na hatakurushia mkono tena.kindly kindly remember that

  • @glorymworia3353
    @glorymworia3353 10 หลายเดือนก่อน +1

    Celine ww ni mjinga kondoo, unawenza aji kubali mtu atoke nowere akuja auze mali mmetafuta na muriith 😢 surely mzee mzima auze vitu za mwanaume mwezake shame on you, Celine zoea street mapema sasa juu familia yako itakutema,walikuonyesha mapenzi wakule mali yako kimekuramba😂

  • @Deffaratti
    @Deffaratti 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mama murithi your very smart❤❤

  • @MalaikaKNorway
    @MalaikaKNorway 10 หลายเดือนก่อน

    What was it sanitising yesterday? Or this video were supposed to be before ile ya jana? I'm now confused because this is before santanisation!

  • @Rachel-j2b
    @Rachel-j2b 10 หลายเดือนก่อน +1

    I Thot evidence was found in Mwangis phone that all they wanted ni mali, why are we still here?

  • @essywaweru3778
    @essywaweru3778 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mama mureithi anachelewesha hii maneno too much noise. Nkt

  • @martingathenya
    @martingathenya 10 หลายเดือนก่อน +1

    Joshua haezani na show coz hamake kukue na order...sa kila mtu akiongea,tutaskiza nani?

    • @Edgybhthjklew
      @Edgybhthjklew 10 หลายเดือนก่อน

      Kinaboo na kusema Hesbon ni project yet walisanitize simu ya Mwangi na wakaona wanataka pesa ya Mureithi hi kesi ingeisha hapo but wapi kila Saa ni vitu hazieleweki hope hii ni ya before sanitization coz inaboo tayari

  • @strongwomanwithnoregret8234
    @strongwomanwithnoregret8234 10 หลายเดือนก่อน +1

    Joshua acha kuturudisha nyumba tumechola Hesbon si wazimu kama huwezi achia stano kazi yake

  • @penny4310
    @penny4310 10 หลายเดือนก่อน

    Kuna tumutu sumu, roho mbaya kama Celine mamke na na babake na auntie, roho mbaya , but wataaibika at last, God is at muriithi side, kila mtu avune chake

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 10 หลายเดือนก่อน

    Celine is defending mzae before mama muriithi alikua side ya mzae sasa amerudi kwa muriithi this all families wako na gladge we pray for truth ukweli haiwezi fichika

  • @stellann202
    @stellann202 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani hizi episodes ni za wen. Something is wrong here

  • @MalaikaKNorway
    @MalaikaKNorway 10 หลายเดือนก่อน

    Why are you forcing baba Mureithi to accept Hesbon's child? Wacheni upunzi do a DNA and move on. Mtoto ni wa Hesbon

  • @HannaMothoni-ir9gw
    @HannaMothoni-ir9gw 10 หลายเดือนก่อน +4

    What happened to our Mureithi?

  • @marymutavi
    @marymutavi 10 หลายเดือนก่อน

    Mwangi ajulikane kua Muriithi akapata mabaya ni yy,walisema wote watamuua,ati njia ni mingi .

  • @lucaswaweru
    @lucaswaweru 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mureithi hata Kama mxee alikukosea naskia vibaya ukimpiga

  • @annderrick21
    @annderrick21 10 หลายเดือนก่อน

    Please mpange hizi episodes vizuri juu already tushaona episode ya Celine akisanitiziwa na antie pia sasa ona hii inangea kihusu sanitization...hii tulifaa kuwatch before sanitize

  • @maureenkathambi7988
    @maureenkathambi7988 10 หลายเดือนก่อน

    Mama mureithi ni the best na mwari pia.but mama Celine,aunt to ya Celine, Celine mwenyewe na baba Celine ndio wanaharibu hii show.hawana adabu

  • @maryannmaina1182
    @maryannmaina1182 10 หลายเดือนก่อน +1

    Stano Ako wapi Joshua atawezana kweli

  • @nuruhabibasally
    @nuruhabibasally 10 หลายเดือนก่อน

    Sanitize Hesbon ... Huyu Selene anakaa hajawai zalia mureithi inakaa mtoto wa Kwanza niwa Hesbon wapili niwa baba mkwe

  • @HannaMothoni-ir9gw
    @HannaMothoni-ir9gw 10 หลายเดือนก่อน +1

    Auntie ya Celine n mshenzi sana anabisha vitu amefanya

  • @rachaelwambui3407
    @rachaelwambui3407 10 หลายเดือนก่อน

    Rakini muriith uriza mamake babakoninani juu munashidiria huyomuzee mtoto niwake nikama munakitumunataka kutoka kwake

  • @florence6127
    @florence6127 10 หลายเดือนก่อน

    Mambo ni. Nimawili angalia sim ya. Hesborn. . la d,n,a,. Tosha.

  • @Edgybhthjklew
    @Edgybhthjklew 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hii show bila Stano inaboo tu jishua kazi ni mabishani tu show inaisha kama hujaelewa chochote.kitu iko wazi kazi ni kirundia rundia tu whats soo hard on having DNA??simi ya Mwangi iliongea wanataka oesa thats why hawakubali ukweli tena mko hapa aaaai

  • @mwanakombobakaribakaridz164
    @mwanakombobakaribakaridz164 10 หลายเดือนก่อน

    Joshua leo umebungi, maswali ya kujirudia, rudia, na ujinga mwingi fah

  • @teresiahwangui964
    @teresiahwangui964 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani hesbon amekuwa hosama😂😂😂😂😂

  • @Steve-y2t1h
    @Steve-y2t1h 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani studio Leo imehama iko nyandarua

  • @bethueltahash927
    @bethueltahash927 10 หลายเดือนก่อน

    Unty ya celine abasema mali gani na alikua anapanga na mwangi kuweka muirithi jela juu ya mali yake

  • @سارادم-و2ع
    @سارادم-و2ع 10 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu wanajua mtoi ni wa hesborn soo baba alipewa mzigo akiwa na ball bt mwangis family wanataka mureithi ahangaike tuu

  • @annkagonye2244
    @annkagonye2244 10 หลายเดือนก่อน +2

    Celina kazi yake ni kucheat na hajui kufaa ni kama mama wa 55yrs kinyangarika kabisa 😂😂😂

    • @valyvaly1610
      @valyvaly1610 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 ukweli

    • @janemukami9556
      @janemukami9556 10 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @christinekiringu8916
    @christinekiringu8916 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hesbon was just chilling then mama mureithi decides to fufua osama bin laden in hesbon

  • @MrPeterakilimali
    @MrPeterakilimali 10 หลายเดือนก่อน +1

    Joshua you need to improve your skills,unatuwekea mabishano tu yasiyokuwa ya maana kesiilikuwa imeishw mnarudisha nyuma tena

    • @Edgybhthjklew
      @Edgybhthjklew 10 หลายเดือนก่อน

      Nashangaa after sanitizing simu ya Mwangi evidence was there wanataka Mureithi ndio wachukue vitu zake ni nini tena wanabishana penye umefika inaboo though wao wanataka more episodes ni ju job

  • @marykangai4105
    @marykangai4105 10 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu wako confused sana. At least wangesema aunt ya Celine ndiye amelipana ingekuwa better than baba Murithi. Tuliona kwa phn walikuwa wanaongea na aunt previously.
    Sijui shida yao ni gani mimi

  • @marymutavi
    @marymutavi 10 หลายเดือนก่อน

    Celine uko na heshima gani ww na ulitolea baba mkwe nguo

  • @ivymugei
    @ivymugei 10 หลายเดือนก่อน +2

    Stano ulikua uzanatize mwangi,Kwani alietoroga na simu ama

    • @violetmudaki1258
      @violetmudaki1258 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli baada angetafuta security wengine namekuwa hakinjwa saa ya sanitization wanampokonya simu

    • @wettykznznhuioploko1571
      @wettykznznhuioploko1571 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wakamalizane uko tumewachoka

    • @MrPeterakilimali
      @MrPeterakilimali 10 หลายเดือนก่อน +1

      Story haina muendelezo

    • @wettykznznhuioploko1571
      @wettykznznhuioploko1571 10 หลายเดือนก่อน

      Murith atakama baba yako amekukosea mpee eshima uyo ni mwanamke amewagombanisha unawez owa mwingine lakini baba uwezi pata mwingine kwanini unamkandamiza ivo mwenye mtoto kajitokeza kwanini amtaki kukubali yaishe msamee baba yako mwenyemakosa mwanamke kwasababu mwanaume kiumbe zaifu ata baba yako mzazi anaweza kukutaka sasa celini ndio mwenye makosa msamee babayako leo yupo kesho ayupo utakuja kujuwa umuimu wake siku moja

  • @decacheru7065
    @decacheru7065 10 หลายเดือนก่อน

    Sikua najua mwangi hata hata kazi until the sanitization ya Eunice kembe they are after Mali ya mureithi tulijua ukweli sasa

  • @selinamusita4450
    @selinamusita4450 10 หลายเดือนก่อน +5

    Joshua ask about what was in Eunice's phone

  • @zainabmakokha
    @zainabmakokha 10 หลายเดือนก่อน

    Bt kama ukweli ulipatikana Mbona ezbon asipewe mtoto na muachane na mureithi plz mbona mna geuzia mureithi kichapo kila siku hivi? Plz stano and your group leave mureithi aendelee na kazi zake na maisha yake kama n celline n gurue jambazi tu na babake

  • @brendacherotich8048
    @brendacherotich8048 10 หลายเดือนก่อน +6

    Eagerly waiting what happened next 😂😂

  • @hypergamerdean7817
    @hypergamerdean7817 10 หลายเดือนก่อน +3

    Hii episode ni lini? Sidhani kama ni ya after ku sanitize akina mwangi na Eunice jana

    • @joycekungu4557
      @joycekungu4557 10 หลายเดือนก่อน

      Hata ina boo situlijua ukweli chenye akina Celline wanataka

    • @hypergamerdean7817
      @hypergamerdean7817 10 หลายเดือนก่อน

      @@joycekungu4557 then why are they still calling hesbon a project?

  • @RebeccaChepkwemoi
    @RebeccaChepkwemoi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Celine wewe nae vaa brah 😢😢😢😢

  • @beticeline
    @beticeline 10 หลายเดือนก่อน

    Seline na wewe ujifunze kuvaa bra bna 😢😢wacha kutuvalia hapa matiti zimelemàa kama waru zimefungwa kwa baiskeli vibaya zinatoka nyandarua zinaenda western

  • @user-pn1wm3dp5x
    @user-pn1wm3dp5x 10 หลายเดือนก่อน

    Aunt Eunice Na mama Celine wako Na hidden agenda Na wameweka mkufi box