Tall guy is very dangerous aki mpaka anthiriteni watu bere ya camera sure,,easther unafisha mpaka bunduki kwa nyumba yako 💔 arafu mumesema mulia mwezenu aki
STANO STANO STANO kusema ukweli si-ucome kwa show,,,, kwani uko,,,ungekuwa hapa hii case ingekuwa imeisha,,,, tall guy is a criminal,,, please come over.
Woie Joshua mungu akuride aky na team pasta show coz hawa watu wamempangia... My idea ata wakilipa pesa waede jela coz wako na hadi buduki meaning ata kuua n kitu wamezoea
Mtaka yote hukosa yote Kimewaramba boom Ata Esther ako na gun kwa nyumba ngai bado utaendelea kunikia huko 🤮🤮🤮 nilazima mtoe money by fire by force cetani nyinyi
Hawa magaidi wanataka kutoka hapa bila miguu wakifikiria watabaki nazo yaaani hawaoni washashikwa ?. ole wao na wawe viwete bora pesa watoe asap mathy aede India.
Pesa imechibiwa mahali thats what they said..alafu Erico aede atafte gun iko kwa nyumba yake thats what they said 😢...joshuà take care they said they win finish you na uyu jamaa wa kinyozi
Security wa senior Dave, iteni Joshua awaonyeshe wakati watu wanastahili kuchapwa na wakati wanastahili kuulizwa maswali bila kuchapwa. I love Joshua wa stano
Joshua those people are goons. That lady has a gun the way they discussed. They should go straight to prison. They said they look for you. May God protect you.
Huyo chali wa yellow alirudisha zake. Esther, tall guy na james ndio masterminds. James knows everything from that hidden video the only person to be spared ni chali wa kinyozi.
Good work team Stano for the job well done.wapatieni dawa, Hadi waseme walikuwa wanajingamba nayo kwa camera.sana sana huyo James, alikuwa anaongea mbaya kuhusu our mum, after they stole the money for his.pia huyo shetani Esther, alisema, ATI bunduki ameficha kwa nyumba.Joshua wape ile dawa, n watoe pesa
Najiuliz kwa kichwa yang huy mwanamke ako n nguo moja siku hiz zote s ananuka jmn, man bora wanaume na s sisi wanawake kutwa moja tu bila kuoga mtihan 😢
Aki Joshua Wacha kuchapa huyo kijana wa tishart ya yellow please juu Ile siku ulikuwa umeeka camera Kwa hiyo room walikuwa uliskia walisema watamuua akitoka hapo so yeye Hana kitu Hawa watu ndo wako na pesa
Shida yenye iko huyu mzee mwenye pesa ni mpole Sana anapea Joshua kazi ngumu, then hii plan yote ni ya hiki kibibi Joshua gonga Esther kma ubwa pesa itapatikana. Raster man apewe security
Sasa hapa uliwapea simu waambie majambazi na kutuma location penye wako wawakujia ama na mtu wakamera huwa haona vile mwanamke alikuwa anafinyia toll guy
Uyu madam alisema bunduki iko kwake Joshua usisahau toll guy alisema akitoka atakumaliza
Aki uyu mama ni gaidi..na vile ana jifanya mnyonge
Yes waka sakanye waichukuwe huyu mrefu ni muuwaji kabisa
ALAFU WALE MA JUDGES NA LAWYERS AND PROSECUTOR WAJINGA WATAKULA HONGO WAWACHILIE HAWA WAUWAJI WOTE CRIMINAL VERY USELESS GOVERNMENT
Chapa tall man and the women,huyo jamaa wa yellow black awapeleke penye walichimbia pesa pls and give him security
Tall guy ako na kiburi kabisaa ,afanyiwe kaa foodiship
The are dangerous criminals, they killed someone by the name Jack. Bibi ya Erick ako mpaka na gun.
They killed Josee
@@kiplangatsylvester4791 ohh yea
Tall guy is very dangerous aki mpaka anthiriteni watu bere ya camera sure,,easther unafisha mpaka bunduki kwa nyumba yako 💔 arafu mumesema mulia mwezenu aki
Jose pia.... They keep mentioning Jose
Hiki ki mwanamke kitarushwo hizo pesa zote kishenzi sana buduki watoe kwenye iko Mali ya gorvment
STANO STANO STANO kusema ukweli si-ucome kwa show,,,, kwani uko,,,ungekuwa hapa hii case ingekuwa imeisha,,,, tall guy is a criminal,,, please come over.
I doubt ile kazi Joshua anafanya Stano angekua anashinda akisema ebu wacha kwanza..akiona wanachapwa..Joshua ako tops
Anatafuta pesa zilozochimbiwa Na simu ya tall guy
Sijui kwanini naona erick hasaidii hapa juu hakuna kitu anafanya.
Erick anakaa yule OCS WA time ya akina footsubishi... Bure sana ... Stano mkuu uko wapi.. Erick mbona using'oe watu meno... Mbona uko hivyo lakini
Hakuna kazi na hakuna kichapo ya maana...
Get mark DCI wa senior dave.
Erick is just too soft for this kind of interrogation
Pesa haiko Kwa simu ama Kwa banki from there conversation pesa imejimbiwa chini
Only stano can manage this aki
Woie Joshua mungu akuride aky na team pasta show coz hawa watu wamempangia... My idea ata wakilipa pesa waede jela coz wako na hadi buduki meaning ata kuua n kitu wamezoea
Uyu tall ndio aliweka pesa.
❤❤❤❤❤❤❤ fanyia tall man vile ulifanya footsubishi Joshua 😊
But why are you sparing this woman she is the master of the game
Huyu mama si ananuka sana
Same dress same underwear
Ikiwa bibi ya footshumbishi alikaamwezi mzima na mnuko kwa hivyo hata huyu haja nuka,bado atanuka 🤭🤭
Sana😂😂
@@Pena-k1hWacha aoze mama anaumia hospitali
Ata viti ya Stano itanuka 🤥
Huyu Esther hadi kisuruali kimenuka na hataki kusema ukweli😂.
😂😂😂😂
Kimeoza kbs 😂😂😂😂
Walai😂
Imagine hana haiya shetani huyu mwanamke
Ahahaha
Wamesema wakitoka hapa wataua Erick vile walifanya josh... justice for josh
Alafu Erick Hama mahali unaishi plZ
Tall guy anakaa karibu na Esther all the time because he wants to communicate
Alieibiwa amekaa kama Mzigo huyo mama alitakiwa apewe vitasa vya kutosha coz kama sio yeye hizo pesa zisingeibiwa
Mtaka yote hukosa yote
Kimewaramba boom
Ata Esther ako na gun kwa nyumba ngai
bado utaendelea kunikia huko 🤮🤮🤮 nilazima mtoe money by fire by force cetani nyinyi
Stanoo where are you in all this scenario
Ako side ingine with another gaidi wa hii case
Alienda kuangalia mahali pesa ilichimbiwa
Ako kwa ground
Hehe is ashamed coz he knows its a pure CRIPTS
Ako mission ya hii pesa bdo
Good idea Joshua. They will write ir communicate to their co thieves.
Soma Comments plz...Kuna Gun kwa Erick...Tall Guy amechimbia pesa pahali...Tall Guy said.."hakuna kitu permanent".."kupigwa ni kwa muda "
Esther surely umechafua jina letu kabisaa.....hii jina tutakunyang'anya
@stano take over this stano awe tuu wakuwapigia aki😢😢😢
Eti waliua MTU anaitwa josh....# justice for josh
We want our DCI Starno
Ananuka nunu Sana ata nashikia ikinuka imgn 😂😂
@@hannahwanjirumwangi6438 🤣🤣🤣
Exactly kama niyeye hii case ingekuwa pesa imepatikana.
@@hannahwanjirumwangi6438😂😂😂😂na hashtuki
Finya tall guy kucha...huyo mshipi si chugu
Tumoa spring utawachapa mojamoja ndio waseme mahali ziko zote ,nikama wamrzoea mshipi
James atoe Hood, alafu Joshua Wacha ku entertain tall guy please.
Ulisikia mwanamke anasem nikitoka hap nitamumaliza huyu mwanaume mungu wangu
Hakuna uchungu wanasikia juu bdo they still denie,, inachapa na mshipi,, chukua nyundo
Tall guy is controlling everything here , Joshua watch carefully tall guy anatumia macho na mguu kucommunicate
Kabisa
Lakini afande nkama unawabembeleza... Piga mtu aseme ukweli
Hawa magaidi wanataka kutoka hapa bila miguu wakifikiria watabaki nazo yaaani hawaoni washashikwa ?. ole wao na wawe viwete bora pesa watoe asap mathy aede India.
Huyu mwanamke ni shethani wapige kabisa ndio watoe pesa na from that waende jela sio abroad
Hata wapige hawezi toa pesa😢
Kudos Joshua this job should be done by government DCI but U have surpassed them by far
Stano should come back to this because Joshua will not get money from these goons
Pesa imechibiwa mahali thats what they said..alafu Erico aede atafte gun iko kwa nyumba yake thats what they said 😢...joshuà take care they said they win finish you na uyu jamaa wa kinyozi
Joshua uko sawa kabisa. Nyorosha hao kabisa. Kwanza hiki kimama kinafaa Yala
I hop huyu Erick ashahama. Aende afanye msako atoe bunduki
Joshue ambia jay akusadie na yule DCI wao,tall guy ni muuaji,na walisema wakitoka hapo wanaenda kujukua lon kwa nyumba ya Eric na wamuue huyo Rass
James
Sema akweli
Joshua
Usiposema ukweli you have gone 😂😂😂
Huyu madam Kuna signal wanapeana na tall guy
Security wa senior Dave, iteni Joshua awaonyeshe wakati watu wanastahili kuchapwa na wakati wanastahili kuulizwa maswali bila kuchapwa. I love Joshua wa stano
Ata bunduki huyo msichana alisema yeye ndiyo ameficha atoe hiyo bunduki
Mtanuka studio hadi mtoe pesa. How wicked are these pple
Joshua buy a nyahuyu for this people. Walisema kqa secret camera kwamba watasema.
Mbona hamuwaulize gun walizo kua nazo wakiiba?
Joshua mkumbuke easther ako na buduilki kwa nyumba yao
Hyu ni gaidi ya mwanamke aki
Ikizindikna. dactari mato aingilie kati watoe pesa haraka mum asaidike..
Joshua those people are goons. That lady has a gun the way they discussed. They should go straight to prison. They said they look for you. May God protect you.
Yes Brown Guy ni Joshua atamandwa na tall man huyu jamaa wa kinyozi wataua wakitoka buduki Iko kwa Easter please please hao goon's wasiachiliwe
Mbona Esther anakanyanga tall guy there is communication
A simple advice!! Mkifanya hizi vitu!! Sometimes,take ur tym to pass through the comments aa,kunaviitu mnamiss😢
Hapa sioni pesa ikipatikana ishaeda kabisa na hawatatoa
Stano Ako the other side kwenye nilizichibiwa
Tall guy Dio Ako na pesa,hata anachuna Easter live pia amesema usiwaabie kitu
Huyo chali wa yellow alirudisha zake. Esther, tall guy na james ndio masterminds. James knows everything from that hidden video the only person to be spared ni chali wa kinyozi.
Tall guy anajua mahali peza ziko hata bunduki Esther atoe.
JOSHUA, naomba huyo mama mkora akipata period anunuliwe pads za always tafadhali. Ju kutanuka mbaya mbovu.
Na suruari atatoa wapi
Joshua.. chukua tall. Fungua kwa room upige kama nguruwe imeingia msikitini
Eric ujue bunduki iko kwako then nyinyi joshua mtauliwa vile waliua jose
Hawakusema walimuua ,nikumfinya make makende dio tangu waleo hajawahi wasema ama ckusikia ivo
Kwani hukusikia walisema waliua jose nawataua huyu jamaa wa kinyozi
Tol guy ni gaidi kuu mwizi sugu muuaji huyu hana ata huruma anaita mama erik maiti😳😳😳😳😳😳
Stano come back and help Joshua. Huyu Erick ana upole sana hadi nasikia kumsaidia.
Chapa Esther kabisa na pesa itatolewa na Tall guy
Good work team Stano for the job well done.wapatieni dawa, Hadi waseme walikuwa wanajingamba nayo kwa camera.sana sana huyo James, alikuwa anaongea mbaya kuhusu our mum, after they stole the money for his.pia huyo shetani Esther, alisema, ATI bunduki ameficha kwa nyumba.Joshua wape ile dawa, n watoe pesa
Na feelia huyu jamaa wa yellow the kinyozi man woiyee 😢
Joshua wachape mpaka nguo ziraruke kama za footsubishi.. watoe pesa
Kwanza amesema akitoka atakuwa vile waliuwa Josh justice for josh
I wish Joshua uko na nyaunyo wangeongea kaa radio
Sijui hata hiyo ni nini wanatumia
Rasta ako na ukweli, Joshua separate them for interrogation coz tall guy anacommunicate na wao
Na nyinyi wanaume muwe munajua munaoa kina nani..ndio maana kukaa in relationship sometimes inasaidia ndio atleast uwe umesoma mtu ni aina gani 😢😢😢😢
Najiuliz kwa kichwa yang huy mwanamke ako n nguo moja siku hiz zote s ananuka jmn, man bora wanaume na s sisi wanawake kutwa moja tu bila kuoga mtihan 😢
Hwa watu walisema kila kitu ata bunduki Esther ndo ako nayo
Tall guy alisema alijishibia kwa nyumba Yake,,Easter akasema gun iko kwake,
Giving them their 📱 is a big mistake.
Joshua kumbuka Kuna machine imewekwa na hiyo Malaya (gun)
Aki Joshua Wacha kuchapa huyo kijana wa tishart ya yellow please juu Ile siku ulikuwa umeeka camera Kwa hiyo room walikuwa uliskia walisema watamuua akitoka hapo so yeye Hana kitu Hawa watu ndo wako na pesa
Achapwe tu hasemi
Hata yeye alikuwa kwa hiyo group juu nilisikia wakisema kuna balance ilipaki wakitoka hapo hawawezi mpea
Huyu tall guy sio mtu mzuri ni jambazi sugu
Kumbuka gun iko kwa hao y Erik jini y mattress
Tall guy is a killer 😢😢😢,hata huyo Jose wanasema waliua
So tallguy na joseph ndio walieda wakiwa armed kwa nyumba
Shida yenye iko huyu mzee mwenye pesa ni mpole Sana anapea Joshua kazi ngumu, then hii plan yote ni ya hiki kibibi Joshua gonga Esther kma ubwa pesa itapatikana. Raster man apewe security
Sasa hapa uliwapea simu waambie majambazi na kutuma location penye wako wawakujia ama na mtu wakamera huwa haona vile mwanamke alikuwa anafinyia toll guy
Tall gay amemwambia kwa maskio ati asikuambie kitu tall gay ndiye good dealer hapo 😮😮
Kumbe ulimuona
Iyo kitu unawachapa nayo ni chungu kweli😂
Huyu madam mkimchapa vizuri mnapata pesa haraka
Ester anajua penye wameficha..pia mlete mama ya ester apo
Tallguy yani unaambia Easther asiseme kitu mwanamke mkora hata gun yenye iko kwa nyumba Eric uchunge sana itakumaliza
Hapa hakuna dalili ya kupata hio pesa
Eric behave like a real man
Jama wa orange waamemtishia life adi anaona kifo
Si Erick achape bib yake aseme ukweli. Erick huyo ni nyani mwoga
Esther aki haukuwa nahuruma na mama mkwe?uibe pesa za hos ndio akufe?utavuna ulichopanda.
Huyu msichana si ananuka Mafi.tangu ile siku Na hii nguo tu😂😂😂
Joshua kata hao wakora kidole maja maja kila mtu mpaka watoe pesa
Joshua huyo tollu mtoe kuchwa na brayzi
Money is evil😢😢
Joshuu c ugoe huyu tall guy kucha na esther wake ndio waongee
Joshua hujatandika hawa watu vizuri unawachezea huyu mama apigwe kwelikweli watoe yenye waliweka kwa shamba
Talk guy is very dangerous huyu ndonjua Kila kitu
Ama warogwe wakule nyasi😢
Grace hapo umeongea
Huyo mwanamke atoe bunduki kwanza