#MWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Mchungaji aliye Muombea kichaa akapona afukuzwa katika Eneo alilokuwa akifanyia ibada

ความคิดเห็น • 12

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU MWENYEZI ALIYEHAI atajitwalia utukufu
    Lisilowezekana kwa mwanadamu kwa MUNGU yote yawezekana
    🙏🏾🙏🏾

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atafanya njia mahali pasipo na njia✝️

  • @RamadhanMwinyimvua-ry8yp
    @RamadhanMwinyimvua-ry8yp ปีที่แล้ว

    Pole Sana mtumishi wa Mungu, kwa changamoto hiyo, ila Mungu bado yupo nawe atafanya njia pasipo na njia.

  • @richardkayewa7807
    @richardkayewa7807 11 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sanaaa watumishi

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 ปีที่แล้ว

    Hawa ndiwo watumishi wa kweli wa Mungu siyo wale manabii wa uongo hata kuwaona tu ni lazima ulipie pesa

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 11 หลายเดือนก่อน

    Unapata sehemu nyingine ya kusalia huyu ni mjinga mmoja ambae ni shetani hapo kafurahi lakini MUNGU ANAKUPA SEHEMU NYINGINE

  • @stephenlembo8986
    @stephenlembo8986 ปีที่แล้ว +1

    Bwana atafanya