Woooooooow Naona Hapa Comments Ni 28 Tu Inadhihirisha Jinsi Watanzania Tulivyo Hatupo Serious Na Mambo Ya Msingi , But All In All Mgamba Ameongea Kiuzalendo Zaidi Na Hatimaye Ameweza Kufafanua Vizuri Atlist Nimemuelewa !! May God Bless Him....Hongera Clouds Pia Kwa Kipindi Hiki Chenye Manufaa Kwa Taifa !! Host Wa Kike Nimependa Challenge Zake Kwa Mgamba Japo Hazikutosha 😀😀.... Nadhan Tuna Haja Ya Kumpigia Kura Mzee Magufuli Za Kishindo Haswaaaaaa
Mr Richard magamba your the star. Unawajua sana mabeberu! Well done HE Magufuri with his team. Yaani watanzania were blessed. Kaza kamba hapo hapo. Matanda tunayaona.💪💪
Well spoken yaani he is very intelligent kwakweli anahitaji pongezi huyu ni mzalendo wa hali ya juu.Apewe nafasi kwenye serikali ataifanya kazi yake kwa uadilifu sana.Big up 360 number one media in Tanzania 🇹🇿
Wameona ni mwanga unaomulikia njia watanzania wakaamua kuizima ili waende Lee kupora ni aibu sana hii, wanafki wameekewa mfukoni wakatumika kum'maliza jembe Ila ALLAH atawahukumu kwa aibu sana
Mjadala huu ni moja ya mifano ya mijadala inayotakiwa ili kuandaa wazalendo wengi wa nchi yetu Ni vizuri pia kupeleka mijadala Hii kwenye vyuo vyetu vikuu ili wasomi wetu wapate mwanga na pa kuanzia kulinda na kutetea rasrimali za nchi yetu kwa manufaa ya watanzania
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Sam Sasari anashangaa shangaa tu haelewi kitu. Waandishi wa siku hizi wanachojua ni kuhoji wasanii wa bongo flavor mambo ya mapenzi basi! Huu mjadala ulihitaji mtu makini wa kumhoji huyu mwamba. Jamaa kabobea na kichwa kweli kweli!!
Clouds media group ushaur wangu ni kwamba mpeni mafunzo ya kutosha huyo mwAnana dada kwenye kufanya mahojiano ili watazamaji tupate kusikia hoja nasio kuongea km anaongea na shoga zake.. aache kuongea wakat mtu anaongea
Clouds embu muambieni huyo dada aache kihelehele...yaani mtu hajamaliza kuelezea kitu anadakia na swali lingine...aache kujifanya mjuaji...anakera aisee...atulie basi
Mambo kama haya akinalisu watakuambia tumepigwa huwezi ona wanakomenti wakobuzy lushoto...eti wata iweka rehani madini yote na kufuta kodi lisu ni kichaaa
Igwee Mgamba Richard...Huyu Bwana anafaa kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali. He can speak with facts na ana-convincing language.
Namshukuru sana Mungu kwa watanzania wazalendo kama huyu
Woooooooow Naona Hapa Comments Ni 28 Tu Inadhihirisha Jinsi Watanzania Tulivyo Hatupo Serious Na Mambo Ya Msingi , But All In All Mgamba Ameongea Kiuzalendo Zaidi Na Hatimaye Ameweza Kufafanua Vizuri Atlist Nimemuelewa !! May God Bless Him....Hongera Clouds Pia Kwa Kipindi Hiki Chenye Manufaa Kwa Taifa !! Host Wa Kike Nimependa Challenge Zake Kwa Mgamba Japo Hazikutosha 😀😀.... Nadhan Tuna Haja Ya Kumpigia Kura Mzee Magufuli Za Kishindo Haswaaaaaa
Umeona ee wako tuu kule kwenye kwanini uwanja umejengwa chato
Nilichojifunza ndugu bado Tanzania tuna wazalendo wengi sana ambao wanaweza kuwekwa sehemu nzuri wakalisaidia Taifa letu
@@nyangimarwa3448 Kabisa Ndugu Nyangi ... !!
Mr Richard magamba your the star.
Unawajua sana mabeberu!
Well done HE Magufuri with his team.
Yaani watanzania were blessed.
Kaza kamba hapo hapo.
Matanda tunayaona.💪💪
Well spoken yaani he is very intelligent kwakweli anahitaji pongezi huyu ni mzalendo wa hali ya juu.Apewe nafasi kwenye serikali ataifanya kazi yake kwa uadilifu sana.Big up 360 number one media in Tanzania 🇹🇿
Richard Mgamba ni hazina ya Taifa, God bless you
Uko vizuri sana unajua kuchambua sana mungu akujalie
Mr.Richard Mgamba anajuaaaa aiseeeeee
Woooowh!!!! Richard ur the best
Sheeeeeesh! 🙌🙌🙌 Mwamba mmoja hivi mzalendo mwenye madini mengi kichwani, sijui Kama serikali inatumia madini yake vizuri? Black excellence 🔥🔥🔥☀️☀️☀️
Jamaa anasauti km ya Mh. Mkapa( RIP)
Dah huyu Jamaa nimemkubali sana mzalendo wa kweli na anajua sana ,rais plz muone huyu Jamaa anajua sana
Nimeelewa kwnn magufuli kazimika
Wameona ni mwanga unaomulikia njia watanzania wakaamua kuizima ili waende Lee kupora ni aibu sana hii, wanafki wameekewa mfukoni wakatumika kum'maliza jembe Ila ALLAH atawahukumu kwa aibu sana
Richard mgamba upo vizur .....raisi tunaomba umpe nafasi hyu mtu .....nataman nifanye kazi kwenye ofisi yake nirithi mikoba yake
Daaah nimeelewa vizuri Magufuli 5 tena
Mjadala huu ni moja ya mifano ya mijadala inayotakiwa ili kuandaa wazalendo wengi wa nchi yetu
Ni vizuri pia kupeleka mijadala Hii kwenye vyuo vyetu vikuu ili wasomi wetu wapate mwanga na pa kuanzia kulinda na kutetea rasrimali za nchi yetu kwa manufaa ya watanzania
We need this discussion every day
nimeamini ukweli wa MH Rais John pombe magufurii hiii kweli ni tanzania mpyaaa Magufurii Tano tenaaaaaaaaaaa
Moja ya mjadala bora wakizalendo kuwahi tokea 🙌🏻🔥
Huyu jamaa ni Patriotic anatakiwa kuwa msemaji mkuu wa serikali
Hongera sana Kaka kwa kutufumbua macho
Rais wangu Mh Rais magufuli mpe nafasi huyu mtu Daa huyu jamaa.. Anajua vingi na Ni mzalendoo..
Richard mgamba ukovizuri sana
Best interview
Mheshimiwa Rais muangalie huyu jamaa. Anajua sana na ni mzalendo wa kweli
The government should do business especially in this industry
Hakika
Kwa Sasa Dr Abasi anavyeo viwili mh Rais huyu anatufaa kuwa msemaji mpe nafasi
Mzee nimekukubali
Huyu Jamaaa anajua sana. Ila watu kama hawa ukitaka kuwakataa wapate nafasi za kisiasa.
Sawa kaka richard ndo maana nampenda bure magufuli
No more jembe ALLAH okoa African tufwate nyayo za jembe kutoka chato wamemwondoa ila ALLAH atawahukumu INSHAALLAH FRM KENYA
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI
Moja ya wazalendo wachache sana hawa, we need to value them when their still living
Aisee huyu mtu ni kichwa. Watu kama hawa wanatakiwa kwenye system ili wamsaidie Rais wetu mzalendo.
Ukimsikiliza richard huwez kumpa kura mwingne
😂😂😂😂😂😂😂...Kweli Kabisa !!
Hii ni shida 💪🏿💪🏿💪🏿
Yupo vzr huyu anakuja kuwa msemaji wa serikali
Kwann ivi vichwa havipewi nafasi za uongozi jamani , the guy is very smart
Sam Sasari anashangaa shangaa tu haelewi kitu. Waandishi wa siku hizi wanachojua ni kuhoji wasanii wa bongo flavor mambo ya mapenzi basi! Huu mjadala ulihitaji mtu makini wa kumhoji huyu mwamba. Jamaa kabobea na kichwa kweli kweli!!
Duh kwelii anatia huruma sana...Jamaa hatarii
Aswaaah...anaona giza
Mi nilijua huyu dada ni professional journalist kumbe anakurupuka tu
Huyu dada anamihemko 😀😀😀 hajui kitu halafu anambishia anayejua duh
Kumbe tunawatu wanaojua Mambo hivi
Jamaa hawezi kuwa mwandishi wa Habari tu.
Think thrice
Discussion kama izi ni muhim sana kwetu kama jamii
Uyu jamaa anatumia jina gani instagram
Wasomi tunao ila bahadhi si wazalendo mfano mnao JPM 5 tena
Aisee Tumepgwa sana
Hii interview ni cake kwa WaTanzania
Magufuli hapo kazi tu jameni wewe Rais Jembe hahahahah C.C.M juu.juu.juu sana
Mh Rais nakuomba umpe nafasi ya msemaji mkuu wa serikali huyu jamaaaaa
Hapana Huyu Anatakiwa atende ....Sio Kusema
Kipindi kina dakika zaidi ya 40,lakini Sam ameongea sekunde 5 tu ...😂,kweli hii mada ni moto
Hajui chochote so lazima anyamaze
Elimu Hana Yeye anajua Habari za umbeaumbea
Sam kachanganyikiwa kbs ,
Clouds media group ushaur wangu ni kwamba mpeni mafunzo ya kutosha huyo mwAnana dada kwenye kufanya mahojiano ili watazamaji tupate kusikia hoja nasio kuongea km anaongea na shoga zake.. aache kuongea wakat mtu anaongea
Clouds embu muambieni huyo dada aache kihelehele...yaani mtu hajamaliza kuelezea kitu anadakia na swali lingine...aache kujifanya mjuaji...anakera aisee...atulie basi
Mambo kama haya akinalisu watakuambia tumepigwa huwezi ona wanakomenti wakobuzy lushoto...eti wata iweka rehani madini yote na kufuta kodi lisu ni kichaaa
Daaa uyu mtu Ni ginius
Tanzania tunakoelekea nikama kongo
Daaah
Sam anatoa macho tuuuu
Hahahahaha nimemuona
@@zihuyekongo7032 hassan ngoma haya yalikuwa Mambo akee sasa.
R.I.P JPJ MAGUFULI.
Kaka Richard nimekuelewa sana, chako ni chako ukuzubaa wanabeba
O
Wape darasa hao watangazaji wa akina Sam.
Well spoken
Informers or informats?
"Informants" with an N
Sam leo umekua mpole cjawah na ha ha ha
Saf
We acha usenge hakuna wa kudanganywa bhana mzungu hana ujinga huo
Wewe ndo mjinga watu waliwageuza wazee wetu watumwa wao alafu unawaona watu wale ni wabagui wakubwa
Wewe una akili nyingi sana nilidhani wewe ndiye mjinga namba 1 ngoja nikutafakari vizuri
Kilaza
Unahitaji kufanyiwa maombi
Lete evidence yako tukuamini wewe mbina kilaza sana hivo hamka ndugu
Hii interview ni cake kwa WaTanzania