MAZUNGUMZO YA RAIS MAGUFULI NA WAFANYA BIASHARA WAKUBWA KUTOKA KATIKA WILAYA ZOTE NCHINI. IKULU DSM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Ikulu, Dar es Salaam.
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 07 Juni, 2019 anakutana na wafanyabiashara kutoka Wilaya zote hapa nchini na wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC).
    Wafanyabiashara watano kutoka kila Wilaya hapa nchini wanawawakilisha wafanyabiashara wenzao.

ความคิดเห็น • 51

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +16

    Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba endelea kumuongoza vyema raisi wetu

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +6

    Asanteni sana viongozi wetu wote mbaomsaidia raisi wetu kuriongoza taifa letu vyema mwenyez MUNGU yupo pamoja nanyi viongozi wetu

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 ปีที่แล้ว +4

    @MagufuliJP. Hongera Sana Kazi unayoifanya Rais Magufuli hajawahi kufanya yeyote kabla yako. Kura kwa hakika 95%✓✓✓★★★★★★★♥️🇹🇿🌻👏🏽 Magufuli Daima Juu Daima Oyeee ♥️🇹🇿🌻👍🏽👏🏽 UBaarikiwe Kipenzi Chetu Rais wetu Mwema Mzalendo Mwadilifu Mkweli Jasiri Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi AkuTangulie Daima na AkuLinde Daima na Milele ♥️

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante san raisi wetu asante sana makamu wetu wa raisi asante san waziri wetu mkuu na viongozi wetu wote mwenyez MUNGU yupo pamoja nasi

  • @fredymdemu9214
    @fredymdemu9214 5 ปีที่แล้ว +4

    We are blessed to have Magufuli as our president.He is doing excellently.

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 5 ปีที่แล้ว +11

    TH-cam inabidi iwezeshe kulike video zaidi ya hata mara 20

  • @harunaiddi5628
    @harunaiddi5628 5 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali mkuu.

  • @maliakisaingaraimollel4571
    @maliakisaingaraimollel4571 5 ปีที่แล้ว +5

    Nice conversation

  • @vince_vinson.2083
    @vince_vinson.2083 4 ปีที่แล้ว

    This is how you solve problems. You sit and discuss issues directly with business community. Congratulations Mr. President.

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +10

    Ewe mwenyez MUNGU mkuu muongozo wako uzidi kuwepo kwa raisi wetu daima

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +6

    Asante san baba yetu asante san kiongozi wetu asante san raisi wetu kwa kuzidi kuriongoza vyema taifa letu raisi wetu mwenyez NUNGU yupo pamoja nawe daima

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 5 ปีที่แล้ว +7

    Mama samia suluhu Hassan dahh such busara na hekima kwenye speech yake very humble ❤

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +3

    Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba endelea kuzidi kuripa mafanikio makubwa zaidi taifa letu

  • @harunaiddi5628
    @harunaiddi5628 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri,
    Hongera sana muheshimiwa Rais

  • @robertmzizima9621
    @robertmzizima9621 5 ปีที่แล้ว +6

    Yaani siku nikija kupata ata nafasi tuu ya kuongea na Mh Rais ntamwambia kitu mhimu sana

    • @wanderaothumani4919
      @wanderaothumani4919 5 ปีที่แล้ว

      Kitu gani hicho bro

    • @abuumussa2390
      @abuumussa2390 5 ปีที่แล้ว

      Robert Mzizima kitu gani hicho maana rais anamambo mengi yakufanya

    • @avax5717
      @avax5717 5 ปีที่แล้ว

      Kitu gani hicho?

    • @ianamran3039
      @ianamran3039 5 ปีที่แล้ว

      kitaje

    • @richardsoka2400
      @richardsoka2400 5 ปีที่แล้ว +4

      @Robert Mzizima Toa comments zako za pongezi au lawama hapa hapa, anazisoma zote! Huyu ni Mwl Nyerere II amini usiamini! Ila anahitaji kupata aggressive backup of the caliber of the late Premier Hon Edward Moringe Sokoine. Haya ni maoni yangu na nimikuwa wazi kwani nimeishi wakati wa Mwl mpaka sasa Dr Magufuli. Nimeona awamu zote za Marais na wasaidizi wao wakuu tangu kipendwa Mhe Kawawa Rashid na bado nipo imara kiafya na kiutendaji! To say the truth is bitter but we have to swallow the bitterness, so far hakuna kama Magufuli apart from Mwl Nyerere! Period.

  • @lucaspetromassawe2282
    @lucaspetromassawe2282 5 ปีที่แล้ว +4

    Haijawai tokea raisi kujadili na kujishusha kuwa kama watu wasio na cheo ili kusikia kero za wafanya biashara ila magu number1 big up sana magu

  • @benadam6411
    @benadam6411 5 ปีที่แล้ว +6

    Kiukweli sasa hivi naanza kuielewa serikali, hongera sana raisi ila hivi vitu vinatakiwa viwe kwenye katiba ili kama raisi yoyote atakayekuja asije akaenda kinyume na taratibu za magufuli tena

    • @polloz77
      @polloz77 5 ปีที่แล้ว

      very true

  • @ngox100
    @ngox100 5 ปีที่แล้ว +2

    Tumbua wote TRA, mameneja wote tupa halimashauri.

  • @caseyjason-ws3fr
    @caseyjason-ws3fr 4 ปีที่แล้ว

    Kila mtu ana Bonge la Tumbo, dah shida sana

  • @rashidibrahimshemlugu7845
    @rashidibrahimshemlugu7845 5 ปีที่แล้ว +4

    lkn pia namuomba mh rais wangu kwa heshima yake awatazame kwa jicho la huruma wale mashekh walioko gerezani haki iweze kutendeka.aamin

  • @joeshumbusho8824
    @joeshumbusho8824 5 ปีที่แล้ว +1

    hello im joe

  • @elimwazembe3631
    @elimwazembe3631 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekubali kanakwamba rais wa Tanzania hajatokana na ccm make ukiangalia ata wabunge wa ccm ndani ya bunge la Tanzania huwawanasifia tu nakudai kanakwamba wananchi hawana matatizo yoyte yale alakini rais wetu mpendwa bada yakuona kanakwamba wabunge wa ccm wanamdanganya ameamuaafwate maelekezo ya wabunge wauponzani .kwasasa najua wabunge wa ccm wameshajua wajibu wao ndani ya bunge sio kusofia tu ila kushauli nakukosoa kuwepo

  • @stevenmamba2464
    @stevenmamba2464 5 ปีที่แล้ว +3

    Tungekuwa na bunge makini 98% ya haya mambo yangekuwa yameshatatuliwa au yasingejitokeza kabisa. Bunge linatunga sheria na makodi yakukandamiza wafanya biashara wanakuja kulilia Ikulu.

  • @jeninunu9177
    @jeninunu9177 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @fahadmengi9808
    @fahadmengi9808 5 ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🇹🇿👍

  • @daudisongoro5641
    @daudisongoro5641 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli

    • @latifavincent512
      @latifavincent512 5 ปีที่แล้ว

      Tulikuwepo muda haukutosha tulitamani sana kufunguka magumu yatu

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 5 ปีที่แล้ว

    Tabia ya kulalamika pembeni inatokomezwa inadumishwa tabia ya Vitendo Utendaji Actiion's kukanyagana hakuna tena inabaki kuinuwana, ili kudumisha uwajibikaji Bora na hit ndio tabia ya kitajiri kitu ambacho asilimia98 ya binaadamu duniani wanapenda kuwa matajiri. Tanzania Hoyeeeeeee!!!!!!!

  • @rashidibrahimshemlugu7845
    @rashidibrahimshemlugu7845 5 ปีที่แล้ว +3

    cna lingine zaidi ya kumuombea rais wangu

    • @latifavincent512
      @latifavincent512 5 ปีที่แล้ว

      Baba Mungu akupe maisha marefu kweli tra wagawana mapato ya serekali baba tunakuomba angalia katiba tunataka kubadili vipenge ndani yake kuusiana na uongozi wa juu.tupo nyuma yako

  • @reynjau5985
    @reynjau5985 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyo karua ni dalali tu kumamaye kamata weka ndani atatuuzia nchi yetu

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +6

    Ewe mwenyez MUNGU ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoza kumsimamia kumrida na kuzidi kuimalisha afya yake raisi wetu ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @jafaribori601
    @jafaribori601 5 ปีที่แล้ว +1

    Molla akupe afya njema, kwakweli bunge ni mikeleletu na kutafutana ubaya na umaarufu, hii zaidi ya bunge.

    • @latifavincent512
      @latifavincent512 5 ปีที่แล้ว

      Kweli tuna mengi hatukuwa na pakuseme

  • @emanuelcharles3548
    @emanuelcharles3548 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyu ndio Rais bora zaidi baada ya Nyerere Tanzania

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 5 ปีที่แล้ว +15

    Ikulu mawasiliano hata nyie mkiona my comment inatosha sana
    May almighty God bless my beloved president may God grant him wisdom like king Suleiman and let him lead us to the promised land flowing milk and honey AMEN VIVA MAGUFULI

  • @emmakatemi4407
    @emmakatemi4407 5 ปีที่แล้ว +8

    kama ww uko pamoja na rais wetu lk bc

  • @elickbaruti930
    @elickbaruti930 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawaomba watanzania watakaoona huu kwamba tuwe na nia na nchi yetu. Bila kusahau kwamba siku ikatajwa Tanzania imeendelea itakuwa sisi wananchi ndo tumeendelea. Ahsante mtanzania wa kweli.

  • @ngox100
    @ngox100 5 ปีที่แล้ว +1

    Ushauri wangi ni kuwa TRA inabidi isambaratishwe yote, wale wafanyakazi wote wahamishiwe sehemu nyingine wote na TRA wapelekwe wengine. Tena watupwe kwenye halimashauri bila hivyo Mh. Rais hata akibadilisha Makamishna mi nadhani bado panakuwa na changamoto.

  • @lisamiller6702
    @lisamiller6702 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwanamke wa mikopo ni mpumbavu na walixoea utapeli wa kuuzia watu nyumba zao.

  • @omanabcd9249
    @omanabcd9249 3 ปีที่แล้ว

    Ugali chali