KWA KISWAHILI HOTUBA YA AYATOLLAH ALI KHAMENEI- "ISRAEL KUUWA VIONGOZI SI KITU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 129

  • @HusnaMtitiko-yt4ru
    @HusnaMtitiko-yt4ru 2 วันที่ผ่านมา +7

    Husbunallah Wane'mali wakil 🤲🇵🇸🍉

  • @bakarisahede9532
    @bakarisahede9532 3 วันที่ผ่านมา +11

    Awadh Rashidi mtangazaji bora ktk maishayangu nduguyangu unasauti inayovutia ktk maskio yamsikilizaji dah Allah akufanyie wepesi inshaallah ktk maisha yako

  • @bakarisahede9532
    @bakarisahede9532 3 วันที่ผ่านมา +7

    Maashallah Allah yupo pamoja na nasisi wooote tunaomizwa na dhurma inayoendelea mashariki yakati Allah atafanya wepesi inshaallah

  • @rehemahamza-l5u
    @rehemahamza-l5u 3 วันที่ผ่านมา +13

    Arusha Redio mpo viziri Alla akufanyieni wepesi❤❤❤❤❤

  • @nassorabdallahomar8526
    @nassorabdallahomar8526 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 วันที่ผ่านมา +7

    Ayatolar Khamenee Mungu Ampee Maisha marefu

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 3 วันที่ผ่านมา +10

    Kwa hili lazima tuungane ,tofauti zikae pembeni ,maana lengo la adui kuubomoa uislamu

  • @KingsMoha-l9w
    @KingsMoha-l9w 2 วันที่ผ่านมา +7

    Mpo vzr mashaallah Arusha fm

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 3 วันที่ผ่านมา +5

    Hutuba iliyo jaa khekima na Imani kwa wenye hofu ya Mungu. Mashaallah.

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 3 วันที่ผ่านมา +7

    Hotuba iliyonyooka kabisaa ❤❤❤

  • @NasriSeif-j4m
    @NasriSeif-j4m 3 วันที่ผ่านมา +4

    Hakika hii hutba ipo vzri imetukukaa hswa. Hutuba za Marais wngi naskilza kupitia ww ila hii sijaipatia mfano wke. Pia kka na ww upo vzri sna mashallah

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 3 วันที่ผ่านมา +4

    Kweli mtu wa mungu huyu❤

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 3 วันที่ผ่านมา +10

    Hii hutba ni kali hatari yaani imenisisimua ewe Muumba mbingu na ardhi ipe nguvu Iran ipe nguvu tanzania tupe uhusiano mzuri Kati ya tanzania na Irani 🤲🤲🤲Amin amin

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha 3 วันที่ผ่านมา +1

      Mbwa nyie

    • @AllykhamisAlly-nq5jk
      @AllykhamisAlly-nq5jk 3 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@AlexGwiha mbwa wewe unabweka naona

    • @rogasianshayo3740
      @rogasianshayo3740 3 วันที่ผ่านมา +1

      Hatumtaki apambene na hali yake ,

    • @bakarisahede9532
      @bakarisahede9532 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@AlexGwihaKafiri hua hana akili

    • @DohaQatar-w4t
      @DohaQatar-w4t 2 วันที่ผ่านมา

      Mikafir ishazoea kuambiwa ifungendowa za jinsia moja apo mikafir akili zako zilipo akili zao kama za wanyama​@@AlexGwiha

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 2 วันที่ผ่านมา +4

    Nimeipenda sana hii hutuba

  • @AmosMarwa-b9q
    @AmosMarwa-b9q 3 วันที่ผ่านมา +4

    Daaah! Hotuba kaliiii na yenye kwitia moyo penye kukata tamaa ebwana wee daah mungu awabariki sana

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 3 วันที่ผ่านมา +7

    Mashaallah, Allahu Akbar.

  • @rehemahamza-l5u
    @rehemahamza-l5u 3 วันที่ผ่านมา +7

    MashaAllah

  • @jayputini2731
    @jayputini2731 3 วันที่ผ่านมา +6

    Mashaallah kiongozi

  • @ramadhanjuma610
    @ramadhanjuma610 3 วันที่ผ่านมา +3

    Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar Allahu akbar 😭 😭😭😭😭😭😭😭

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 3 วันที่ผ่านมา +6

    Mashaallah 😭😭kaka Awadhi Allah akuifadhi inshaallah 🎉🎉

  • @AliAbdalla-lb8su
    @AliAbdalla-lb8su 3 วันที่ผ่านมา +4

    Tunakuamini kiongozi wetu koumeney

  • @allysalehkhamis73
    @allysalehkhamis73 3 วันที่ผ่านมา +3

    ❤❤❤❤

  • @MwinyiJuma-n4i
    @MwinyiJuma-n4i 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashallah uislamu utasimama tu kwauwezo wa mungu

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 3 วันที่ผ่านมา +5

    👏👏👏👏👏

  • @salimchum8572
    @salimchum8572 3 วันที่ผ่านมา +4

    Safi sana

  • @abubakarnyerere5263
    @abubakarnyerere5263 3 วันที่ผ่านมา +4

    Hongera sana

  • @Iddi-c2u
    @Iddi-c2u 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    AAMIN IN SHAALLAH MUNGU AWAFANYIE WEPESI MWENYE NGUVU NI ALLAH NA MWENYE MAAMUZI NIYEYE ALLAH NIMIMI MAAMUMA

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 วันที่ผ่านมา +2

    Allaah akujaalie mwisho mwema kaka awadhi rashid nakupenda unavyo tafsir

  • @ismailjohn6108
    @ismailjohn6108 2 วันที่ผ่านมา +1

    Awadh Rashid... Allah akuweke kwa Mapenz yakee

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 3 วันที่ผ่านมา +4

    Mashallah Allahu 3🎉🎉🎉

  • @bakarisahede9532
    @bakarisahede9532 3 วันที่ผ่านมา +3

    Arusha one radio mnafanya kazi nzuri sana Mungu awalipe sawa na juhudi zenu aaamin yaarabil aalamin

  • @madahaayoub107
    @madahaayoub107 3 วันที่ผ่านมา +3

    allahaqbar

  • @HamadJuma-kj5td
    @HamadJuma-kj5td 3 วันที่ผ่านมา +6

    Hutba yenye mashiko na hekma🇹🇿🇹🇿

  • @rizgramsen
    @rizgramsen 3 วันที่ผ่านมา +3

    Kaongea vzr sana

  • @ShekhanSaid
    @ShekhanSaid 3 วันที่ผ่านมา +5

    Asante

  • @MatumlaMatumla
    @MatumlaMatumla 3 วันที่ผ่านมา +9

    Mzee khaminey

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata 3 วันที่ผ่านมา

      @@MatumlaMatumla ata kula chuma tuu

    • @bakarisahede9532
      @bakarisahede9532 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@OnesmoEphrataHakuna atakae baki ktk duniahii makafiri huwa mnaogopa sana kufa kwakua mnajua mnakwenda wapi

  • @yahyadenny4368
    @yahyadenny4368 2 วันที่ผ่านมา +2

    Arusha Radio mpo vizuri sana, Ndg yeti Awadhi jitokeze hadharani ,chapa mwendo huko mbele utatangaza kwenye vyombo vikubwa vya habari duniani.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 วันที่ผ่านมา +4

    Amiin-amiin-amin

  • @hassanmohd5070
    @hassanmohd5070 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mashalla mungu awape nguvu wote wanaodgulimiwa

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ewe Allah tunakuomba umlinde Mkuu huyu wa Iran Ayatullah Khamenei. Aaamin

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 3 วันที่ผ่านมา +7

    huyu ndio kiongozi kwelikweli ,uongonzi wa kiislam

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 วันที่ผ่านมา +1

    Maashallah!
    Shukran Kaka Awadhi kwa umahiri wako wa utangazaji, Allah akubariki na akuzidishie. Tukopamoja mpaka Allah atakapo tufikisha.

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 3 วันที่ผ่านมา +3

    🎉🎉🎉 kazi nzuri kaka

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kaka awadhi rashidi maashaallaah uko vizuri napenda sana jinsi unavyo tafsiri lugha mbali mbali yaani kama mzungumzaji amehutubia kwa lugha ya kiswahili

  • @hizzasheshe3209
    @hizzasheshe3209 2 วันที่ผ่านมา +1

    shukulani sana kaka awazi mungu akuhifazi nakupe malipo yaziada duniani na akhela pia

  • @suhadsalim5528
    @suhadsalim5528 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hutuba ya mwaka ❤❤❤

  • @MohammedAli-ud8so
    @MohammedAli-ud8so 2 วันที่ผ่านมา +2

    "adui wetu NI mmoja akianza kwangu kesho anakuja kwako na vita ni tofauti kulingana na nchi dah

  • @huseinsaidy3871
    @huseinsaidy3871 2 วันที่ผ่านมา +1

    MaashaAllah

  • @marckmasassi7466
    @marckmasassi7466 2 วันที่ผ่านมา +1

    ALLAHUMA AMEN 🙏

  • @doktamathew
    @doktamathew 3 วันที่ผ่านมา +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @VyumvyeohoreIssa
    @VyumvyeohoreIssa 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi ni sunni.lakini utuba hii imebeba ujumbe kamili wakutumwa vitabu na mitume wa mungu

  • @asiaswalehe
    @asiaswalehe 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hameney mashaalh🎉🎉🎉🎉

  • @SelemaniIssah-p2g
    @SelemaniIssah-p2g 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daaaaah maneno mazito mpaka moyo wangu hauwezi kuyabeba

  • @ahmedmakame1687
    @ahmedmakame1687 3 วันที่ผ่านมา +4

    Hutuba inamazingatio kwa watu wenye akili

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 2 วันที่ผ่านมา +3

    Uislamu ndo mfumo sahihi ndyomaana watu waovu mashoga wanajua uislamu ukitawala hawatapata nafasi ya kufanya maaswi yao

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 วันที่ผ่านมา +1

    Aiseee! inaumiza saana pale haki inapodhulumiwa kiongozi kaonesha ni jinsi gani anaumia kuona viongozi wanaopigania haki za ardhi za watu kuuliwa k wa kisingizio cha magaidi

  • @MatumlaMatumla
    @MatumlaMatumla 3 วันที่ผ่านมา +2

    Ashura one redio numb1

  • @raydanfrenk
    @raydanfrenk 3 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂😂 mna kitu apo unashidwa kuwalinda watu wako napigwa kama ngoma 😂😂😂

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 วันที่ผ่านมา

    😥😥😰😥😥😢

  • @ShabaniNuru-o1y
    @ShabaniNuru-o1y 3 วันที่ผ่านมา +3

    Allahu akibar ✊✊

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 2 วันที่ผ่านมา +1

    Sadam Hussain naye alikuwa anasema hayo hayo ati tutayashinda haya makafiri hakika mwenyezi Mungu yuko upande wetu alafu mwisho wa siku akaangamia yeye.

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 2 วันที่ผ่านมา

      Unaama Gani kwamba WEWE unajua utakufa lini?

    • @SelemaniIssah-p2g
      @SelemaniIssah-p2g 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Bora sadamu amekufa anapigania nchi yake,,sasa hatujui wewe utakufa ukiwa na hali gani

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wako na confidence ona imam anazungumz na kuskizwa

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 3 วันที่ผ่านมา +4

    Mwamba huyo anaongea

  • @MatumlaMatumla
    @MatumlaMatumla 2 วันที่ผ่านมา +1

    Watu weusi awapo iran

  • @VyumvyeohoreIssa
    @VyumvyeohoreIssa 2 วันที่ผ่านมา +1

    Lini umma wetu wakisuni tutakuwa na viongozi mfano wa Hawa wakishia

    • @muktarkassim6647
      @muktarkassim6647 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sisi tubaki kuhusudiana yule motoni huyu peponi msikiti ule ni watu wa maulid huku ndio wetu kukoseana heshima

  • @MatumlaMatumla
    @MatumlaMatumla 2 วันที่ผ่านมา +1

    Watu weusi awapo iran?

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naupenda uislamu
    Hebu angalia ili uone ukweli
    Israel ameua watoto wachanga lakini Iran kapiga Kambi za jeshi tu ingawa alikua anaweza kuipiga Israel

  • @feruzmato4422
    @feruzmato4422 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uwez pigana na taifa teule israel mnajidanganya

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Msaudia amenyamaza .... Hao wasuudi walimpinga mtu mpaka sahii wamekubali kukaliwa

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 2 วันที่ผ่านมา +1

    SUBIRI KISASI CHA ISRAEL ,MTAJINYEA,B-2- BOMBER.NDEGE HATARI DUNIANI ZITAKUFIKIA HAPO KITANDANI,MWISHO WA SHETANI UMEFIKA

  • @omarykitenge8283
    @omarykitenge8283 วันที่ผ่านมา

    My take aways
    1. Siku ambayo Saudia, Yemen, UAE, Jodan, Lebanon wakiamua kuungana na Iran kwa sauti moja, basi US atarudi nyuma maili mia na hapo ndipo Israel itakacha kushambulia wapalestina na watakubali uhuru kamili wa Taifa la Palestine...
    2. Taifa la Iran ndio Taifa Imara zaidi Kijeshi, Kiintelejensia na Kiuchumi mashariki ya kati
    3. Ayatollah Ali Khamenei anafaa kua kiongozi wa Waislam duniani kote
    4. Shia ni dhehebu la waislam wasomi, wenye akili sana na uchumi mkubwa, na sivyo kama inavyoaminishwa kua ni washenzi

  • @joshuajofrey9832
    @joshuajofrey9832 3 วันที่ผ่านมา +4

    Huwezi ona mtu mweusi hapo ila sasa zipo ng'ombe kwakujipendekeza

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 3 วันที่ผ่านมา +4

      Ayo mane yetu wote.kwa ubinada dunia inatakiwa iwe na amani.japo inakuuma ww mwisrael.

    • @joshuajofrey9832
      @joshuajofrey9832 3 วันที่ผ่านมา

      @@jumamussantuiche Mimi ni Mwafrika sio mwiisrael naamini katika Uafrika na siamini hawa wageni walotutawala

    • @eliasndomba7937
      @eliasndomba7937 3 วันที่ผ่านมา +4

      Ameongea vyema sana . Si lazima awepo Mtu mweusi hapo Iran si Bara la Africa, na sio usa ni Binadamu kama Binadamu wengine ila nimejifunza irani ina umoja Mno

    • @nickbrown8350
      @nickbrown8350 3 วันที่ผ่านมา +2

      Ukipata mda Sach andika khutuba ya mwisho ya mtume sikilizia ilikua fupi

    • @AbudullaSulieman-ez7dl
      @AbudullaSulieman-ez7dl 3 วันที่ผ่านมา +2

      Kweli wewe ni mtumwaa wa kifikra kitu gani alichoumbiwa mweupe or mweusi binaadam wote ni sawa kama utakuwa na familia au watoto ndio utajuwa kwanini tupigania haki itendeke na kuwee na amani hakuna anaependa vita nazani wewe bado unaamini islamic na dini ya warabu lakini kumbuka wa islam wana kitabu je wewe unakitabu gani hakuna kitabu kinacho itwa bibilia na kama kipo mtume gani aloshushiwa bibilia? Hao wa yahudi hata kumuamini Jesus hawamuamini nawala hawafati mafundisho yake wanaifata taurati na vile vile pia hawakifati na wayahudi wa ssa ni wazungu sio wale waliongelewa kwenye vitabu

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 2 วันที่ผ่านมา +1

    MUDA MCHACHE UJAO HAYO MADEVU YATANYOLEWA NA MOSSAD,IRAN NDIE SHETANI ALIEBAKI TUTAWAPIGA NA IRANI TUTAPAFUGIA NGURUWE,PUMBAVU

  • @IsmailBagayabakwe-bb1pl
    @IsmailBagayabakwe-bb1pl 2 วันที่ผ่านมา +1

    Subiri israeli amalize kupiga hamas na hezbola vita itaingiya irane kama.iran ana nguvu aingiye mara moja vitani na israeli atajuwa nguvu ya israeli siyo leho ama jana israeli anapigana na ichi za kyarabu ushindi ningambo ya israeli thu?

  • @marysanga5310
    @marysanga5310 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kwenini huyo mzee anawatuma magadi kusambulia islaeli wakipigwa unaansa kuse wayaudi wakorofi wakati mwanzirishi ni wewe kaa uturie uwaongoze watu kwa hekima na upendo sio unakua mchochesi

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sisi masunni tumebaki kuhusudiana Kuraddiana kukuseana heshima...

  • @simonkimeu6818
    @simonkimeu6818 2 วันที่ผ่านมา +2

    Israel itawamaliza siku zako zinahesabika wewe, wewe ndio umeingiza hawa watu wote kwa shida kuwafundisha kuchukia watu damu Yao iko kwenye mikono yako,mtajua Mungu wa Israel ni mkubwa,,tena mbona huyo allah hajawapigania hiyo vita amewaacha mkafa 😅

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 2 วันที่ผ่านมา +1

    HUYU MZEE NDIE SHETANI AMBAE MOSSAD WANAMUWINDA,SIKUSINYINGI ATAKWENDA KABURINI,MUNGU WA WAPI ? HUYU NI SHETANI

    • @NganziSalimu
      @NganziSalimu วันที่ผ่านมา

      Wewe kafiri unaye shabikia makafiri na mashoga wenzio wenye kumwaga damu za watu wasikuwa na hatia, mnaogopa kufa sana , utadhani mliumbiwa hii dunia kukaa milele! Ama waislamu kufa katika kuipigania haki ni utukufu na heshima kwetu mbele za Mungu mlezi, hivyo tunaitafuta daraja hiyo tukufu.
      Lakini unatakiwa kufahamu wewe kafiri, kwamba kuuliwa viongozi wetu hawa ndiko kunakoipa nguvu njia yetu, na isingekuwa hivyo hata huyo uliyemuita shetani kwa ujinga wako usingemuona hapo alipo fika maana washauliwa viongozi wengi kabla yake. Dhuluma haiwezi kudumu.

  • @yahyadenny4368
    @yahyadenny4368 2 วันที่ผ่านมา +2

    Awadh Rashid upo wapi siku zote hizo?

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 4 นาทีที่ผ่านมา

    Mwamba anaemtegemea mola pekee kasimama imara mkombozi wa wanyongee

  • @huseinsaidy3871
    @huseinsaidy3871 2 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @zuberikasonso4104
    @zuberikasonso4104 3 วันที่ผ่านมา +3

    Mashaallah

  • @HassanLimbwenda
    @HassanLimbwenda 3 วันที่ผ่านมา +5

    ❤❤❤

  • @SimbaZuberi
    @SimbaZuberi 2 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah