Mbunge Jalang'o wa nchini Kenya akiwa na Mandonga Mtu Kazi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
- Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
/ @simulizinasauti
Kenya ameshapata umarufu
Ndungunyooooooooooo.... UKIPIGWA kweny tumboo kama ujavaaa pempasi unachafua aliii yaa hewaaaaaaa...
Yaani hyu jamaa alimfanya mpaka yule jamaa aliempiga aende kanisa kusafisha nyota🤣🤣🤣
😄😄
M/mungu amjalie mandonga Ashinde
Akishindwa kama kashinda😂😂
Tumetok ndoige now Sugunyo 🤣🤣🤣 mandoga unafaa uwe comedian
Weye KK Madonga pôle pôle tuuuuuu!!!!
Tuna kusuburi kwa hamu kbs
Kusema ukweli huku Kenya tunamwogopa 😂😂😂shida tu apigwe
Hahahahaaa
Mandonga amenifanya nijue ndondi Hii nchi ifike mahala watu Kama hawa wapewe heshima . Japo uwezo wake sio kiivyo kwenye mapambano ila mwamba anajua plomo Yuko juu kuliko Media
Kabisa 💯 amefanya watu wengi wako attention na game hata kama atashindwa ni sawa anajua kutangaza biashara 💯
Hahaha mzee wa ndoige bora ushinde ili upate heshima zaid
Mandonga Akipigwa Na Shabani Kaoneka hadi akawa maarufu Nilikuwa Tanzania Likizo na sasa nipo Kenya nae kaja uku basi atapigwa tu awe maarufu pia...😂😂😂😂😂💔
Akipiga amepiga na akipigwa kama amepiga tu 😝😝😂😂
@@abdallahmohammed9267 Vitu vya Ndoige Ausio😂😂😂
Kyenya tunawasaport TZ lakini nyie wabinaafsi!!
Kweli kabisa mpenzi shukrani kwenu
Ebu nipe mfano ubinafsi wa wa Tz ni mbona Kenya 🇰🇪 na Tz tunasapotiana vitu vingi?
THE GUY IS A GREAT MARKETER
Hahaha wewe kaka 🥰🥰😆😆😆😆🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤
Mandonga ni mtu atari yani yy ndo alipogwa ila aliye mpiga ndo anaenda kanisani kusafisha nyota 🤣🤣🤣
Wampige ila wasituulie tu mandonga wetu😂😂😂😂😂😂
Hyo anaepigana nae anakula ugali 2kg pekeyake subirini muone
Nataka akutane na Ugali Man🤣🤣🤣
🤣🤣hiivi..anapata wapi muda wa kufanya mazoezi kujiandaa na pambano?🤨
Hahaha hata Mimi najiuliza...atatuaibisha round ya kwanza tu😀
Hahaha tangu aende Kenya hajafanya mazoezi...wamempa ratika tight sana ..wanyoni anajifua tu
Sugunyoo 🤣🤣😍😍😍😍
This dud is fuccin hell of a comedian and a promoter by himself
Mimi ni Mkenya lakini napenda vile Mandonga anaongea 😂. Charismatic boxer 😊
Huyu tutachapa
Ila msimuue jamani hahah
ila mandonga ungekua unashinda kama maneno yako mhh atale 😂😂
It’s so sad to unatambua mtu wa tz na sio wanyonyi
Nyie nyie...... Msije mkamuua mandonga wetu huyo msimpige Sana
Mimi mkenya ila..mandonga nkp zaidi,chafua mtu
Mtu kazi me jo nayo niko nyuma ya huyo champee
Madonga ajengewe sanamu Big Kaka Frederick Bundala aka Skywalker ♥️
sugunyo
Huyu apelekwe Churchill show😄
😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿
😂😂😂😂 mandonga watanzania tunakupenda
Huyo bwana noma
Hatarii madonga
noma
😂😂😂
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊
Mzee baba kaenda kutalii 😅😅
😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtukazi 🔥🔥🔥🔥🔥
Mandonga Please Usituangushe..Fanya Upigwe mpaka ufe utakuwa shujaaaaa🤣😅🤣😅😅 Sugunyoooo🔥🥊🥊
Tunawaomba wakenya mpigeni Kisha afie ulingini ila mwili wetu mturudishie na ngumi yetu ya fugunyo
Anaweza shinda 😂🤣 waandaji wanamwandalianga tu mayai 😂😂
JAMANI HII NI SPORTS,HABARI YA KIFO TUWEKE MBALI.MUNGU WALINDE NA WASIMAMIE MABONDIA WOTE WAWILI WAWE NA USHINDANI MZURI NA WAMALIZE WAKIWA SALAMA KABISA.
Kweli ni baba anawatafutia wanae asikufe jamani