KIVUMBI! MBOWE ATANGAZA NIA YA UENYEKITI KUCHUANA NA LISSU?, MNYIKA ATOLEA UFAFANUZI NI BALAA ZITO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @yassinnabwera4273
    @yassinnabwera4273 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mheshimiwa John J Mnyika,umeyajibu vizuri maswali yote ya Waandishi wa Habari na hasa swali la tuhuma za Mheshimiwa Tundu Lissu juu ya ubadhirifu ndani ya chama chetu.Hongera sana na mwenyezi Mungu akulinde na akujalie Afya njema.

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Au km kuna dispensary karibu nunua huko

  • @melch3097
    @melch3097 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mi nampenda lisu lkn. Mbowe anahaki pia

  • @nestorysylvester8085
    @nestorysylvester8085 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    tundu lissu anafaa kuwa mwenyekiti wachama

  • @kakanicodemus3632
    @kakanicodemus3632 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwamba mbona ni anaonesha kama ni yeye na mbowe damu damu

    • @rashidissa5887
      @rashidissa5887 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      BINAFSI NAWAOMBA MMOJA WAO UCHUKUWE UWAMUZI KAMA VILE ACT