Example ( 45° N, 36° E ) Ya kwanza ni latitude 45° N. Because it runs from East to West.. Hiyo ndio itakuambia uko juu ya equator ama chini ya equator kwa kiasi gani
Hehe sababu imelala flat from East to West kama vile equator.. that means latitudes zitakuwa juu ya equator au chini ya equator ukizilinganisha na equator. Juu ya equator ni North. Chini ya equator ni South
Use a football utaziona small circles and big circles vizuri. All longitudes start from the north pole and run through the south pole back to the north pole. Yaani ni full diameter of the globe 🌎 Lakini kwa Latitudes ni equator peke yake ndo inapita kwa "east pole" na "west pole" to use the full diameter of the globe. Hizo latitudes zingine zinatengeza smaller circles as you move higher up the globe from the equator. Na pia latitudes zinatengeza smaller circles as you move down from the equator to the south pole.
Read the other comments. Latitudes above the equator and latitudes below the equator huwa ni small circles. Kama hujafahamu tutafute watsapp tukusaidie. All the best 👍
Shukran mwalimu may Allah bless u and ur family inshallah
Jazakkumullah Ahbabi... شكر ا لجزاء
thanks
Thanks mwalimu
Improving my maths brain
thanks a lot
I think this question was tested in 2015 and not 2018
Mwalimu plesa show us online teaching on this topic
Whatsapp 0717588568
lt was 2015
Namba ya WhatsApp mbna hamujaweka
sasa ile example ambayo umeitowa waangalia ya kwanza ama ya pili[in terms of the degrees]
Example ( 45° N, 36° E )
Ya kwanza ni latitude 45° N.
Because it runs from East to West.. Hiyo ndio itakuambia uko juu ya equator ama chini ya equator kwa kiasi gani
Unaweza nisaidia nq swali ya kcse 2016 plz na utoe video
Sir can we use the other formula of small circle then change the degrees to nm
Watch more examples
u have said small circles ni latitudes. sasa latitude itakuwa from north to south or from east to west
Latitudes run from East to West. parallel to the equator.
Either above the equator (Latitudes North )
Or below the equator ( Latitudes South )
sasa kama ya run from East to West bona hiyo 45 degrees imeandikwa north na si East wala West
Hehe sababu imelala flat from East to West kama vile equator..
that means latitudes zitakuwa juu ya equator au chini ya equator ukizilinganisha na equator.
Juu ya equator ni North.
Chini ya equator ni South
how do u know if this is a small or a big circle
Use a football utaziona small circles and big circles vizuri.
All longitudes start from the north pole and run through the south pole back to the north pole. Yaani ni full diameter of the globe 🌎
Lakini kwa Latitudes ni equator peke yake ndo inapita kwa "east pole" na "west pole" to use the full diameter of the globe.
Hizo latitudes zingine zinatengeza smaller circles as you move higher up the globe from the equator.
Na pia latitudes zinatengeza smaller circles as you move down from the equator to the south pole.
It's 2015 not 2018
How will u know it is a small circle
Read the other comments.
Latitudes above the equator and latitudes below the equator huwa ni small circles.
Kama hujafahamu tutafute watsapp tukusaidie.
All the best 👍
No. Ya whatsapp ni ipi
0717588568
na longitude itakuwa from north to south
North Pole to South Pole
it is really confusing