Mungu ibariki Yanga Mungu mbariki GSM mpe afya njema asipungukiwe Mungu mpe baraka tele Rais Eng Heris uzidi kumpa maarifa Mungu bariki Kocha wetu Gamondi na benchi lake la ufundi
Alafu hana upendeleo wa upande wowote Simba akifanya vizuri anachambua viizuri, Yanga akifanya vizuri anaichambua vilevile yaani huwezi kujua upande wake
Naipongeza yanga na wadau wote wanaoisapot timu hii Maana tulikuwa team work Hadi matokeo haya mazuri tunayapata na kipekeee mwenyezi mungu ni wa kwanza katika hili Amen
Wananchi, MUNGU aliye hai, yupo upande wetu, ubingwa wa CAF champions league ni wetu, 2024/25
Wakati wa mungu ni wakati sahihi. ❤❤❤
Tunashukuru soka letu la bongo linakuwa👍👍👍👍
Mungu wetu zidi IBARIKI YANGA
Nawaona yanga fainali msimu ujaoo
Mbwaduke ni Mwalimu Bora kabisa
Ufafanuzi safi kabisa. 👏
Mungu ibariki Yanga Mungu mbariki GSM mpe afya njema asipungukiwe Mungu mpe baraka tele Rais Eng Heris uzidi kumpa maarifa Mungu bariki Kocha wetu Gamondi na benchi lake la ufundi
Maneno ni yaleyale ya boss GSM "Yanga bingwa"
Mungu ibariki YANGA
🙏🙏🙏🙏🙏💛💚💪zetu dua cku zote 🙏🙏 asanteni viongozi wetu Mungu awacmamie ktk yote 🙏🙏
Tunamuomba Mamelodi sundowns tumuulize lile goli sio goli
Nakubali sana mwamba chukua maua yako 🎉🎉🎉...
Asante mzee wa Data
Mbwaduke n bonge la tcha
Itakuwaje kama zamalek ikimaliza nafasi ya pili katika ligi kuu misri
Nimefurahi sana ulivyoifyekelea mbali mikia fc.
😂😂😂 wako uko matopen
Big up mzee wa data
Hakika huwa nakukubari sana kiongozi
LILE KUNDI TULILOSEMA NI UNGA WAWILI SHIRIKISHO, MMOJA CHALI, MAKHIRIKHIRI PEKEE KABAKI MABINGWA
mwakani kama sio medali bac ndooo...HERE WE DO💚💚💚💛💛🇹🇿🇹🇿
Thank youuu mzèe wa data tunakuelewaa🎉🎉🎉🎉🎉
Asante Engineer katuheshimisha
Asante Mungu Kwa kutupandisha juu kwenye ubingwaaaaaaaaaaaaaaa
Mbwaduke nakukubali sana ktk uchambuzi wako
Mzee wa data nakuelewaga sana icho kichwa chako nibkama computer hakisahau🎉🎉
GSM hongera kwake
Yanga ni bora simba fanyeni usajiri acheni maneno
Mwaduke ni Bíg brain sana,. Yani ana data kichwani na ana flow nzuri sana.
Mzee anamwitaga compyuter tukiwa sebleni.
Amejitwalia umaarufu Tanzania na barani Afrika nzima nafikiri kwa sasa ndiye mchambuzi bora
mbona wameanzia chekechea?😂😂😂
Ninamuerewasana kwa uchambuz
Mbwaduke unajua sana
Alafu hana upendeleo wa upande wowote Simba akifanya vizuri anachambua viizuri, Yanga akifanya vizuri anaichambua vilevile yaani huwezi kujua upande wake
New yanga msimu ujao naiona
Ina maana asas ni bora kuliko simba?
Hapo nataman mamelod ajae kwenye copy za yanga again na atajuta
Haaaaaa
kongole kwako bwatuke
Asante Kwa Kutuhabarisha Wachumbuzi Uchwara Wakufuate Uwape Elimu
Yanga Mungu aibariki
Wewe ni mchambuzi Bora zaidi afrika....unafanya soka lionekane kitu rahisi
Mzee wa data
Safiii!!!!!
GCM mungu akubaliki sanaaaa, ktk uongozi wk wa yanga atuna chakukulipa wana yanga, mungu akulinde kila jitihada zk Amina
Waooo !! YANGA🎉🎉🎉 JUU POKEA MAUA YENU WANA YANGA WOTEEEE🙏💛💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚
Naipongeza yanga na wadau wote wanaoisapot timu hii Maana tulikuwa team work Hadi matokeo haya mazuri tunayapata na kipekeee mwenyezi mungu ni wa kwanza katika hili Amen
Nakubali sana mzee wetu wa takwimu sasa fanya mpango upate maiki ya kuvaa sio kushika na mkono
🙏🙏🙏🙏🙏👑👑👑👑👑👑👑
YAANI!! YAANI!! MBWANDUKE UMELIFUKUA KABURI LA MAUMIVU LA JAMAA ZETU WASIOIPENDA YANGA!!
🎉🎉
mbwaduke napenda unavyo chabuwa
You the best
MZEE WA DATA
Good job my brother!
Wana nchi
Yanga
💚💛🖤💚🙏🙏🙏
Mr Mbwaduke mchambuzi fundi Tanzania 😢😮😮