Kwanza Zanzibar ni visiwa viwili ambavyo ni unguja na Pemba na sio Zanzibar na unguja halaf unguja na Pemba usafiri ni meli🚢 au boat ⛵ kwasababu Amna barabaran iliounganisha unguja na Pemba Bali ni bahari tuh ndugu
@@MbaroukKhalifa ahsante kwa kujifamisha bro nijua kua Zanzibar ni kisiwa kimoja unaweza kuvuka kwa bus ila nilichanganya baada ya kuona comment yko nimeangalia Google kumbe ni uzi ndo unaweza kuvuka kwa bus
Dah naomba ,naomba ,naomba weeeew umezidi daaaa 😂😂😂😂 humezi mate ,wayatoa wapi ayo maneno yote
Ami zangu mpani like zangu 🎉
Wakwanza leo 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Team mau kazi nzuri ila vipande vidogo
Mashaallah Allah awafanyie wepesi
Jamani mau hafungi kweli au hii film imechezwa mwezi wa kula mchana 😮
Mwez wa kula mchan
HIO inaandaliwa rajabu mwshon au shaaban Mzim.... Hee asifunge ten!!!
Mwatukosesha hara jaman vipande mvifupi sana 😂 mwez mmoja tu na mie naandika kizanzibar mashallah mungu mwema. Hongereni sana naipenda sana filam yenu
Binamize umekosea kwakweli uwo msahada haukufai😢😢
Leo naomba yuko very serious big up naomba 🎉
Masha allah kazi nzuri bado allah awalipe kwa kutuletea ujumbe km huu
Wa pili jmn ❤❤
Naomb like zang kutoka use🇺🇸🇺🇲
Tupo pamoja nipo hapa pia
Pamoja 🇺🇸
Naomba shikamoo dade 🤝😂😂
wa pili leo naomba like zen
Naombaa kibenderaa oyee
Nimewahiii 🎉
Naomba kibendera 😂😂
Na mm nasema mwatunjima raha vipande ni vidogo sana hebu jitshidini muviengeze kidogo
Walah waongez mda jaman
much love always
Wakwaza leo
Kwa kwel mnajtahid Ila Naomba anafanya kaz san, big up kwke 💪
Naomba wajuwa wajua sana haswa😂😂😂
takupiga ganjaa naomba
Naomba 😂😂😂😂😂 kama kiredio
Warda yuko wapi? Tumemmiss.
Na mm nmefik ekua nk njian nrd finy
Xaxa uyo mau hafung kwel😮😮
Ndio kimchezo hafungi
Mchezo umeektiwa mwez w kula na mchana
Nimewah❤❤❤
Masaa2
sapna tupe kazi dad
Naomba Kibendera😂😂😂😂
Watatu leo
Filam ina mafunzo mazuri sana mnajitahid.
Naomba shoga unanikoshaje😂😂😂😂
Wanne leoo
Hatua kwa hatua ❤❤❤
Ww bimize wangtendekeza sana ondoka umuache aone 😢😢😢
Mau mpemba umetisha😮😮
Hahhh et nakujua waitwa kunde may unafrahisha😅😅😅😅
❤❤❤❤😊😊😊😊
Kila mtu wa kwanza
Leo nmewah jpo like 20
Mashallah
Naomba unatisha kwakweli dada
Naomba kuuliza Zanzibar na pemba kwa bus la mwendo kasi linatumia masa mangapi?
Pole 😂😂😂
😂😂basi litazama lazim upande ⛵
Kwanza Zanzibar ni visiwa viwili ambavyo ni unguja na Pemba na sio Zanzibar na unguja halaf unguja na Pemba usafiri ni meli🚢 au boat ⛵ kwasababu Amna barabaran iliounganisha unguja na Pemba Bali ni bahari tuh ndugu
Labda upande jahazi au ngarawa ndy utawah kufika ivi unatujejea Wapemba wakat kw dharau tunazo mpk za kuvumbika mbali za kuiva juu
@@MbaroukKhalifa ahsante kwa kujifamisha bro nijua kua Zanzibar ni kisiwa kimoja unaweza kuvuka kwa bus ila nilichanganya baada ya kuona comment yko nimeangalia Google kumbe ni uzi ndo unaweza kuvuka kwa bus
🇴🇲🇴🇲🌹🌹💯
Huu ndio utamaduni wa wapemba, naukubali sana nahofia unaenda kutoweka utabakia ktk film za mau tuu
jmn wardaa
Afadhali iyo aibu asiitoe juu ya uroho wake
❤❤❤❤
Maalim Faridi
Vijiroba tna
Nipeni likes zangu wa mwisho 😊😊😊
Ety mpe chochote atapokeaa
🔥🔥🔥
24
Vipandevidogo vidogo
Lakini mwanamke asiyeridhika ni mbaya zaid tena hatari
Michezo inasomesha hii na maana wanawake tulionanao hawa
ILIPOISHIA 17 SIPO ILIPOANZA 18 DAH MAU UNATUANGUSHA
engezeni ukubwa wa vipande
Wa 1431