Habari bwana Baltazar, Hongera sana, Nina kiu sana ya kuona kwaya zinaingia studio na kurekodi nyimbo za mzee Mgandu ili kuendelea kukionesha kizazi kipya uhalisia wa muziki wa kikatoliki. Naamini una nafasi kubwa sana kwenye muziki wa kanisa, naomba utumie nafasi hiyo kuona unafanya kitu kutokana na ujumbe niliokupa. asante
Hongera sana kaka

nipo kaka tutafutane kwa namba 0719090824 au 0768613538
Hongera sana kaka.
Natamani kweli kujua kinanda
Karibu
Jamaa anajua mpaka raha yaani
Kidogo kaka
@@baltazarimtui2861 oyaaa aisee mpk narudirudia.. Mungu akubariki sana kaka
Mungu akubariki...
Chaz Mzena Amina nawe kaka
Amina amina...
Nawezaje kuupata huu wimbo ukiwa umeimbwa na wanakwaya kwa hiyo tune
upo swahilimusic
edward makaura nyingi hazina tune kama hii anayopiga hapa ila inayoendana nota hizi nimeikosa
ni ya Mgandu pia IPO smn kaka
mkuu unapatikana WAP napenda xana hiyo ishue nataka nije unifundishe