Molex Kea - Anisamehe (Official Video Lyrics)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Shalom Mpendwa, Napenda kukukaribisha ili uweze kusikiliza Wimbo huu wa ANISAMEHE naamini utabarikiwa kupitia Wimbo huu.
    #MolexKea #Anisamehe

ความคิดเห็น • 87

  • @MachelleFlugence
    @MachelleFlugence 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU akubariki sana mwanangu kwa wimbo mzuri Roho Mtakatifu ailinde aikuze huduma hii hadi viwango vya juu!

  • @AgnesChris-tq8bq
    @AgnesChris-tq8bq 3 หลายเดือนก่อน

    Ni wimbo wa Baraka sana nimejikuta nauludia kuusikiliza mda wote Mungu akubariki sana molex mtoto wa SNP hakika ni Ibada tosha

  • @AnithaJustin-ow1nh
    @AnithaJustin-ow1nh 3 หลายเดือนก่อน

    Ngoma nzuri aiseee MUngu akubariki mtoto wa SNP tunajivunia kuwa na ww

  • @ellyshermwasa6152
    @ellyshermwasa6152 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sanaaa

  • @laurentpeter1576
    @laurentpeter1576 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana

  • @ritiaskayanda
    @ritiaskayanda หลายเดือนก่อน

    Good song 🎉

  • @dannyboas1409
    @dannyboas1409 3 หลายเดือนก่อน

    Ka wimbo ka mwaka aka kak🔥🔥

  • @meckyshija6312
    @meckyshija6312 3 หลายเดือนก่อน +1

    Anisamehe🙏❤❤

  • @fidisonbiseko7674
    @fidisonbiseko7674 3 หลายเดือนก่อน

    Waooo hongera sana songambele

  • @mapachawayesu
    @mapachawayesu 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana, kazi ni nzuri sana

  • @holinessfulgence2551
    @holinessfulgence2551 3 หลายเดือนก่อน

    ANISAMEEEEEE🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @joshuasitta293
    @joshuasitta293 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen, be blessed

  • @DianarosePriva
    @DianarosePriva 3 หลายเดือนก่อน

    💯

  • @EdwardBaloziwayesu
    @EdwardBaloziwayesu 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hongela sana mwana wamungu

  • @holinessfulgence2551
    @holinessfulgence2551 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nauliza kitu mmekisiki hikiiii jaman nyimbo inaradhaaaaaaaaaaa hiiiii unataman uendeleee kuisikiza tu muda wote huuuuu nizaidi ya wimbooo💃💃💃💃💃💃💃

  • @DeboraJohn-im3lz
    @DeboraJohn-im3lz 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amina kaka hii siyo nyimbo tu bali ni somo lililobeba ufunguo wa maisha yetu wanadamu mungu azidi kukuinua broo

  • @DeboraJohn-im3lz
    @DeboraJohn-im3lz 3 หลายเดือนก่อน +1

    hakika nimebarikiwa sana na huu wimbo mungu akuinue zaid ya hapo

    • @molexkeaofficial
      @molexkeaofficial  3 หลายเดือนก่อน

      Amina kubwa napokeaaa🙌🙌

  • @gladnessmatle907
    @gladnessmatle907 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana kwa huu ujumbe mzur

  • @piuswilson2502
    @piuswilson2502 3 หลายเดือนก่อน +1

    ✨✨

  • @dynessmbawala2107
    @dynessmbawala2107 3 หลายเดือนก่อน +1

    Utafika mbali Mno bro naona😘

  • @goodluckcharles3951
    @goodluckcharles3951 3 หลายเดือนก่อน +1

    Na mimi naomba anisamehee

  • @juniorofficallmedia5486
    @juniorofficallmedia5486 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @ankomtoto9532
    @ankomtoto9532 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikwe mno kazi nipo poa sana

  • @elishageorge492
    @elishageorge492 3 หลายเดือนก่อน

    Hatariii sanaa Hii Ni Ibada Kamilii 🙌🙌
    MUNGU Anosaidieee😢🙏

    • @molexkeaofficial
      @molexkeaofficial  3 หลายเดือนก่อน

      Atakusaidia Baba imekuwa🙌🙌

  • @evmbaigwa9849
    @evmbaigwa9849 3 หลายเดือนก่อน

    NIKUPE MAUA YAKO MY BEXT SONG MUNGU AKUBARIKI SAAAANA KAKA HII KWAKWELI UBARIKIWE

  • @laurentpeter1576
    @laurentpeter1576 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana tumepokea ujumbe mzur

  • @molexkeaofficial
    @molexkeaofficial  3 หลายเดือนก่อน

    This bless is coming💥💥💣💣

  • @DeboraJohn-im3lz
    @DeboraJohn-im3lz 3 หลายเดือนก่อน

    hakika nimebarikiwa sana na huu wimbo mungu akuinue zaid ya hapo

  • @believeshuma
    @believeshuma 3 หลายเดือนก่อน

    Haya nimekua wa kwanza ku comment

  • @elinahlawrancemwaipopo7633
    @elinahlawrancemwaipopo7633 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu moyo wangu unataka amani
    Kama nmefanyika sabbu ya maumv Kwa maisha ya mtu yeyote anisameh sema na moyo wake
    Aachilie moyo nmegeuka

  • @SALOMEPOLINO
    @SALOMEPOLINO 3 หลายเดือนก่อน +1

    Motooooo

  • @bongoflevakitambo9995
    @bongoflevakitambo9995 3 หลายเดือนก่อน

    🔥 🔥 🔥 🔥

  • @DeoCosmas68
    @DeoCosmas68 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri kaka Mungu akuinuee zaidii 🎉

  • @holinessfulgence2551
    @holinessfulgence2551 3 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @isaackobelo6650
    @isaackobelo6650 3 หลายเดือนก่อน

    🔥 🔥

  • @RahabuLuleka
    @RahabuLuleka 3 หลายเดือนก่อน

    ❤🎉

  • @madialuponeja1634
    @madialuponeja1634 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka yangu haya maneno😭😭😭😭

  • @annethmagese4372
    @annethmagese4372 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sanaaaaaa

  • @KIJANAMUSIC_
    @KIJANAMUSIC_ 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana mwambie anisaamee

  • @SeciliaNgakongwa
    @SeciliaNgakongwa 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana

  • @SALOMEPOLINO
    @SALOMEPOLINO 3 หลายเดือนก่อน

    Tendele kulike

  • @essaumkuye5024
    @essaumkuye5024 3 หลายเดือนก่อน

    Just waaaooo ❤

  • @OfficialEliyah_
    @OfficialEliyah_ 3 หลายเดือนก่อน

    Hit Song💥

  • @zedekiahazio6475
    @zedekiahazio6475 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana.Mwenyezi Mungu aendelee kukupigania