TAZAMA UNITED KINGS OF AFRIKA WALIVYOTANGAZWA KUWA WASHINDI WA UNITALENT 2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 พ.ค. 2021
  • Ni Headlines za kundi la United kings of Africa (UKA) ambapo Mei 22, 2021 wametangazwa kuwa washindi wa Uni Talent ambapo wameibuka kuwa washindi wa Milioni 10.
    .

ความคิดเห็น • 107

  • @ashirafkhamis1556
    @ashirafkhamis1556 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nilishasema kabisa hawa jamaa wasipopewa ushindi basi naandamana,nilishatoa tamko rasmi kabla hata hawajafika makundi BIG UP SANA KWAO MOLA AWAJALIE KIPAJI KIZIDI KUKUA #UNITED KINGS OF AFRICA (UKA)🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥

  • @kelvinpeter1564
    @kelvinpeter1564 3 ปีที่แล้ว +9

    Hawa jamaa wamedeserve kushinda kwakeli.Kucheza watu wengi wanaweza lakini creativity ndo inafanya dance ionekane kali zaidi.Hawa jamaa creativity yao ni next level tangia mwanzo wa mashindano.

  • @dtejoz
    @dtejoz 3 ปีที่แล้ว +16

    Hawa jamaa wanajua mpaka wanakera, wapo vizuri balaa! All the best kama mtaichukukulia ni carrier!

  • @munaahmed8499
    @munaahmed8499 3 ปีที่แล้ว +15

    Wasingeshinda hawa walah nikuwaonea maan wanajitahid mno

  • @brianmwasaru797
    @brianmwasaru797 3 ปีที่แล้ว +1

    United Kings of Africa.. U deserve every single scream wenzangu...keep up the dance spirit

  • @lucyalbert6161
    @lucyalbert6161 3 ปีที่แล้ว +2

    Wooooow wooooowww nimefurahi jamani nawapenda sana

  • @royalwhoperzdancecrewkenya6351
    @royalwhoperzdancecrewkenya6351 3 ปีที่แล้ว +2

    I love the show we need it in Kenya Eldoret

  • @emmaustrevor8776
    @emmaustrevor8776 2 ปีที่แล้ว

    That was a slap of the century, who else saw that???

  • @JrMambo
    @JrMambo 3 ปีที่แล้ว +27

    Jamaa wametumwa kuBooo' ila automatic shangwe linawazidi 😂😂

    • @rehemaalexnjiku3927
      @rehemaalexnjiku3927 3 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimechekaa kwa sautiiii ety yeeaaah wametumwa kuboooooooo

  • @debradebs5497
    @debradebs5497 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni haki yao kushinda Jmn wapo vzr

  • @nestoemanuel2821
    @nestoemanuel2821 3 ปีที่แล้ว +1

    Hadi raha 👏👏

  • @moseskahamba4231
    @moseskahamba4231 3 ปีที่แล้ว +6

    Hawa madogo walistahili ushindi wamepambana..

  • @rumyxhaelkoka8329
    @rumyxhaelkoka8329 3 ปีที่แล้ว +1

    Well done brother's 👏👏😍😍

  • @annamarry2033
    @annamarry2033 3 ปีที่แล้ว +3

    Wamestahili😍

  • @pix_1lyrics777
    @pix_1lyrics777 3 ปีที่แล้ว +8

    Aiseeh tunategemea mengi kutoka kwenu ,,,,,,yani mnajua mpaka mnakela ni 🔥🔥🔥🔥,,,
    Km vipi anzisheni official account ya TH-cam tupate vitu vyenu,,

  • @nilusclavery9855
    @nilusclavery9855 3 ปีที่แล้ว +3

    Stage lights kuna muda hazikai poa waandaaji waliangalie hilo kwa better version of UniTarent ..

  • @officiallyrics7530
    @officiallyrics7530 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamanijamanijamani hawa jamaa n so creative cijapata kiona yan ni fayaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥?fayaaaaaaaaaa mara ya 20 naangalia hii videeo ndoja nikaweke banndo nirud

  • @BUCHOSAONLINETV
    @BUCHOSAONLINETV 3 ปีที่แล้ว +1

    Shida ya Aya mashindano yanachanganya vitu ving....Hapohapo waimbaji dancers comedian....So n ngum kuelew aiseee

  • @robertdamas8804
    @robertdamas8804 2 ปีที่แล้ว

    Iko powa

  • @daxpcomando9440
    @daxpcomando9440 3 ปีที่แล้ว +1

    sehemu sai kabisa ubingwa

  • @musashaweji4835
    @musashaweji4835 3 ปีที่แล้ว +1

    Awo jamaa wanakipaji Cha Hali ya juu nimeanza kuwafuatilia mwanzo Mpaka leo 👏👏👏

  • @raynaeafrica9464
    @raynaeafrica9464 3 ปีที่แล้ว +3

    They deserved🤩🤩🤩🤩

  • @bintspeech3868
    @bintspeech3868 3 ปีที่แล้ว

    Well done guys

  • @jackjbd3620
    @jackjbd3620 3 ปีที่แล้ว

    Pure talent

  • @makalacyprian6791
    @makalacyprian6791 3 ปีที่แล้ว +19

    Yan hawa madogo wasinge shinda ngeandamana kwa kwel

  • @goodwingeorge4430
    @goodwingeorge4430 ปีที่แล้ว

    Wamebebwaa hawaa

  • @honsiaringo8595
    @honsiaringo8595 3 ปีที่แล้ว

    Haloo sio poa💥

  • @immanuelmsoma3530
    @immanuelmsoma3530 2 ปีที่แล้ว

    Awajamaaa mmmh

  • @godfreykapalale1546
    @godfreykapalale1546 3 ปีที่แล้ว

    vijana wametisha sana

  • @gladysgasherishow
    @gladysgasherishow 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @totobadezzy1959
    @totobadezzy1959 2 ปีที่แล้ว

    Aaa awa jamaa ni majini mzee co watu

  • @brayanjames9953
    @brayanjames9953 3 ปีที่แล้ว

    mimi nilijua toja mashindano yana anza

  • @rehematsamson2078
    @rehematsamson2078 3 ปีที่แล้ว

    Jaman niambien iyo song ya teamo nani aliimba naipenda

  • @waaog7477
    @waaog7477 3 ปีที่แล้ว +1

    Unyamaaaaaaa

  • @elizabethmuguli5473
    @elizabethmuguli5473 3 ปีที่แล้ว

    Jmn napenda dance one day yes mfankiwe mfke mbali

  • @nickddnamy1760
    @nickddnamy1760 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa wanajua kinyamaaa

  • @raymondjacob1480
    @raymondjacob1480 3 ปีที่แล้ว +6

    Walistahili mno💥💥💥💥💥💥💥

  • @nzovweboytz6071
    @nzovweboytz6071 3 ปีที่แล้ว

    Wanajua balaa

  • @binanalomayani9151
    @binanalomayani9151 3 ปีที่แล้ว

    Wametisha sana nitawatafuta nifanye nao vidio

  • @easterly_fr
    @easterly_fr 3 ปีที่แล้ว +3

    She like de way i woo✌️🤤🤤

  • @khadijathani9064
    @khadijathani9064 3 ปีที่แล้ว +2

    Hatari

  • @puritystanley2463
    @puritystanley2463 3 ปีที่แล้ว

    someone tell me the name of the second song...its nice

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbn kelele sasa wengine sauti mbaya

  • @nordbrowntz1665
    @nordbrowntz1665 3 ปีที่แล้ว +6

    Kaka Milardiayo ulianza kuleta lini mbwa kwenye vipindi vizuri vya dance

  • @joshuamtana5443
    @joshuamtana5443 3 ปีที่แล้ว

    hatare

  • @xuwedymahuru5225
    @xuwedymahuru5225 3 ปีที่แล้ว

    Gud

  • @mrarito265
    @mrarito265 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @anetsmunguresamwel6636
    @anetsmunguresamwel6636 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @Rosemary_Obadiah
    @Rosemary_Obadiah 2 ปีที่แล้ว

    Hao wanaosema boo sasa

  • @georgerwebembera1565
    @georgerwebembera1565 3 ปีที่แล้ว +1

    Waliokua wanasema booo ni wachawi

  • @erickSteven-gl3xz
    @erickSteven-gl3xz 3 ปีที่แล้ว

    Ako ka song kanaitwaje cjui wait for u nimekaelewa aisee jina plz nikatafute

  • @annethvedastus1041
    @annethvedastus1041 3 ปีที่แล้ว +1

    Adi nawapenda bure 😍😍😍😍

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 3 ปีที่แล้ว

    Waliua sana

  • @mariomashakq3476
    @mariomashakq3476 3 ปีที่แล้ว +2

    Washikaji wabad sana

  • @franshyera8970
    @franshyera8970 3 ปีที่แล้ว

    Wanastahili ushindi

  • @sirsebaonline9106
    @sirsebaonline9106 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata hamorapa anaweza rahisi sana

    • @mwanaidymbuluma8047
      @mwanaidymbuluma8047 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaa wamecheza kawaida Sana Labda competition ndogo

    • @Hanskapella
      @Hanskapella 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂

  • @mrh2812
    @mrh2812 3 ปีที่แล้ว

    Shkamooo security 😄😄😄

  • @nilusclavery9855
    @nilusclavery9855 3 ปีที่แล้ว +1

    G nako katisha kwa mikato aliyotupia ..

  • @leilatsangali3945
    @leilatsangali3945 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbna wngne wana boooo

  • @jokadpopalick7059
    @jokadpopalick7059 3 ปีที่แล้ว

    Don't mind about the booooo just keep killing dem bad

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 3 ปีที่แล้ว +3

    Nasikia buuuu

  • @rashdamwanyoka7608
    @rashdamwanyoka7608 3 ปีที่แล้ว

    Hawasenge makelele

  • @jumaausitz8889
    @jumaausitz8889 3 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli wamestahili kuwa washindi

  • @ngusamchenya3308
    @ngusamchenya3308 3 ปีที่แล้ว

    Jaman wimbo wa tatu ulotumika hapa unaitwaje ni wa nani

  • @easterly_fr
    @easterly_fr 3 ปีที่แล้ว +2

    #runningtoyou🤥

  • @wilrickshayo8144
    @wilrickshayo8144 3 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wanapambana kuwazomea lakini bado saut hazitoshi haahhahaaa

  • @nilansaid2927
    @nilansaid2927 3 ปีที่แล้ว

    Why people have to boo to these guys?

  • @hansyphat2167
    @hansyphat2167 3 ปีที่แล้ว +2

    Kmk wanao sema buuuu hawa jamaa wameshinda kwa jasho na dam since day one

  • @happymrema6728
    @happymrema6728 3 ปีที่แล้ว +1

    Unapig mailings Nini mashabiki

  • @dinnapascal3675
    @dinnapascal3675 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥

  • @mollymolly9663
    @mollymolly9663 2 ปีที่แล้ว

    Kuna watu bwana😂😂😂😂😂😂buu buuu mtakua mabubu

  • @dexstarbullet5024
    @dexstarbullet5024 3 ปีที่แล้ว

    Ao wanao boo ni mashoga mikundu yao ina wawasha

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 3 ปีที่แล้ว +1

    Nilijua tu maana hawa ni hatr

  • @lorahmakonge9117
    @lorahmakonge9117 3 ปีที่แล้ว +2

    now i see how Tanzanians are jealous..with those boo😂

    • @nilansaid2927
      @nilansaid2927 3 ปีที่แล้ว

      Not jealous, dummy rivals competition tricks

  • @marryblass6208
    @marryblass6208 3 ปีที่แล้ว

    Sijaona ukali hapo ila kwa mwanzo ndo imewabeba

  • @hansbertnchimbi6830
    @hansbertnchimbi6830 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama uliona securty kamakamata piss rasta akaiachia ishangileie
    Like hapa😅

  • @calvinmushi5427
    @calvinmushi5427 3 ปีที่แล้ว +2

    Yan kuna mashoga apo yanasema buuuuu...afu niyakiume kmk zao..

    • @raymondjacob1480
      @raymondjacob1480 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni wivuuuu tu unawasumbua

    • @youngsimba6798
      @youngsimba6798 3 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/BOzi1xnet3Q/w-d-xo.html
      💥💥💥💥💥

  • @smartboyeze2190
    @smartboyeze2190 3 ปีที่แล้ว

    Boo🙈🤣🤣🤣🤣
    Wanga h awa

  • @markosikudhani799
    @markosikudhani799 3 ปีที่แล้ว

    tangu mwanzo niliwawekea imani ya ushindi

    • @happymrema6728
      @happymrema6728 3 ปีที่แล้ว +1

      Yani yanakera so mtulie mavi nyie msikiliz shoo

    • @happymrema6728
      @happymrema6728 3 ปีที่แล้ว +1

      Wafundishen mashabing kushangilia kwa vipengel

    • @happymrema6728
      @happymrema6728 3 ปีที่แล้ว +1

      Uuuuh Nini washamba nyie

  • @mryansoo4217
    @mryansoo4217 3 ปีที่แล้ว

    Utopolo tu hapo Hakuna kitu

  • @Hanskapella
    @Hanskapella 3 ปีที่แล้ว

    Hamna maajabu apo, hata composition nyenyewe haikua kali kivile, madogo hawakuwa na challenges ya kundi jingine ila wamejitaidi.. ila wamecgeza kirahisi sana. Ila hongereni mmejitahidi ila sio sana.

    • @partnersah8802
      @partnersah8802 3 ปีที่แล้ว

      Uliangalia?

    • @Hanskapella
      @Hanskapella 3 ปีที่แล้ว

      Sa nitasema kitu ambacho sikijui?

    • @partnersah8802
      @partnersah8802 3 ปีที่แล้ว

      @@Hanskapella hawakuwa na challenge ya kundi jingine unamaanisha nn? Maana kulikuwa na waimbaji pia

    • @Hanskapella
      @Hanskapella 3 ปีที่แล้ว

      Hujanielewa kumbe, yani ata ayo magroup mengine yalikua hayana ushindani sana.. ila kulikua na group moja lile la wakanda ndio kidogo walikua wanawachaleng.

    • @partnersah8802
      @partnersah8802 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Hanskapella Poa poa mzee baba nimekusoma

  • @jaco4sa604
    @jaco4sa604 3 ปีที่แล้ว +2

    Sasa hizo ng'ombe vip zinalia bila mpangilio