AMERICAN DREAM COCOA BUTTER CREAM REVIEW 2020| MAFUTA YASIYOCHUBUA NGOZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 268

  • @LifestylewithLyne
    @LifestylewithLyne  11 หลายเดือนก่อน

    Kwa maswali yoyote unaweza nicheki what's app +27619486180

    • @NajmaNkya
      @NajmaNkya 3 หลายเดือนก่อน

      Dada mm napaka lakini napata weusi chini ya macho

    • @NeemaLamecki
      @NeemaLamecki 2 หลายเดือนก่อน

      Dada Mimi nataka ila chunusi sasa adi naboweka

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  2 หลายเดือนก่อน

      @NeemaLamecki unataka au unatokwa?

  • @EdwigaSambaya
    @EdwigaSambaya ปีที่แล้ว +4

    Me ngozi yangu ya mafuta naweza tumia American dream ya lemon?

  • @hellennyanchama3602
    @hellennyanchama3602 ปีที่แล้ว +3

    Hae yenye Iko na kojik ndio Ina breach ama ni ya lemon,2 coco butter with vitamin e ni Gani haicharge skin

  • @MariamAthman-f6e
    @MariamAthman-f6e 3 หลายเดือนก่อน

    Mm nahulizea mafuta marayangu kwaza kutumiea nimazuri

  • @Queenraxmo-z6d
    @Queenraxmo-z6d หลายเดือนก่อน

    How mush Cocoa butter

  • @beatricesalutare
    @beatricesalutare ปีที่แล้ว

    Mm nina weusi chini ya macho nitumie nn jamnn msaada please

  • @mysalaasalaa-no7gg
    @mysalaasalaa-no7gg ปีที่แล้ว +1

    👍 unawza tumia kuogea sabuni yoyote

  • @jammapuor8953
    @jammapuor8953 5 หลายเดือนก่อน

    Is there. Fake and original or fake of American dream,coz I bought two that looks different as one is thick and one is like lotion

  • @terckatercka5548
    @terckatercka5548 ปีที่แล้ว

    Dada naweza changanya na nn?

  • @shamimushittindi1418
    @shamimushittindi1418 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa mbona huku nje tunanunua bei na ndio yatokapo????

  • @NajmaNkya
    @NajmaNkya 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona napaka napata weusi chini ya macho

  • @naomiprinces1311
    @naomiprinces1311 2 ปีที่แล้ว +1

    Jmn mm uso wang ni wa mafuta na una madoa jmn

  • @anitajacob3641
    @anitajacob3641 5 หลายเดือนก่อน

    ni mazuri sana ata mm utumia

  • @joyceleonard8265
    @joyceleonard8265 ปีที่แล้ว

    Huko wapi

  • @HalimaHussain-vy4ly
    @HalimaHussain-vy4ly ปีที่แล้ว

    Mamabo mm nmepaka mafuta aina nyingi yanani haribu

  • @lucykasiga6928
    @lucykasiga6928 4 ปีที่แล้ว +4

    This gave me tine versicolor so I had to stop it..but that could be due to the hot and humid weather in Dar,now that we are heading into colder months I will resume using it

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  4 ปีที่แล้ว +4

      Yes I have realised the weather in Dar it's not so friendly with this lotion especially when it's super hot......if you use it again in winter time please do come back and give us feedback how it reacted

  • @maureenwanga8653
    @maureenwanga8653 ปีที่แล้ว +1

    There's different versions, the one that lightens has Kojic Acid and liquorice no Vitamin E and its only 56gm and it comes with a serum which has salicylic acid.

    • @GloryMariki-ng6gf
      @GloryMariki-ng6gf ปีที่แล้ว

      Hello naomba ushee matokeo ya hiyo version yenye kojic na lemon yakoje please

    • @GloryMariki-ng6gf
      @GloryMariki-ng6gf ปีที่แล้ว

      Nataka ngozi yangu kuwa even and soft ila sio kujichubua

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 ปีที่แล้ว +1

    Mafuta mazuri sana very moisture nami nayatumia nayanunua pale S.H.Amon na walinishauri kwa usoni niyapake kidogo sana cos its oily...kwa mwilini safi sana natumia na body oil yake ya cocoa butter...

    • @JoyceMashamba-u1u
      @JoyceMashamba-u1u 21 วันที่ผ่านมา

      S.H Amon ndo wapi dada

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  21 วันที่ผ่านมา

      Duka la vipodozi lipo posta na lingine kariakoo

  • @namattarinah3272
    @namattarinah3272 2 ปีที่แล้ว +1

    Hei dia I dnt understand shwahili but doesn't help with pimples and dark spots plizz reply

  • @KabintiSpecialVlogs
    @KabintiSpecialVlogs 5 ปีที่แล้ว +12

    I love American dream coco butter. I use to sell them in bongo and people love it 😍 great review my love

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Thank you so much dear for watching

    • @leilamcenna
      @leilamcenna 3 ปีที่แล้ว

      Does the lemon one whiten? I'm thinking of buying it

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  3 ปีที่แล้ว

      Brightening not whitening

    • @janetroth782
      @janetroth782 2 ปีที่แล้ว

      Thx dear could translate in English but I know it's a very good moisturizing bt I would like to ask u does it have a serum? N if where wat about the name. Thx in advance sister. 🥰

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  2 ปีที่แล้ว +1

      It does have a Serum,most times where the body cream is sold you can find the serum

  • @fatmamuhidini813
    @fatmamuhidini813 ปีที่แล้ว

    American dream is the best kwa softisha sana sana sana unakua na glow mzuri mno

  • @Ekin45G
    @Ekin45G 5 ปีที่แล้ว +6

    Look at the glow on this Queem 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @abeer4201
    @abeer4201 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada asant Sasa hayo mafuta yako na hydroquinone sababu sipendi tumiy mafuta ya idroquinone??

  • @DijahUrembo
    @DijahUrembo 5 ปีที่แล้ว +3

    binafsi naona n ya kawaida.. ila yanachagua sana ngozi...yakikukataa unalo
    .
    .
    Em tuachane na mafutaa..the makeup jaamaaannn 💕💕💕
    .

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Yaaani mi nimejifunza siwehuki tena na vitu vikija hata kidogo maana tunakuza vitu......Asante maaa 😍😍😍😍

    • @jumabakari8039
      @jumabakari8039 3 ปีที่แล้ว

      Mbn umenitisha

    • @lickymaker5857
      @lickymaker5857 3 ปีที่แล้ว +1

      Co km shea butter yko...cna ham nayo

  • @salmaabdallah3473
    @salmaabdallah3473 2 ปีที่แล้ว

    Mm nataka ninunuwe ya lemon mana nina vipele na haviondoki vp dada?

  • @lovemakershine9555
    @lovemakershine9555 ปีที่แล้ว +2

    Nitajuaje kuwa hay ni fek na original

  • @tunisgacal539
    @tunisgacal539 3 ปีที่แล้ว +2

    Naweza pakaa usoo

  • @mamawemawema-hw9wb
    @mamawemawema-hw9wb ปีที่แล้ว

    Losheni ya cocoa lnaselam?

  • @AlberitinaDembo-v6g
    @AlberitinaDembo-v6g 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi naitaji kununuwa

  • @aishamilas675
    @aishamilas675 ปีที่แล้ว

    Unaweza paka uso or will it lead to acne plz anybody reply

  • @annamamiro
    @annamamiro 5 ปีที่แล้ว

    haha will make sure to share with your exes lol umenifurahisha

  • @mariamshitindi4102
    @mariamshitindi4102 หลายเดือนก่อน

    Unachoongea kipo sahihi sana jalibu kuongea vzr Yani usilembe saaanaa unapoteza mvuto wa maada

  • @AnnaMichael-yv7ze
    @AnnaMichael-yv7ze ปีที่แล้ว

    Mbona mm yananitoa vipele

  • @aselina5862
    @aselina5862 5 ปีที่แล้ว +3

    Haya mafuta mimi natumia tu usoni na mwilini najipajia vaseline lakin naona sina tofauti bora hata mwilini niko soft,shida ni uso 😰

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Unatakiwa uanze kuona mabadiliko japo uso uwe soft ila pia ni sabuni gani unatumia

    • @aselina5862
      @aselina5862 5 ปีที่แล้ว

      @@LifestylewithLyne sabuni ya uso huwa natumia dudu oson ila mwilini natumia shower gel

  • @aaliyahloubna8919
    @aaliyahloubna8919 ปีที่แล้ว

    Ni mazur sana kweli

  • @SaraphinashaphiiSaraphinashaph
    @SaraphinashaphiiSaraphinashaph ปีที่แล้ว

    Nayataka mpenz nayapataje

  • @myjourneymyspace9433
    @myjourneymyspace9433 5 ปีที่แล้ว +1

    You are glowing so we can assume it works.
    Joined your family
    Stay connected

  • @itsfarhat1099
    @itsfarhat1099 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana mpenz lakini n.a. Mimi naomba unifundishe jinsi ya kufungua u tube channel napenda ila nipo OMAN nitawezaje

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Assnte....unataka kuweka nini kwenye channel yako

    • @itsfarhat1099
      @itsfarhat1099 5 ปีที่แล้ว

      Mapishi ya kiomani safari mbalimbali lakini simu ninayotumia email niliandikiwa n.a. sijui password itawezekana mpenz

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      @@itsfarhat1099 inabidi ufungue mpya alafu ndo ufungue nayo channel ya youtube

    • @itsfarhat1099
      @itsfarhat1099 5 ปีที่แล้ว

      Sawa mpenz

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 2 ปีที่แล้ว

    Lazima niweke serum dada? au ata hivyo yanafaa maana sitopaka usoni

  • @DianaMoses-d2v
    @DianaMoses-d2v ปีที่แล้ว

    Nachangany nanini

  • @linahkathambi5230
    @linahkathambi5230 3 ปีที่แล้ว

    How about zugu dada

  • @linahkathambi5230
    @linahkathambi5230 3 ปีที่แล้ว

    Naweza mix na serum ya cocopulp ama serum yeyote ya kulighten??

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  3 ปีที่แล้ว

      Kwanini unataka ku lighten ngozi?

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 2 ปีที่แล้ว

      @@LifestylewithLyne simaamuzi yske unampangiaje mtu lifestyle yake???c'mon

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  2 ปีที่แล้ว

      @@shamimushittindi1418 soma vizuri ni swali hilo na lingekuja na majibu. Sijasema kuwa nimempangia na wala sijamkataza

    • @DianaMoses-d2v
      @DianaMoses-d2v ปีที่แล้ว

      Dada inachanganyw nanini

  • @blenfikru5012
    @blenfikru5012 4 ปีที่แล้ว +1

    Unafundisha vizuri Sana aise huna tamaa ndani yako

  • @lzshow
    @lzshow 4 ปีที่แล้ว

    How do I buy in the usa

  • @ruqaiyahEidy
    @ruqaiyahEidy 7 หลายเดือนก่อน

    N kwa watu weusi tu au n weupe pia

  • @MariamMkusa
    @MariamMkusa 5 ปีที่แล้ว +1

    Mi sijawahi kuyatumia ayo ila niliwahi kupaka Nivea nkawa na ngozi soft ila kila siku rangi inazidi kukolea nikawa namkaribia black beauty wakati mimi ni nipo katikati apo au wanasemaga rangi maji ya kunde

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Hutaki u black beauty wewe 😂😂😂😂😂 mi nivea ilinigomea kabisa nakuwa mweusi kama mkaa

    • @MariamMkusa
      @MariamMkusa 5 ปีที่แล้ว

      @@LifestylewithLyne 😂😂😂

    • @bahatinyamhonga7086
      @bahatinyamhonga7086 3 ปีที่แล้ว

      Nivea ipoje dear maan Mimi nahangaika na ngozi sana

    • @EvalineMgendi-nx5vz
      @EvalineMgendi-nx5vz ปีที่แล้ว

      Kumbe tuko wengi ata mi Nivea inanifanya kuwa mweusi

    • @byaombesaidi-ct2bk
      @byaombesaidi-ct2bk ปีที่แล้ว

      😂😂😂

  • @fionakathuraniri2907
    @fionakathuraniri2907 2 ปีที่แล้ว

    Inatoa mark za black kwl

  • @arababs
    @arababs 5 ปีที่แล้ว +1

    Hayaondoi michirizi?🤔

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Hapana

    • @arababs
      @arababs 5 ปีที่แล้ว

      @@LifestylewithLyne gani nzuri kwa michirizi

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      @@arababs michirizi yako ya asili au ya cream?

    • @arababs
      @arababs 5 ปีที่แล้ว

      @@LifestylewithLyne ya asili

  • @gracebimz7935
    @gracebimz7935 5 ปีที่แล้ว +2

    Woow kila kitu kiko sawa kipenzi.. Hayo mafuta huwa nayasikia tu ila umenifanya nitazame hadi mwsho kutokana na skills zako za kuelezea. Congrats 👏

  • @YasminIbrahim-k8t
    @YasminIbrahim-k8t ปีที่แล้ว

    Kuna zingine haijaandikwa kojic hizo ni fake

  • @elizabethgervas1777
    @elizabethgervas1777 9 หลายเดือนก่อน

    Mafuta Mazuri sana…

  • @rahmayusuph3024
    @rahmayusuph3024 ปีที่แล้ว

    Nauliza hiyo American dream ya papaya pia ni mazuri nataka nianze kutumia hayo coz mafuta yoyote ya cocoa huwa hayanikubali

  • @christinanicodemus952
    @christinanicodemus952 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mengine yameandikwa original mengine hayana neno original kwanin? Nimenunua imeandikwa original afu inaneno body cream wakat mengine Yana neno cream why

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  3 ปีที่แล้ว

      Yamebadilishwa muonekano na pia wameongeza mengine kukidhi mahitaji ya ngozi tofauti tofauti na shida zake. Hayo yaloandikwa original ndo hayo apo nayoongelea alafu Kuna mengine ya lavender(pitia video zangu za hivi karibu unayoona nimeyaongelea pia)

  • @deborahnyabintu6690
    @deborahnyabintu6690 2 ปีที่แล้ว

    Afu Yale marefu,nimazuri Pia???

  • @Jamani255
    @Jamani255 5 ปีที่แล้ว +4

    Yaani mimi nimeshuhudia hii hype ya Queen Elizabeth Cocoa butter na wala sikuielewa! Kila kona watu wanauza wanasema they are the best, kila ukienda kwa muuzaji anakuambia wengine wanauza feki so ununue yakwake. Kuna mmama alikuja home akawa anasema ya kwake yanatoka uk ndyo original mimi nikawa nashangaa tu. Mimi wa oily skin I rarely use mafuta, na ninatumia sana mafuta ya nazi. Hata hayo sijawahi kutumia.Nilihisi tu kuwa hii ni hype. Thanks a lot kutuelimisha

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Yaaaani mi mwenzio hype ndo ilifanya niyanunue.....nakumbuka kopo la kwanza nlipewa yaaani acha tu

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 2 ปีที่แล้ว

      Zurii Tanzania anauza original Hana fake

    • @annnjeri1376
      @annnjeri1376 2 ปีที่แล้ว

      I need one

  • @judykerubo5184
    @judykerubo5184 3 ปีที่แล้ว

    Need one plz

  • @aselina5862
    @aselina5862 5 ปีที่แล้ว

    Hi cute..me naitumia sasa nina miezi kadhaa but sijaona tofauti yoyote sijui kwa wengine

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Hujahisi hata ngozi yako kuwa laini zaidi? Au kupata ngozi moja mwili mzima

    • @aselina5862
      @aselina5862 5 ปีที่แล้ว

      @@LifestylewithLyne hapana dia sijabadilika ila mwilini mi hata nipake mgando nakuwa soft hadi miguu..uso wangu ndo unanisumbuaga sijui hata nipakae nini chunus haziishi

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      @@aselina5862 ni sabuni gani unatumia? Embu ni txt insta tushauriane

  • @simplyzacky
    @simplyzacky 5 ปีที่แล้ว

    Dada kumbe bado uko November 🤣🤣🤣
    Mimi sijawahi kuchanganyikiwa na hizi vitu hehhehe team mkorogo 🙈🙈🙈🙈 ila ntainunua kwa kuwa umeisifia..

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Mi mwaka mpya bado 😂😂😂😂😂 hii video ni ya mda mrefu....team mkorogo Nakuona

    • @simplyzacky
      @simplyzacky 5 ปีที่แล้ว

      Naacha dada nataka nitudi kuwa melanin queen hehehehhe

    • @lulucharles9225
      @lulucharles9225 4 ปีที่แล้ว +1

      Zacky naomba nikupgie simu sasa ivi sikubali😂😂😂😂😂

    • @shamimushittindi1418
      @shamimushittindi1418 2 ปีที่แล้ว

      @@simplyzacky unanunua wapi mkorogo wako

  • @jumabakari8039
    @jumabakari8039 3 ปีที่แล้ว

    Yan dad nimemkuta best yngu anatumia yn kpendez san n mm nimeyanunu lkin naogop nisije nikawa mwekundu uson dad

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  3 ปีที่แล้ว

      Unakuwaje mwekundu? Haya mafuta siyo ya kuchubua ngozi kwahiyo maswala ya kuwa mwekundu hayapo

  • @estergodfrey4965
    @estergodfrey4965 4 ปีที่แล้ว

    Yanapatikana wapi naitaji nipo musoma

  • @janeulomi7398
    @janeulomi7398 4 ปีที่แล้ว

    Mara yakwanza humu. Jamani mimi natumia medivine cream inanipenda lakini nataka niache. Nijaribu hayo msaada please

  • @samiapeter8887
    @samiapeter8887 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwel mi nmenunua 35000

    • @LinaMshanga
      @LinaMshanga 2 หลายเดือนก่อน

      Ni mazuri yananyarisha

    • @LinaMshanga
      @LinaMshanga 2 หลายเดือนก่อน

      Hebu niambie yananyarisha

  • @samiapeter8887
    @samiapeter8887 4 ปีที่แล้ว

    Mla y kwaz ylikua 45000

  • @sayunidaniel2918
    @sayunidaniel2918 3 ปีที่แล้ว

    Naomba number zako natak makopo mawili ya American dream

  • @queengatieno
    @queengatieno 5 ปีที่แล้ว

    Anything ya cocoa butter hunukia nakwambia

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Hunukia vizuri sanaa

    • @queengatieno
      @queengatieno 5 ปีที่แล้ว

      @@LifestylewithLyne im always admiring your brows

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      @@queengatieno aawww maaa thank you so much

  • @cynthiaa8377
    @cynthiaa8377 3 ปีที่แล้ว

    Nimepata difference dada. Harufu tofauti alafu ukiangalia batch number zengine hazipatikani.

  • @bintimalu
    @bintimalu 5 ปีที่แล้ว +2

    Ni wa kurudia... nimekuwa nikitafuta translation ya returning subscriber sasa nimeipata!
    Audio ya video yako ni nzuri sana Asante kwa review I’m very worried when it comes to using products cause nyingi zina elements ambazo ni harmful kwa ngozi na zina side effects
    It’s great umejaribu na kushare

  • @evanathings9554
    @evanathings9554 5 ปีที่แล้ว

    Unasmile kama Mimi😁😁

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว

    Mm nimetumia ss kopo la pili lakini mabaka osoni ayaniishi sijajua kwann sijui yamenikataa

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  4 ปีที่แล้ว

      Mabaka inategemea umeyapata kwaajili gani

    • @safiyatheonlything7848
      @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว

      @@LifestylewithLyne ok mpenzi uwa nikitokwa na vipele na vichuna mara kwa mara ndo yanakuja mabaka usoni

    • @safiyatheonlything7848
      @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว

      @@LifestylewithLyne ss nimebadilisha kuna lotion najaribu nione jina lake Secret dame nature sijui unaijua

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  4 ปีที่แล้ว

      @@safiyatheonlything7848 tafuta baking soda uwe unapaka na kuwana yataisha

    • @safiyatheonlything7848
      @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว

      @@LifestylewithLyne ok uku nilipo pank soda kupatikana shida naona labda bank powerd au aifai

  • @yaswadmohd2287
    @yaswadmohd2287 4 ปีที่แล้ว +1

    Km nina uso wa mafuta jee

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  4 ปีที่แล้ว

      Sikiliza maelezo yangu vizuri mbona nimeelezea

  • @irenemacha7457
    @irenemacha7457 4 ปีที่แล้ว

    Nikitaka kuwa mweupe niyachanganye na siram gan mpenz

  • @victoriastephano4075
    @victoriastephano4075 4 ปีที่แล้ว

    yanauzwa shingap hayo mafuta

  • @NancyVera-g8c
    @NancyVera-g8c 9 หลายเดือนก่อน

    Hello

  • @mercyokonda491
    @mercyokonda491 4 ปีที่แล้ว

    Haya mafuta naipenda ila huku kenya kuipata ni ngumu saana. Naitafuta sana saana.

  • @arafasaid2878
    @arafasaid2878 4 ปีที่แล้ว

    Haya mafuta je yanatoa chunusi?

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  4 ปีที่แล้ว

      Sijaona sehemu yaloandikwa yanatoa chunusi, kwahiyo Nakushauri kwanza kama una chunusi ujue zimesababishwa na nini....pili ndo utafute kwanza sabuni ya kutoa chunusi ndo uje sasa kwenye mafuta

    • @priscawilliam2414
      @priscawilliam2414 4 ปีที่แล้ว

      Arafa said me pia nilikua nazo chunusi nyingi but nikaanza tumia american dream lemon io ndo ya watu wenye oily skin imenisaidia

  • @hadijaguje5755
    @hadijaguje5755 2 ปีที่แล้ว

    Màshaallh my ct nimekufaamu vizuri shukran

  • @Mkalisana
    @Mkalisana 7 หลายเดือนก่อน

    yes yes ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @barikikaroli6088
    @barikikaroli6088 5 ปีที่แล้ว

    Ni kweli na ya kawaida ila watanzania wameyakuza sana ni mazuri kuna watu wanapaka ila mimi nilipaka yakanitoa viupele

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa dear mimi sasaivi nimenuna kopo la tatu na nimeanza kuona yanitoa rushes usoni

    • @priscawilliam2414
      @priscawilliam2414 4 ปีที่แล้ว +1

      Because mna oily skin tumia yalioandikwa lemon ni ya watu wenye ngozi za mafuta

    • @luyaamatho9580
      @luyaamatho9580 2 ปีที่แล้ว

      @@priscawilliam2414 mm mwenyew siyaelew labda niweke na serum yake

    • @ashurasanga4589
      @ashurasanga4589 2 ปีที่แล้ว

      Hayachubui haya mafuta

  • @alicetuyishime2206
    @alicetuyishime2206 4 ปีที่แล้ว +1

    For me i use american dream but this is the second week,it not good for me cz its bring me many pimples na weusi chini ya macho,leo,wewe unayitumia in morning and you can walk in the sun???plz tell me???and what can I'do with those problems????

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  4 ปีที่แล้ว

      First of all which one did you buy? Is it the one for your skin type? I have had people complain about getting rushes upon using it and I don't know what courses that......embu stop using it for a week or so and see what hapenens kama ni hiyo mafuta the rushes will go away if they continue it means sio hayo mafuta it's something else

    • @alicetuyishime2206
      @alicetuyishime2206 4 ปีที่แล้ว

      Ni cocoa butter lemon cream,when I was going to buy it,seller told me that I have oil skin but I don't know exactly if is true cz I don't know which kind of skin I have!!!!!sometimes I think that I have oil skin &oil skin acne and other day dry skin ...how can you help me to know my skin type plzzzz!!!!!!!!!

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  4 ปีที่แล้ว

      @@alicetuyishime2206 you can easily know if you have oily or dry skin by looking at your skin on the T Zone Area. If that area produces oily after you have applied your face lotion then you have oily skin, another way to find out if you have oily or dry skin is by taking a facial taste I blv some cosmotology do have a professional way of doing it

    • @alicetuyishime2206
      @alicetuyishime2206 4 ปีที่แล้ว

      OK thank you very much lyne Mohamed😍

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  4 ปีที่แล้ว

      @@alicetuyishime2206 your welcome

  • @kibouttv7148
    @kibouttv7148 5 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeshayatumia pia ni mazuri Sana yanangarisha ngozi vizuri unakuwa na kangozi kazuri na yanamoisturize ngozi vizuri ni mazuri kwa mtu mwenye ngozi kavu zaidi kama una mafuta usoni ngozi yako ni ya mafuta usipake haya ndo mana watu wanaharibika sijui wanatoka chunusi na nini. Wenye ngozi kavu watumie Ile lotion Rahma

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Oksy dear nitawaambia maana mimi natumia hii coz ngozi yangu ni ya mafuta

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148 5 ปีที่แล้ว

      @@LifestylewithLyne poa poa ila wewe imekupenda naona ngozi yako iko rangi Moja kote

    • @SesiShayo
      @SesiShayo 4 ปีที่แล้ว

      Jamn mimi ngozi yangu ni ya mafuta xana naomba mnoxaidie nitumie mafuta gani?

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  4 ปีที่แล้ว +1

      American dream ya lemon umejaribu?

    • @SesiShayo
      @SesiShayo 4 ปีที่แล้ว +1

      Bad my Dia na Nina toka vichunuxi naomba unixhaur nitumie xabuni gani mpenzi

  • @SarafinaMartin
    @SarafinaMartin ปีที่แล้ว +1

    Nayapenda nimazuri

  • @zainabubashiry3182
    @zainabubashiry3182 ปีที่แล้ว

    Kwa mtu mweusi ung'ae uchanganye na serum gn

  • @estherhassan6898
    @estherhassan6898 3 ปีที่แล้ว

    Nataka niyanunue vip mie uso wang ni wa mafuta

  • @MercyKyando
    @MercyKyando 5 ปีที่แล้ว +3

    Am never into a hype unless its its a wow! Used from my friend one day ilikuwa kawaida ila kama wana serum then kutakuwa na difference

  • @yumaal9847
    @yumaal9847 3 ปีที่แล้ว

    Yanatoa chunusi dada??

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  3 ปีที่แล้ว

      Inategemea ni chunusi za aina gani.....haya yanatoa rushes tu na sio chunusi sugu

  • @coucounette1486
    @coucounette1486 2 ปีที่แล้ว +1

    It's unfortunate that the review is in a different language; i would have subscribed to your channel as a francophone or english speaker , too bad

  • @sayunidaniel2918
    @sayunidaniel2918 3 ปีที่แล้ว

    Nataka na serum na soap yak number zako plz nko dar kigambon

  • @lusungundawala322
    @lusungundawala322 4 ปีที่แล้ว

    Duh nimenunua ya lemon with kojic 45000 na serum ya american dream 45000 mapenz yangu na mafuta yatanitoa roho

  • @bobocollectionske8055
    @bobocollectionske8055 4 ปีที่แล้ว

    Hey is the one with kojic fake? Heard people saying that

  • @kylishermm3439
    @kylishermm3439 2 ปีที่แล้ว

    I like the honestly...🥰

  • @estherhassan6898
    @estherhassan6898 3 ปีที่แล้ว

    Uso wangu wa mafuta nitumie aina gan ya mafuta hayo?

  • @linetkulola8072
    @linetkulola8072 3 ปีที่แล้ว

    Come and talk about the serum I want reviews plz

  • @annat8509
    @annat8509 4 ปีที่แล้ว

    Hayana hydroquinon ? Sitaki yenye kemikali

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  4 ปีที่แล้ว +1

      Sifanyi review ya kipodozi chochote chenye hydroquinone wala kushauri mtu yoyote atumie....bidhaa zenye hydroquinone zinatoka na kutemgenzewa west Africa huko mimi sifanyi review ya hivyo vitu

    • @mwarabuwatanga3250
      @mwarabuwatanga3250 4 ปีที่แล้ว

      Bei gani

  • @estamunuo2386
    @estamunuo2386 4 ปีที่แล้ว +2

    Hayachubui

  • @nyiramatungoesperance3575
    @nyiramatungoesperance3575 3 ปีที่แล้ว

    Dada natamani simu yako ya whatsapp

  • @nyiramatungoesperance3575
    @nyiramatungoesperance3575 3 ปีที่แล้ว

    Mimi niko rwanda nawezi yipata je

  • @DianaMoses-d2v
    @DianaMoses-d2v ปีที่แล้ว

    Et

  • @kibotheexplorer1
    @kibotheexplorer1 5 ปีที่แล้ว

    Nimemtumia girl friend wangu link ya videos zako..i need to see some changes from her
    TH-cam ni mbingu duniani coz now days everything is in here
    Nice explanation sis ❤

    • @LifestylewithLyne
      @LifestylewithLyne  5 ปีที่แล้ว

      Bless you bro, kweli kabisa youtube in mjomba yule ambaye tulokuwa tunamuuliza maswali enzi hizi....kila kitu kipo hapa

  • @aggymc1203
    @aggymc1203 4 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @ezebiajoseph6237
    @ezebiajoseph6237 2 ปีที่แล้ว

    Nikwer nimejifuza kitu .maana hata mm napakaa hayo mafuta kwajins nilivyo kuwa nazan nitofaut kabisa