panya road sizani kama ni watu wakufumbiwa macho hata kidogo ss mtaani kwetu tumejiamulia tukikamat nikuakikisha tunapiga mpaka akienda polis arud maaana kila mara wanaenda wanarud na nguvu mpyaaa vijana wamekuwa wa hovyo sana lakn maisha yamepanda bei sana huenda ikawa sababu ya hili 😢😢😢
Huyo ni ccm namba 2 na hatumtaki kamtukana rip magufuli pia amenunuliwa kumkashifu hayati magufuli amekuwa ndumila kuwili na chama chake kiko zanzibar tu bara wala hawana mpango nae na huko zanzibar wanauliza huyo ni mtoto wa nani hawamtaki wanataka cuf yao
Wasukuma wanataka chama cha umoja party kuanzia tabora shinyanga mpaka mwanza yao bado akili zao kwa hayati magufuli hata hangaya afanye nini huko hawamtaki kabisa chama hicho kitabeba wafuasi wengi sanaaaa
At the end kitakua chama cha kikanda ambacho hakiwez kuwa na influence na nchi zaid ya ukanda wao,,,the only wanaweza ku win labda kanda ya ziwa ijitenge iwe nchi,,,Unless otherwise ni watu wachache tu ambao wanatake advantage ya Umagufuli waunde chama wapate wanyonge wa makufuli then wapate masilah ya kisiasa kama vyama vngne kuptia ruzuku na kadhalka.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
MAGUFULI UMOJA PATI ndio dawa yenu hatudanganyiki tena wana mwanza msidanganyike kabisaa 🏃🏃🏃🏃♀️🏃♀️🏃♀️
panya road sizani kama ni watu wakufumbiwa macho hata kidogo ss mtaani kwetu tumejiamulia tukikamat nikuakikisha tunapiga mpaka akienda polis arud maaana kila mara wanaenda wanarud na nguvu mpyaaa vijana wamekuwa wa hovyo sana lakn maisha yamepanda bei sana huenda ikawa sababu ya hili 😢😢😢
Zito wewe ni hazina
Luyagwa
Huyo huko kigoma kamroga mbunge wa kigoma ccm kapararaizi mchawi huyo sanaaaa
Huyo ni ccm namba 2 na hatumtaki kamtukana rip magufuli pia amenunuliwa kumkashifu hayati magufuli amekuwa ndumila kuwili na chama chake kiko zanzibar tu bara wala hawana mpango nae na huko zanzibar wanauliza huyo ni mtoto wa nani hawamtaki wanataka cuf yao
Naomba kujua ameulizwa swala la lini tukamzike na mama yake? Dk ya ngapi?
Siasa bwana zito kasema vizuri uwe kiongozi au mfanya biashara kopa ila Kwa akilia
Hakika zitto hujawahi nikwaza ktk interview zako siku zote unatemaga madini tu,
Tundu hatakiwi kabisa aje aliwe kichwa na chadema yake
Porojo hizi ni mtu idealist tu aweza zipa nafasi
Mwami anatoa madini yakiuchumi hata wakudharau watakuelewa tu