Episode 54: Mchezo wa Kombolela | Episode nzima ya Akili and Me | Katuni za watoto
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025
- Akili na rafiki zake wanamsaidia kifaranga kumtafuta Mama yake.
Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza!
Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. www.youtube.co...
Angalia "Akili and Me": www.ubongo.org...
www.akiliandme.com
/ akiliandme
Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media.
www.ubongo.org
Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains
#SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe