IBRAHIM TRAORE NI SIMBA MFANO WA KUIGWA NA WAAFRIKA KUJIPENDA NA KUJITHAMINI INGAWA TUNACHUKIWA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @HassanChalamanda
    @HassanChalamanda หลายเดือนก่อน +7

    Respect 🙏 mwalimu nakupata vizuri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @AthumanTopela
      @AthumanTopela หลายเดือนก่อน

      Nakubali proffesor wa uchambuzi

  • @ericosambi2736
    @ericosambi2736 หลายเดือนก่อน +5

    🎉🎉 yaanii upewee maua yakoo mwaaliimu

  • @snaijohn5779
    @snaijohn5779 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu mimi nakupenda , Pamoja na kazi yako uifanyayo Mungu akubariki sana

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg หลายเดือนก่อน +10

    Na kama bara la Afrika haikuamka km Ibrahim traole tutendelea kutawliwa na wamagharib mpaka kiama na maendeleo ya kweli itakuwa ndoto za Ali nacha

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie หลายเดือนก่อน +4

    Mwalim mungu akubalikisana

  • @SalumMajorhood
    @SalumMajorhood หลายเดือนก่อน

    Sawa sawa kaka tuamshe ili maendeleo ya vizazi vijavyo Mungu akusimamie bro Isaya na Mungu akubariki❤

  • @johnsindayigaya9485
    @johnsindayigaya9485 หลายเดือนก่อน

    Wewe Nimu Afrika tena Unaipenda Afrika,mimi nimekupenda sana

  • @SalumMasengwa-b9s
    @SalumMasengwa-b9s หลายเดือนก่อน +2

    Ukuu wa Muwafrika udumu milele kati yetu ktk imani zetu pamoja,mimi nipo hapa nimekaa pande za Uroa skuli Zanzibar nikipata upepo mwanana kutoka baharin nikimuangalia Ibrahim Traore anavyo tuamsha waafrika

  • @MohammedJuma-i3k
    @MohammedJuma-i3k หลายเดือนก่อน

    Mimi natoa rai,traore hataki mchango wetu ataka ushirikiano wetu afaulishe lengo na azima yake,tumchangie mwalimu sauti yake ifike bali na awe na usalama dhabiti,maana sisi wesi ndio tutanza kutisha usalama wake.🤝💪💯

  • @adellebarakamfitiye658
    @adellebarakamfitiye658 หลายเดือนก่อน +1

    Ni ukwerikabisa 💯

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie หลายเดือนก่อน +3

    Kwakweli wa africa Nichuma chapua

  • @AbdillahAlly-b1c
    @AbdillahAlly-b1c หลายเดือนก่อน +3

    Mnafanya kaži kubwa kuelimisha jamii

  • @ImmaJulius-rg4yf
    @ImmaJulius-rg4yf หลายเดือนก่อน

    Safi sana Afrika ni ya Waafrika wenyewe

  • @bensonmomanyi6852
    @bensonmomanyi6852 หลายเดือนก่อน

    Yes waafrika tuko na mali na uwezo

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 หลายเดือนก่อน +1

    Safi mwalim

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 หลายเดือนก่อน +7

    Jamani tuepukane na wazungu siyo watu wazuri kabisa

    • @Sarah-e1o9k
      @Sarah-e1o9k หลายเดือนก่อน +2

      Wazungu sio watu kabsa kuna mzungu aliwambia kweupe kuwa n watu wabaya na Africa imeamka

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@Sarah-e1o9kPia usisahau kuwa Wazungu walisema kuwa Manyani Meusi yanaishi katika Bara la Africa hilo ni tusi kubwa Duniani kwa kufananisha Binadamu na Nyani lakini utashangaa kuona kuwa kuna Baadhi ya Watanzania bado tu wanawatetea Wazungu na Israel na Marekani na Europe sasa kwanini musiwaulize kwanini wanatetea Mauaji na Mashoga Wakubwa Duniani yaani Wazungu?

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน +1

      Shida sio mzungu,shida ni sisi weusi
      Kuna ambao wasaliti, viongozi baadhi wanafanya mambo ya ajabu

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 หลายเดือนก่อน +1

      @@christinewomanoffaith5479 Hiyo ni kweli kabisaa sasa mkimuona Viongozi wa namna hiyo ni kuwatoa TU Kikatiba mbona wao Wazungu wakufanya kosa anaadamwa mpaka anaachia Cheo lakini kuna Baadhi ya hao Watanzania hawataki maendeleo na wengi wao ni Watanzania wenyewe kwa sababu wamefuata Siasa ya Nyerere ambayo imeishapitwa na Wakati

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw หลายเดือนก่อน +1

    Vitambulisha vya Dini vinasema ijue kweli itakuwa huru🎉🎉

  • @abukingkima092
    @abukingkima092 หลายเดือนก่อน +4

    Mugabe 😂 umenikumbusha mwalimu MUGAMBE yeye maneno yalikua yanamtoka kwa wazungu hawaogopi kabisa

  • @HassanSalmin-f5h
    @HassanSalmin-f5h หลายเดือนก่อน +1

    😢 Nando maana Wana mchukia Putin hanabaya mskini

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv หลายเดือนก่อน +2

    Ni kweri benson unayo yasema

  • @MajidAbdullah-p9s
    @MajidAbdullah-p9s หลายเดือนก่อน

    kwa Sababu ya ujambazi umezidi kwa Africa

  • @everinasango292
    @everinasango292 หลายเดือนก่อน +1

    Nikweli mwalimu unavyo ongeya

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv หลายเดือนก่อน +1

    Walijua wanaume wa kizungu hawana nguvu

  • @AntonyAyeda
    @AntonyAyeda หลายเดือนก่อน

    Kwani Chanel yenu iko mkoa gani

  • @DawsonAkyoo
    @DawsonAkyoo หลายเดือนก่อน

    hata uhuru wetu wa afrika ilikuwa ni kwa jinsi ya kujielimisha

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv หลายเดือนก่อน +2

    Mwalimu wazungu hawa tupendi sisi weusi

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน

      Sisi waafrika baadhi ndo shida
      Tungrkuwa wote na spirit km hii, magufuli,etc tungrkuwa mbali

  • @MohammedJuma-i3k
    @MohammedJuma-i3k หลายเดือนก่อน

    Kaka mimi naunga mkono utaratibu wa kazi yako,na kupitia kwako pia itawezesha yule alienania itakia nijia imeanza,kaka napenda utumie hii office yako kumpa elimu muafrica ajijue anauwezo na anaweza.

  • @DawsonAkyoo
    @DawsonAkyoo หลายเดือนก่อน

    dah jmn walimu kuweni na moyo mkuu kwa hili kwani kujielimisha ndo chanzo cha maendeleo ya fikra uchumi pia

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania 🇹🇿 tulibebeshwa chuki za kuona warabu ndio walio tufanya watumwa kumbe wa Portuguese ndio walio jenga ngome za utumwa East Africa 🌍 nzima pamoja na West Africa ngome iliyokuwepo mombasa zanzibar Ghana 🇬🇭 zote zimejengwa na Portuguese na zote zimefanana

    • @EddyNdossi
      @EddyNdossi หลายเดือนก่อน

      alafu kingine ambacho wengi hawafahamu pia Hawa wayahudi( Jews) walishirikiana na Portuguese kwenye kuchukua slaves kutoka Magharibi mwa Africa lakini Hilo alichukuliwi maanani kwa sababu tunaambiwa special kwa Mungu

  • @HassanChalamanda
    @HassanChalamanda หลายเดือนก่อน

    Mwalimu sasa nimekuerewa nandio mana yusufu alitaka kubakwa na mke wa mfarume

  • @allytemu9872
    @allytemu9872 หลายเดือนก่อน

    Ni kuamua tu tuache njaa

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 หลายเดือนก่อน

    Ss si wameona anachofanya wataachaje kumuunga mkono?
    Sio km wengine hamna kiu kwann wasilaumiwe

  • @MohammedJuma-i3k
    @MohammedJuma-i3k หลายเดือนก่อน

    Ndio sababu nasema propaganda imetawala sana vichwa vya wafrica,nimsada mkubwa utafanya ukifungua hi propaganda kumfungua akili huyu mwafrica

  • @amosmlanga5627
    @amosmlanga5627 หลายเดือนก่อน

    Tengeza tv yako itakayo kuwa ina watu wa aina yako,hakuna sababu ya kuchukia wakti wewe mwenyewe ulitokana na falagha ya babako na mamako ,hawajawahi kumwambia mtu yeyote ilikuwaje ukapatikana

  • @wallacekatini3424
    @wallacekatini3424 หลายเดือนก่อน

    Traore hutombwa mkundu!
    Tunajua hilo sana!