ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Balikiwa sana joti mungu akutangulieni ktk ndoa yenu
hongera sana joti Mungu awajaze upendo katika ndoa yenu
joti bn, eti "u fransic cheka" 😂😂
Una hekima sana Joti maana niwengi tulikuchukulia wa utani utani tuu.. Mungu awatangulie kwenye unyumba wenu
Safi Joti
safi sana umenfurahisha kuimiliki kazi yako nasio kazi ikumiliki wew
Hongera sana bwana Lukas na Mungu awatangulie sana Katka maisha yenu
Congratulations joti
Hongera JOTI. Mwenyezi Mugu awasimamie, awaongoze.
mungu awaongoze ktk maisha yenu
kweli joti kwa ujumla Og comedy mmetulia nawapenda sana
mungu akubariki Sana joti
Nikweli joti huna kashfa msani anatakiwa awe hivyo...nakuombeeni mdumu kwenye ndoa yenu.
mungu awaepushe na mabaya kaka na Dada
Suti iko smart sana yani imekupendeza sana ,,,kila la kheri joti
be a good dad and Huz, all the best
Hongera sana Joti, umetisha
kwa hilo big up sana joti hauna kashfa wala skendo mbaya
Mbona kasotaaaa jot banaaaa chezea kusaga lam allah akufanyie wepes
safi joti umechukua mahamuzi mazuri,waooooooo,andunje,
Joti hata akiongeaa unawaza kucheka 👊
mungu akutanguliye ktk safari ya maisha jotiiiiiiiiiiiii
mungu awakinge na wale waliowabaya kwenu.....Nawatakia kila kheir kwenu inshaallah, Ameen
hongera jot Mke mzur mpnde mlinde km mboni
Ongera sana joti huyo Mtoto wa mke au wako nimempenda
Hongeraaaaa jotiii 💖💖💖
mungu awatangulie katka maisha yenu yawe yenye Amani na furaha tele
Hahaha joti uwezi ongea Bila kutuchekesha
hongera sana kaka!!!!
Hongera sana bro Lucas kwa kupata jiko
Congratulations comrade!!
Hongereni sana, Mungu awatunze
Hongereni sana Joti...
haha hongera lukas
Uko vizuri mno hongera
mungu alinde ndoa yenu daima milele Amen
mungu awatanguliee ktk maisha yenu yote
Hongera sn Jot
mungu yupamoja nawe kaka
congratulation joti
Hongera jot
Hongera sana lucas umeushinda ujana
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha...km ana ufransis cheka
😂😂 so beautiful 😍
Blessings bro
Hongera mno Joti
Hongera sana mungu awabariki
Upo vzr Sana bro
hongera
mung akubariki kaka
Hongera kaka
Hongera sana joti
ebwana joti kweli unaowa wewe isije ukajakutuambia lilikuwa tangazo?if is true marriage congrat bro 😂
Ongera sana joti rakini usisahau kutucekesha
God bless youuu
Safi kaka joti
mwanamke saivi inatakiwa umsoteshe angalau myaka mi nne ndo utangaze ndoa
Joti unajicho zuriiih!
hongera Lukas
Shikamoooo joti
umeoa ama umeolewa mbnaunaxwga za kixholi eeee joti ww
Kweli joti unajiheshimu hauna skendo mbaya sijawahi kusikia.sio kama ule domo kila leo ni yeye tu mwisho sasa anaita watoto wake shahawa alivyokuwa hana akili
Hongera kaka mungu awabariki ktk ndoa yenu
hongera Sana kwako
Mungu awatangulie
Hongera sana Joti
kwel kuna matyson wengi nimejifunza kitu Lukas ubarikiwe
Safi sana kaka joti
Sam tz mziki
mziki Alan kuku
alani. kuku
safi sana joti
nice sanaaa joti
Nakupenda bure joti kila la kher kwenye ndoa yako
ubarikiwe kijana
Sio tangazo la tigo kweli hilo, maana Joti!? Kama kweli Mungu awabariki!
michael golden mwenyew nahisi ni komedy maana joti mmmh
nawapenda mnoo
xaf xana joti
Issah Haluna arikiha arikiba
hivi si huwa una mwanya? au jino liliota?
Hicho kiduku sasa kaka angu noumaaa saaana
mungu awasimamieni alichounganisha mungu mt asikitenganishe usiwe kama kina uwoya na frola nawengine
Kudadadeki Uwache makuzi tena!
Kwaiyo kwanzia ukiwa mdg ndoto zako nikuoa
MUNGU AWABALIKI KATIKA MAISHA YENU
ongera sana
nabii mswahili
Ni kweli au unaigiza?
bongo moves 2o173
gd
haaaaa kasugua lami
Pmj
Mungu abariki ndoa yenu ila kazi yako 😅😅
tanti auguri joti
Haha. Joti big up
Mungu akusimamie katika ndoa yako

Issah Haluna arikiha
arikiba