TABIA ZA MAFANIKIO | Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Siri ya mafanikio ni kutambua na kuelewa jinsi gani watu waliofanikiwa hufanya mambo yao, jinsi gani wanaweza kumaintain mafanikio hayo na kuedelea kukua.
    video hii itakupa mwongozo na motisha katika njia sahihi ya kufanikisha malengo yako endapo utazingatia mambo haya.
    subscribe kwenye channel yetu kwa video zitakazokusaidia kuwa bora kuliko jana!
    tufollow instagram @elimika__tz, huko tunashare elimu ya maisha kupitia picha.
    like na kushare video zetu ili kuelimisha jamii yetu kwa ujumla.
    #siriyamafanikio #tabiazamafanikio #elimuyamaisha

ความคิดเห็น • 9

  • @charzysimion9055
    @charzysimion9055 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana nanimejifunza nanitaifanyia kazi think big start small

  • @desmonmagesemagese5601
    @desmonmagesemagese5601 3 ปีที่แล้ว +1

    Think big

  • @bensonjohn5400
    @bensonjohn5400 2 ปีที่แล้ว +1

    Sister Barikiwa

  • @desmonmagesemagese5601
    @desmonmagesemagese5601 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana ujumbe wenu asante sana kwa msaada wenu

    • @ElimikaTz
      @ElimikaTz  3 ปีที่แล้ว

      karibu tena na tena

  • @jovinmutakumwa9611
    @jovinmutakumwa9611 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa elimu nzuri unayotupatia Dada Mungu akubariki sanaaaaa

    • @ElimikaTz
      @ElimikaTz  4 ปีที่แล้ว

      Karibu sana, Ubarikiwe pia..

    • @hassanabdalla4370
      @hassanabdalla4370 3 ปีที่แล้ว

      Asante Dada hiyo ndio elimu

  • @ElimikaTz
    @ElimikaTz  4 ปีที่แล้ว +2

    Mambo vipi wasomi!
    niambie ni siri gani ya mafanikio au tabia ya mafanikio unayotumia?
    tupe mchango wako katika mada yetu hapa chini. :-)