Elimika Tz
Elimika Tz
  • 19
  • 74 245
Hakuna anayekuja kukuokoa (No one is coming to save you)
Wengi hawaendelei kimaisha kwasababu, wanasubiri kusaidiwa na watu wengine. kusudi waweze kubadilisha maisha yao kuwa bora zaidi.
video ya leo itakwenda kukudadafulia kwanini haswa haupati msaada na kwanini hakuna anayekuja kukuokoa kwenye matatizo yako. pia nini unaweza kufanya kuhusu hali hiyo.
#Elimuyamaisha #ushauriwamaisha #mafanikio
มุมมอง: 545

วีดีโอ

Jinsi ya kuwa na malengo yenye kutimia
มุมมอง 2.2K3 ปีที่แล้ว
Watu wengi huishi maisha pasipo kujiwekea malengo, wengine wengi pia hujiwekea malengo lakini malengo na mipango hii huishia kua story. video ya leo inakwenda kukudadafulia ni jinsi gani unapaswa kujiwekea malengo utakayoweza kutimiza. kama haukupata nafasi ya kutazama video juu ya hatua ndogo ndogo kukuletea matokeo makubwa, inayodadafua kwa undani mbinu ya kugawanya malengo yako katika maleng...
kabla haujajilinganisha/kujifananisha na wengine. TAZAMA HII !
มุมมอง 4543 ปีที่แล้ว
kujilinganisha ama kujifananisha na watu wengine, imekua sehemu kubwa ya maisha yetu ya kila siku, pasipo hata sisi binafsi kugundua inavyotuathiri maishani mwetu. kujifananisha kunakubakiza masikini na usiye na furaha. tazama video hii mpaka mwisho ili utambue jinsi ya kujikomboa na mzunguko huu na kuwa bora kuliko jana! subscribe kwenye youtube channel yetu ya elimika tz kama bado haujasubscr...
Sanaa ya Kuachilia Vitu | Minimalism
มุมมอง 2203 ปีที่แล้ว
Minimalism ama sanaa ya kuachilia, ni mwenendo wa maisha yenye kukupa furaha na amani kwa kuishi na kiasi katika maisha ya kila siku. fuatilia video hii mpaka mwisho, ili upate kuelewa kwanini furaha yako haipatikani katika mali, umaarufu na kadhalika. subsscribe kwenye channel yetu hii ya elimika tz, ili usipitwe na mada zetu mbalimbali zitakazokupa elimu ya maisha na kukufanya wewe kuwa bora ...
Jinsi ya kukabiliana na kufikiri kupita kiasi | Overthinking everything
มุมมอง 5534 ปีที่แล้ว
mawazo na kufikiri ni sehemu ya maisha ya kila siku, lakini kuna kufikiri kwa kupitiliza juu ya kila kitu! video hii itakupa mwongozo wa kukabiliana na kufikiri huku, yani overthinking everything.. subscribe na kulike video hii kama utafurahishwa na masomo haya. tufollow instagram kupitia @elimika_tz
TABIA ZA MAFANIKIO | Part 2
มุมมอง 3.1K4 ปีที่แล้ว
Siri ya mafanikio ni kutambua na kuelewa jinsi gani watu waliofanikiwa hufanya mambo yao, jinsi gani wanaweza kumaintain mafanikio hayo na kuedelea kukua. video hii itakupa mwongozo na motisha katika njia sahihi ya kufanikisha malengo yako endapo utazingatia mambo haya. subscribe kwenye channel yetu kwa video zitakazokusaidia kuwa bora kuliko jana! tufollow instagram @elimika tz, huko tunashare...
Matumizi mabovu ya madaraka| Misuse of power
มุมมอง 1654 ปีที่แล้ว
Tunashuhudia matumizi mabovu ya madaraka duniani kote, hata kazini kwetu na mpaka majumbani kwetu. wewe binafsi pia una madaraka makubwa tu ambayo unapaswa kuyatendea haki na kutumia vizuri ili kuzingatia amani na furaha katika jamii yetu. subscribe kwenye chanel yetu kama bado haujasubscribe ili usipitwe na video mpya kila wiki zitakazokusaidia wewe kuwa bora kuliko jana! like na kushare ujumb...
Lugha 5 za upendo | siri ya mapenzi ya kudumu
มุมมอง 1.6K4 ปีที่แล้ว
video hii itakupa siri kubwa ya mapenzi ya kudumu. ukijua lugha ya upendo ya mwezako itakusaidia kuonyesha upendo kwa ufanisi zaidi. ushauri huu ni kutoka kwenye kitabu cha the 5 love languages kutoka Garry champman. Kuchukua quiz ya love language ( Lugha ya upendo ) nenda hapa: www.5lovelanguages.com/quizzes/ subscribe kama bado haujasubscribe ili usipitwe na video mpya kila wiki zitakazokusai...
Maamuzi 13 muhimu unapaswa kuchukua maishani! | Important life choices
มุมมอง 2.4K4 ปีที่แล้ว
katika maisha, inafikia hatua na tunapaswa kufanya maamuzi makubwa yatakayo kuwa na mchango mkubwa katika kesho yetu. video hii inaeleza uchaguzi ulionao, na kuelezea nguvu na mapungufu ya kila uchaguzi, ili kukurahisishia kufanya uamuzi sahihi kwa ajili ya maisha yako. Pia ili utumie muda wako kutafakarui na kutambua ni kipi haswa unatamani zaidi katika maisha, mapema kabisa na bila presha. Go...
UNYANYASAJI WA KIHEMUKO| EMOTIONAL ABUSE
มุมมอง 1954 ปีที่แล้ว
Katika mazingira ya nyumbani, kazini na kadhalika. baadhi ya watu hupitia unyanyasaji wa kihisia/kihemuko. wengine ni wanyanyasaji pasipo kujitambua. video hii itakuelezea kwa undani unyanyasaji huu ulivyo na namna ya kukabiliana nao. sambaza ujumbe huu ili umsaidie mtu na kumuelimisha. ushauri huu ulitolewa katika instagram ya @safespace_group. Subscribe kwenye channel yetu ili usipitwe na vid...
Tambua NGUVU YAKO | Fanya unachotaka kufanya.
มุมมอง 7374 ปีที่แล้ว
Je, unatambua Nguvu uliyonayo? wewe ni wa kipekee na unaweza kufanya chochote unachotaka kufanya katika maisha yako! unapaswa kutambua thamani yako na kuacha kujishusha thamani au kuacha wengine wakushushe thamani. fata ndoto zako leo na uwe njiani kuzifikia. tuache visingizio visivyo na ukweli ndani yake kama vile wazo hili la biashara limeshachukuliwa ama watu wengi wanafanya biashara hii na ...
Maamuzi/mabadiliko madogo huleta matokeo Makubwa.
มุมมอง 1.4K4 ปีที่แล้ว
Vitendo vidogo vya kila siku vinaongoza kwa Matokeo Makubwa -consistency ama nidhamu ni Muhimu. Siku hizi sote tunataka matokeo na wote tunayataka sasa. Walakini kile tunachosahau ni kwamba matokeo mara nyingi huchukua muda kuonyesha. Ikiwa ungeenda kwenye mazoezi leo, urudi na uangalie kwenye kioo, ungeona nini? Hakuna chochote ungeona, si ndio? Na ikiwa ungeenda kwenye mazoezi siku iliyofuata...
Ishi kwa UDADISI | baadala ya kutafuta Passion yako.
มุมมอง 6224 ปีที่แล้ว
wengi hujiuliza, passion yangu ni ipi? kusudi la maisha yangu ni ipi? nijishughulishe na nini? nachokifanya ni sahihi kwangu? biashara gani inalipa? jinsi ya kugundua passion yangu, siri ya mafanikio na kadhalika. katika video ya leo utapata majibu yako ama pengine muongozo wa namna ya kuangalia maswala haya na kujipatia majibu sahihi na kujiboresha kuliko jana. siri ni moja ISHI KWA UDADISI NA...
Tabia za Mafanikio | Ushauri kutoka matajiri wa dunia
มุมมอง 56K4 ปีที่แล้ว
Tazama ushauri wa tabia za mafanikio kutoka baadhi ya watu waliofanikiwa duniani. zingatia ushauri huu kujiendeleza sasa! tufollow kwenye instagram page yetu sasa @elimika tz na facebook! #tabiazamafanikio #motisha #motivation #success #elimuyamaisha #siriyamafanikio
Makosa vijana hufanya na kujutia baadae | VIJANA WANAPOKOSEA.
มุมมอง 1.2K4 ปีที่แล้ว
Makosa vijana hufanya na kujutia baadae | VIJANA WANAPOKOSEA.
Mambo ya kufanya ukiwa Karantini | Corona.
มุมมอง 614 ปีที่แล้ว
Mambo ya kufanya ukiwa Karantini | Corona.
Maisha chini ya dakika.
มุมมอง 2094 ปีที่แล้ว
Maisha chini ya dakika.
Masomo katika Maisha Natamani Ningejua Mapema.
มุมมอง 1.9K4 ปีที่แล้ว
Masomo katika Maisha Natamani Ningejua Mapema.
Elimu ya Maisha.
มุมมอง 7604 ปีที่แล้ว
Elimu ya Maisha.

ความคิดเห็น

  • @hawahamza1085
    @hawahamza1085 17 วันที่ผ่านมา

    Good lesson (mind set very important)

  • @dadsonmaria
    @dadsonmaria หลายเดือนก่อน

    Ujumbe mzuri sana.

  • @moxmulo825
    @moxmulo825 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @kedmonchaeka
    @kedmonchaeka หลายเดือนก่อน

    Asante dada, your very smart in speeching ❤

  • @faustinkasabwe3106
    @faustinkasabwe3106 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mama kwa mashuri hii !!! 🇨🇩Drc

  • @farajamkundi6664
    @farajamkundi6664 5 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @IlihamAntiiilu66
    @IlihamAntiiilu66 5 หลายเดือนก่อน

    🥰pend San sl

  • @Kanyawela
    @Kanyawela 6 หลายเดือนก่อน

    Nimeteswa sana na kupata mda na sipati mda

  • @HafdhiAllig
    @HafdhiAllig 6 หลายเดือนก่อน

  • @HafdhiAllig
    @HafdhiAllig 6 หลายเดือนก่อน

  • @kombaro_k47
    @kombaro_k47 9 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢kweli

  • @EnockKagomba
    @EnockKagomba 10 หลายเดือนก่อน

    Safi sana Asante sana

  • @Edsonnyampundu
    @Edsonnyampundu 11 หลายเดือนก่อน

    Thank you

  • @SengeremaMashauri
    @SengeremaMashauri ปีที่แล้ว

    Safi Sana SoMo zuri

  • @obadiazabroni6518
    @obadiazabroni6518 ปีที่แล้ว

    Asante sana Kwa Somo nimekuelewa

  • @G-reen-f7f
    @G-reen-f7f ปีที่แล้ว

    Good

  • @G-reen-f7f
    @G-reen-f7f ปีที่แล้ว

    Good

  • @G-reen-f7f
    @G-reen-f7f ปีที่แล้ว

    Good 👍

  • @G-reen-f7f
    @G-reen-f7f ปีที่แล้ว

    Good 👍

  • @amidaibrahimu271
    @amidaibrahimu271 ปีที่แล้ว

    naanza Leo Asante sana bi dada

  • @AlbertEstein-xi3gv
    @AlbertEstein-xi3gv ปีที่แล้ว

    Namba y simu

    • @ElimikaTz
      @ElimikaTz ปีที่แล้ว

      Kwa mawasiliano, tuandikie email kutumia tzelimika.sasa@gmail.com

  • @emilylucas1404
    @emilylucas1404 ปีที่แล้ว

    Napendaa Sanaa kaziii zakoo ilaa sizipa palee tuu unapoo zitumaa

  • @fatmaomari7824
    @fatmaomari7824 ปีที่แล้ว

    Shukrani

  • @wanjamarwanja673
    @wanjamarwanja673 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @edisonjoseph4087
    @edisonjoseph4087 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana

  • @Haleem_07
    @Haleem_07 2 ปีที่แล้ว

    I like your example 😅✊

  • @jescamungure9451
    @jescamungure9451 2 ปีที่แล้ว

    😍🥰

  • @yasintawarituondiek7117
    @yasintawarituondiek7117 2 ปีที่แล้ว

    Kutokata tamaa

  • @legrandmarii
    @legrandmarii 2 ปีที่แล้ว

    Love this lesson

  • @mwesigapius3074
    @mwesigapius3074 2 ปีที่แล้ว

    Nina changamoto ya maamuz nisaidien kutatua ilitatizo language niwezekufikia malengo yangu naitwapius

    • @ElimikaTz
      @ElimikaTz 2 ปีที่แล้ว

      Mambo Pius, tunaweza zungumza kupitia email hii tzelimika.sasa@gmail.com karibu sana

  • @dorcasloy7935
    @dorcasloy7935 2 ปีที่แล้ว

    Asante sanaaaa

  • @dalmasnyaribo7936
    @dalmasnyaribo7936 2 ปีที่แล้ว

    Am Dalmas nyaribo from Kenya I request you to give me way I can rich on u kunao hushauri nahitaji please

    • @ElimikaTz
      @ElimikaTz 2 ปีที่แล้ว

      Hi Dalmas, please write to me via tzelimika.sasa@gmail.com

  • @bensonjohn5400
    @bensonjohn5400 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Nimekuelewa Sana

  • @bensonjohn5400
    @bensonjohn5400 2 ปีที่แล้ว

    Sister Barikiwa

  • @bensonjohn5400
    @bensonjohn5400 2 ปีที่แล้ว

    Nimekusoma

  • @charzysimion9055
    @charzysimion9055 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa sana nanimejifunza nanitaifanyia kazi think big start small

  • @chackymedia2358
    @chackymedia2358 2 ปีที่แล้ว

    Kuzaliwa masikini sio kosa lako, kosa lako ni kufa masikin,, according to billget.

  • @farajahkibona9022
    @farajahkibona9022 2 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kwa SoMo zur kunakitu nimejifunza

  • @SalsabeelLtd
    @SalsabeelLtd 2 ปีที่แล้ว

    InshaaAllah

  • @ssalesh7634
    @ssalesh7634 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo kriositi ndio nini dada yng mpendwa!

    • @ElimikaTz
      @ElimikaTz 2 ปีที่แล้ว

      Curiosity maana yake ni udadisi kwa Kiswahili. Hivyo nimemaanisha unapaswa kujidadisi mwenyewe katika maisha kujua ni nini haswa kinakufuruhisha katika secta mbalimbali kama kazi, ubunifu n.k

  • @frankhabibulunenge6860
    @frankhabibulunenge6860 3 ปีที่แล้ว

    Thanks my sister

  • @armaanmaryam4645
    @armaanmaryam4645 3 ปีที่แล้ว

    Umeelezea fresh

  • @edisonjoseph4087
    @edisonjoseph4087 3 ปีที่แล้ว

    Sawasawa dada

  • @shiftaa
    @shiftaa 3 ปีที่แล้ว

    Asante maneo mazuri sana

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 3 ปีที่แล้ว

    Mambo vipi samahani naomba kuuliza, kuna chanel hapa TH-cam inaitwa UJUMBE WA SIKU ilikuwa inaposti kitabu kimoja kwa siku kwa njia ya sauti je ile chanel ilikuwa ni yako maana ile sauti ya yule dada inafanana na yako na kama ni yako vile vitabu navipataje? Ahsante

    • @ElimikaTz
      @ElimikaTz 3 ปีที่แล้ว

      Safi Abdul, hapana hiyo TH-cam channel sio ya kwangu, hii ndio channel pekee niliyonayo. Ila kwa kujibu swali lako juu ya vitabu, unaweza nunua vitabu aina mbalimbali kupitia book stores unazoweza kuzipata Instagram kama @tzbookstore @tanzanite_bookshop @bookmarttz @elitebookstore @veebaybooks na kadhalika.

    • @abdulrahmanhassan9254
      @abdulrahmanhassan9254 3 ปีที่แล้ว

      @@ElimikaTz shukran sana

  • @ericmugyabuso333
    @ericmugyabuso333 3 ปีที่แล้ว

    nimeipenda hii sheria ya sekunde 5..ni nzuri

  • @charlesmollel1845
    @charlesmollel1845 3 ปีที่แล้ว

    No one is coming

  • @charlesmollel1845
    @charlesmollel1845 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana... umenisaidia sana. Wewe n shujaa wa maisha yangu. Asante saana

    • @ElimikaTz
      @ElimikaTz 3 ปีที่แล้ว

      Asante sana Charles, nafurahi kufahamu kwamba nina mchango mzuri kwenye maisha yako, nakutakia kila lakheri katika maisha : )

    • @charlesmollel1845
      @charlesmollel1845 3 ปีที่แล้ว

      @@ElimikaTz asante.

  • @hailemwalwange3318
    @hailemwalwange3318 3 ปีที่แล้ว

    Nzur