KANUNI ZA MAKANISA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024
- KANUNI ZA MAKANISA
MWAVULI WA KIINJILI WA MASHIRIKA 16 YA MAKANISA YALIYOSAJILIWA SASA IMEJITENGA NA MATUKIO YA SHAKAHOLA, IKIDAI KUWA KANISA YA GOOD LIFE INTERNATIONAL YA MUHUBIRI PAUL MACKENZI HAIJASAJILIWI KATIKA SHIRIKA LOLOTE LA MAKANISA. MWENYEKITI WA JUMUIYA YA MASHIRIKA HILO STEPHEN MUTUA AMESEMA KUWA MAKANISA HAYAFAI KUHUKUMIWA NA KUCHUNGUZWA KWA SABABU YA KOSA LA MTU MMOJA. VIONGOZI HAO WA MAKANISA WAMEONGEZEA KUWA SERIKALI HAIFAI KUJIHUSISHA NA MANENO YA UCHUNGUZI WA MAKANISA.
HAYO YAKIJIRI, KULE SHAKAHOLA, LEO IMEKUWA SIKU YA MWISHO YA AWAMU YA TATU YA UFUKUZI WA MIILI. IDADI YA VIFO IMEFIKA 336 HUKU WATU 95 WAKIOKOLEWA. WALE WALIORIPOTIWA KUTOWEKA NI 613 NA WALIOWEZA KUTAMBULIKA NA FAMILIA NI 19.
PACKAGE///
VO///
MAPEMA LEO, VIONGOZI WA MAKANISA WA MWAVULI WA SHIRIKA LA MAKANISA NCHINI WALIKUTANA NA WANAHABARI KATIKA KANISA LA DELIVERANCE, LANGATA, JIJINI NAIROBI
NATS…
WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WA MWAVULI HUO, STEPHEN MUTUA, WAMEJITENGA NA KISA CHA SHAKAHOLA WAKISEMA KUWA KANISA LA GOODLIFE INTERNATIONAL NA MHUBIRI PAUL MACKENZIE HAIJASAJILIWA KATIKA SHIRIKA LOLOTE
NATS…
WAMEONGEZEA KUWA MAKANISA YANAHUKUMIWA NA KUCHUNGUZWA KWA KOSA LA ASILIMIA NDOGO YA MADHEHEBU YASIYO HALALI
NATS…
WAMEITAKA SERIKALI KUTOHUSIKA NA MANENO YA MAKANISA WAKISEMA KUWA WAMETAYARISHA HATI WATAKAZOPELEKA MBELE YA JOPOKAZI LINALOCHUNGUZA MASWALA YA DINI BUNGENI.
NATS…
HAYO YAKIJIRI, LEO IMEKUWA SIKU YA MWISHO YA UFUKUZI WA MIILI KULE SHAKAHOLA, HUKU IDADI YA VIFO IKIONGEZEKA HADI MIA TATU NA THELATHINI NA SITA. UCHUNGUZI WA
NATS…
VERA ALBERTA, TV47, NAIROBI
CGS…
Stephen Mutua amesem akuwa makanisa yanathitiwa na sheria ya jamii
Mwavuli huo wa mashirika ya makanisa imekataa kuhusiana na mhubiri Paul Mackenzie
Idadi ya vifo Shakahola imefikia 336
Waliookolewa leo ni 95, sampuli ya DNA NI 93, waliotambulika na familia ni 19
Ufukuzi umesimamishwa kwa sasa kufanya upasuaji wa miili iliyopatikana leo
P.S I HAVE NEVER BEEN RUSHED LIKE THIS . STILL WORKED UP AS I TYPE THIS BECAUSE WHAAAAT!!!