Hizo ofa za bure za nafasi ya safari ya hijja zinazotolewa na serikali ya Saudia na wafadhali wengine Kwa waislam wa Tanzania mzigawe Kwa wengine pia bara na Zanzibar, isiwe mnajipendelea nyie viongozi wa BAKWATA na jamaa zenu,,,,
Wazanzibari laiti mngekuwa ndio nyinyi Wabara basi mngetutesa sana kwasababu nyinyi ni wabaguzi sana ila sisi hatuna tabia kama zenu .mnakuja bara mnasoma katika vyuo vya bara bila manyanyaso ila tunaona jinsi gani wazanzibari mnavyojitenga mpaka tunajiuliza mpoje tungekuwa kama nyinyi pasingekalika ila Allah ametuondoshea chuki juu yenu na kujitenga na ubaguzi hatupo kama nyinyi. Mungu awaongoze ila hio tabia mnayo sana hasa kujiona bora zaidi yetu .mimi ni muislam sina chuki ila naongea ukweli.
Allah akujaalie sheikh Hassan Chizenga,you are blessed...
Mashallah sheikh wangu NAKUPENDA SANA
ماشاء الله تباك الله وتعالي وبارك الله فيك يا حبيب
Nakupenda sana sheikh huwa unaniathir sana katika kuongea kwako, huwa ukiongea unaongeaga na nyoyo yangu.
Allah atulipe malipo mema
Hizo ofa za bure za nafasi ya safari ya hijja zinazotolewa na serikali ya Saudia na wafadhali wengine Kwa waislam wa Tanzania mzigawe Kwa wengine pia bara na Zanzibar, isiwe mnajipendelea nyie viongozi wa BAKWATA na jamaa zenu,,,,
Shekh wangu mungu akupe Maishamarefu inshaaklah nimimi baby juma
@@EllySaid-li1ki Amen! Atujaalie sote insha'Allah!!
mmh! unachuki tu
@@mafiatv5479 kama kusema ukweli ni chuki basi nimekubali