🚨Mapya kutoka Simba,Hali ya mutale,Ayoub lakred,Ateba,Ahmedally Afunguka vyote.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @lonesomekabora5547
    @lonesomekabora5547 2 หลายเดือนก่อน +4

    Msemaji itakua alikua anamaanisha mil300 za kitanzania, lkn pia semaji anasema mechi ya Simba na Fautain Gate ni tar28 chati inaonyesha ni tarehe 25 tuwekeni sawa hapo Wachambuzi

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 2 หลายเดือนก่อน

    Wenzeni wajanja ateba angekuwa mzuri wasingekupeni huoni Sasa wamekupeni ateba wamemchukuwa fredi huwoni wenzinu wajanja waneona ateba na feedi nibora fredi lakini nyinyi mnamchekea ateba kweli Simba mmeisha nahamjielewi

  • @EmmanuelManda-t3q
    @EmmanuelManda-t3q 2 หลายเดือนก่อน

    Ateba alifunga goli ngapi na anamzidi Fred Michael?

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ahmedy ally ni muongo sana amesema hajui kama wamebadilishana ataenda uliza mara tumemnunuaa

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa hiyo ateba anamzidi mayele?.

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 2 หลายเดือนก่อน

    Mo hanaela yakumleta mayele haowachezaji aliowaketa ndiouwezowake wachezaji wote aliowaleta hawanaubora wowote yaani viongozi wa Simba hawaonyeshi marengoyoyote kazimaneno vitendo hamna ingejuwa maneno ya ahamed ally nivitendo watu tusingekunywa maji lakini maneno mengi vitendo hamna poleni

    • @ibrahimally8073
      @ibrahimally8073 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo gsm mwenye hela mbona alishindwa kumbakiza huyo mayele?? Tena mayele aliwaambia mkinipa kiasi Fulani nitabaki mbona huyo gsm alishindwa kumbakiza?😂😂.. yaani unajitekenya na kucheka mwenyewe..😂😂

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 หลายเดือนก่อน +1

    VIONGOZI WA SIMBA MUWE WAVUMILIVU CY KILA CK MAWAFUKUZA MALOCHA NA WACHEZAJI KUWENI WAVUMILIVU.

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 2 หลายเดือนก่อน +1

    MCHUKUENI MAYELE HUYU AMEZOEA LIGI YA TANZANIA. MO UNAFELI WAPI?

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ataletwa kwenye AGM... Kama alivyoletwa manzoki

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sacko alinunuliwa kwa pesa ndogo akauzwa kwa pesa ndefu.