WANANCHI KATAVI WAIPOKEA ELIMU YA MSAADA WA KISHERIA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Haya ni maoni ya baadhi ya wananchi mkoani Katavi ambao wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kupitia kampeni ya msaada wa kisheria (Mama Samia Legal Aid Campaign) inayoendelea mkoani humo ambayo kwa kiasi kikubwa imerahisisha wananchi hao kutatuliwa changamoto zao ikiwemo za upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa.
RITA ni miongoni mwa wadau wa Wizara ya Katiba na Sheria ambapo wanaendelea kushiriki kikamilifu katika Kampeni hiyo ambayo inaendeshwa kwa muda wa siku 10 hadi kufikia Februali 2 mwaka huu.