- 589
- 611 233
PHINU MEDIA
เข้าร่วมเมื่อ 13 ก.ค. 2021
PHINU MEDIA is Owned by PHINU TANZANIA COMPANY LIMITED a Company registered under Tanzania act of Companies in 24th day of March 2023 with Registration Number164593797
The Company is Dealing with Radio Broadcasting, P.A system, Online Contents and General Entertainments.
We do not own any copyright of any Videos, Pictures, or any contents .
This Chanel is for Educating, Entertaining, and Informing different News, tourism attraction, culture, we also produce various Programs to educate the Community.
Please Subscribe to our Chanel and Follow us to our social Network.
FOR MORE INFORMATION CONTACT US :
P.O.BOX 137 MPANDA ,KATAVI,
MOB: +255 767803433 / +255 757544454,
Website: www.phinu.co.tz ,
EMAIL: phinumedia@gmail.com
The Company is Dealing with Radio Broadcasting, P.A system, Online Contents and General Entertainments.
We do not own any copyright of any Videos, Pictures, or any contents .
This Chanel is for Educating, Entertaining, and Informing different News, tourism attraction, culture, we also produce various Programs to educate the Community.
Please Subscribe to our Chanel and Follow us to our social Network.
FOR MORE INFORMATION CONTACT US :
P.O.BOX 137 MPANDA ,KATAVI,
MOB: +255 767803433 / +255 757544454,
Website: www.phinu.co.tz ,
EMAIL: phinumedia@gmail.com
WANAFUNZI WAMPA AHADI MAMA SAMIA
KAMPENI YAMAMA SAMIA LEGAL AID KUFIKIA TAMATI LEO, BAADA YA KUPATA ELIMU JUU YA UKATILI WA KIJINSIA WANAFUNZI HAO WAAHIDI KUPINGA NA KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA MKOANI KATAVI.
มุมมอง: 13
วีดีโอ
WAKULIMA KATAVI WATAKIWA KUACHANA NA KILIMO CHA MAZOEA,WATUMIE ZANA ZA KISASA.
มุมมอง 1112 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wakulima mkoani Katavi wametakiwa kuachana na kilimo cha mazoea Cha kutumia jembe la mkono badala yake watumie zana za kisasa za kilimo ili kuongeza tija ya uzalishaji nakufanya kilimo kuwa biashara itakayowasaidia kujikomboa kiuchumi. Hayo yamesemwa na Meya wa Manispaa ya Mpanda Haidari Sumri wakati akikabidhi trekta kwa mkulima Ambae alikua akitumia dhana duni za kilimo ambapo amewataka wakul...
CHAGULAGA YA WASUKUMA YAKEMEWA VIKALI
มุมมอง 674 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#tanzania #wasukuma #news #clamvevo #kenya #congo #m23 #trump
USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI KILO 6 KWA RUZUKU WAENDELEA WILAYA YA HAI, MKOA WA KILIMANJARO.
มุมมอง 187 ชั่วโมงที่ผ่านมา
📌Mitungi ya gesi ya kupikia 19,530 kusambazwa mkoani Kilimanjaro 📌Mitungi ya gesi ya kupikia 3,255 kusambazwa Kila wilaya. 📍Hai Diwani wa viti maalam Kata Ya Machame Mashariki, tarafa ya Lyamungo Wilaya Ya Hai, Mhe. Hausen Nkya amewaomba Wananchi wa kata ya Machame mashariki na Watanzania kwa ujumla kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ...
WANANCHI KATAVI WAIPOKEA ELIMU YA MSAADA WA KISHERIA.
มุมมอง 437 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Haya ni maoni ya baadhi ya wananchi mkoani Katavi ambao wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kupitia kampeni ya msaada wa kisheria (Mama Samia Legal Aid Campaign) inayoendelea mkoani humo ambayo kwa kiasi kikubwa imerahisisha wananchi hao kutatuliwa changamoto zao ikiwemo za upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa. RITA ni miongoni mwa wadau wa Wizara ya Katiba na Sheria ambapo wanaendelea kushiriki...
ELIMU YA MILATHI YATOLEWA KWA KINA LEO
มุมมอง 297 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WANAKIJIJI WA MWAMAPULI WAPEWA ELIMU NA UFAFANUZI JUU YA MILATHI NAUKATILI WA KIJINSIA KATIKA HALMA#tanzania #news #sheria #mahakama
KUANDIKA WOSIA SIO KUJICHULIA KIFO.
มุมมอง 179 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Elimu ya usimamizi wa mirathi imeendelea kutolewa na timu ya wataalamu wa Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ambapo wananchi wametakiwa kuzidi kuwa na tabia ya kuandika wosia ili kuondoa sintofahamu kwa ndugu wanaobaki pindi wanapofariki. Akizungumza mratibu wa mradi huo Halmshauri ya Tanganyika Pendoveera Nyanza amewataka wakazi wa Kata za Karema na Kapalamsenga zilizopo katika mwamba...
REA YAENDELEA NA USAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI YA KILO SITA MKOANI KILIMANJARO.
มุมมอง 3012 ชั่วโมงที่ผ่านมา
📌Mitungi ya gesi 19,530 kusambazwa mkoani Kilimanjaro 📌Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Lake Gas ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita pamoja na vifaa vyake katika maeneo ya vijijini na pembezoni mwa miji. Hayo yamebainishwa leo ...
WANAUME MSIFE NA TAI SHINGONI
มุมมอง 6612 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ikiwa ni siku ya tano tangu kuanzishwa kwa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia, wadau wa wizara ya Katiba na Sheria kupitia dawati la jinsia na watoto wamewaomba wanaume nchini kutokufa na tai shingoni kwa kuficha matendo ya ukatili yanayotendeka katika familia zao. Wito huo umetolewa na Copro Prisca kutoka Dawati la Jinsia na Watoto Mkoa wa Katavi ambapo amesema kupitia kampeni hiyo ku...
BILA SHILINGI MIATANO KAMILI || HAKUNA KUINGIA STENDI YA MIZENGO PINDA.
มุมมอง 10714 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wataalam wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Wadau wa Stendi kuu ya mabasi ya Mizengo Pinda pamoja na TAKUKURU Mkoa wa Katavi wamekubaliana kuwa wananchi wote wanaoingia katika stendi hiyo kuingia na shilingi 500 kamili ili kuondoa usumbufu wa upatikanaji wa chenji hali inayosabisha Halmashauri kukosa baadhi ya mapato. Hayo yamebainisha na Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi Stuart Kiondo w...
WANAWAKE KANOGE WAPAZA SAUTI DHIDI YA POMBE NA UZEMBE WA WANAUME.
มุมมอง 12814 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wanawake Kata ya Kanoge Halmashauri Nsimbo Wilaya Mpanda Mkoa wa Katavi wamelalamikia kuvunjwa moyo na waume zao kutokana na kitendo cha waume hao kulala mpaka saa sita za mchana pasipo kujishughulisha na kazi za uzalishaji ili kuhudumia familia na badala yake wamekuwa wakiwategea wake zao na watoto wao kufanya shughuli hizo. Malalamiko hayo wameyatoa wakati timu ya Kampeni ya msaada wa kisheri...
TUMIENI FURSA YA WIKI YA SHERIA KUPATA USHAURI WA KISHERIA-MWASHITETE.
มุมมอง 5916 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mkoa wa Katavi umezindua rasmi Wiki ya Sheria, hafla iliyoongozwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mpanda, Geofrey Mwashitete, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf katika viwanja vya Shule ya msingi Kashaulili iliyopo katika Manispaa ya Mpanda. Mwashitete amesema kuwa kulingana kauli mbiu ya mwaka huu inayohusu 'Dira ya Taifa ya Maendeleo kwa Tanzania ya 2050' kama Serikali na wa...
WIZARA YA KATIBA NA SHERIA WAUNGANA NA MAHAKAMA KUADHIMISHA SIKU YA SHERIA.
มุมมอง 6519 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Katika mwendelezo wa utekelezaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia leo januari 25 Wizara ya Katiba na Sheria imeungana na wadau wake ambao ni Mahakama katika maadhimisho ya siku ya sheria ambapo kwa pamoja wameshirikiana kuadhimisha. Mratibu wa Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign Edith Shekidele amesema Mahakama pamoja na wadau wote wa sheria ni wadau, kama Wizara ya Katiba na...
WANANCHI KATAVI WAPATA MATUMAINI MAPYA YA MSAADA WA KISHERIA.
มุมมอง 7221 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WANANCHI KATAVI WAPATA MATUMAINI MAPYA YA MSAADA WA KISHERIA.
MH.SAMIA.S.HASSANI AMETOA TREKTA SIKU YA WIKI YA MWANAKATAVI
มุมมอง 3521 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MH.SAMIA.S.HASSANI AMETOA TREKTA SIKU YA WIKI YA MWANAKATAVI
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA: HAKI NA SULUHISHO KWA WANANCHI WA KATAVI.
มุมมอง 25วันที่ผ่านมา
KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA: HAKI NA SULUHISHO KWA WANANCHI WA KATAVI.
MSAADA WA KISHERIA (SAMIA LEGAL AIDS CAMPAIGN) WAFIKA KATAVI
มุมมอง 70วันที่ผ่านมา
MSAADA WA KISHERIA (SAMIA LEGAL AIDS CAMPAIGN) WAFIKA KATAVI
BAHADHI YA MATUKIO MUHIMU KWENYE WIKI YA MWANAKATAVI 2024
มุมมอง 3614 วันที่ผ่านมา
BAHADHI YA MATUKIO MUHIMU KWENYE WIKI YA MWANAKATAVI 2024
KATAVI: NGOMA YA WAPIMBWE NA WAKONONGO NI BALAAAA
มุมมอง 14514 วันที่ผ่านมา
KATAVI: NGOMA YA WAPIMBWE NA WAKONONGO NI BALAAAA
Mia tano ni kubwa Sana,,abiria wa Mbeya tutapandia mapinduzi, wa tabora kilimahewa na kigoma milupwa, mbaki na stendi yenu
th-cam.com/video/UpPP-s1l08Y/w-d-xo.htmlsi=fDHYgMMmHxKtReZe USISAHAU KU SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,AND COMMENT
th-cam.com/video/RRPksDi_lZ8/w-d-xo.htmlsi=n4Qpmu6x7A6mHNA_
Ongera phinu medie katavi saizi tunaiona
😅😅😅😅
Kanisa letu la Fpct katumba
Tuletewe na za bukoba jamani😄😄
Hongereni wakazi wakanoge
Bado sana hata kwa KASULU haisogei
Tutafika tuu
Watu tunaongelea katavi wewe unabadilishamada nonsense
Safi sana mkoa wa katavi
Great video and good school
Huyu mtangazi videi nzima ana tufundisha misamiati tuu non sense
Good news🇹🇿🙏♥️
🎉🎉🎉
Mbn kuna picha ya duma
Kabendeni pazuri sana.asali na nyama.kimyakimya
KATAVI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
th-cam.com/video/-KyohlrSqts/w-d-xo.htmlsi=Z9E4idUNzskWepwN USIACHE KUTUFUATILIA PHINU MEDIA TAFADHARI SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT
th-cam.com/video/ppQYEOS9TQU/w-d-xo.htmlsi=z4--Uy18rnj9LNSi
th-cam.com/video/1rPeXV9BGP0/w-d-xo.htmlsi=2fLNXp38FBAtTVgf USIACHE KUTUFUATILIA PHINU MEDIA TAFADHARI SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Phinu Media for life
Wanapenda nyama hao,ukimpa babamkwe mguu wa digidigi anakupa Binti yake
th-cam.com/video/jVMkX3BrO0Q/w-d-xo.htmlsi=G2jZSEK3Qd9tcTcx USIACHE KUTUFUATILIA PHINU MEDIA TAFATHARI SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT
Na wakonongo je,
Phina media for life
th-cam.com/video/q2j5XQ7Ses0/w-d-xo.htmlsi=s2OapZYr9qyI0Ifc USIACHE KU SUBSCRIBE .LIKE ,SHARE,AND COMMENT
Kwann wasijenge jumba la makumbusho
th-cam.com/video/h8i8rHPxgnU/w-d-xo.htmlsi=BdOxNhafft2Cg9X4 USIACHE KUTUFATILIA PHINU MEDIA TAFADHARI SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT ASANTE
th-cam.com/video/6OpONvGeo74/w-d-xo.htmlsi=gJFkGiSqbrXKpE75 USIACHE KU. SUBSCCRIBE,LIKE,SHARE AND COMENT
Phina media for life
Sweet home 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏
th-cam.com/video/N8gIbvxdXb8/w-d-xo.htmlsi=laOi0EDRFAQfcgqL USIACHE KU SUBSCIBE ,LIKE SHARE AND COMMENT ILI KUPATA UPDATE ZETU
Penda Sana nchi yangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏
👍
th-cam.com/video/xRiKiS2PDic/w-d-xo.htmlsi=EAhgi2qjsgQZxeO8 TAFADHARI SUBSCRIBE,LIKE,SHARE,COMMENT 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nice view
th-cam.com/video/k_OEn7Lffvo/w-d-xo.htmlsi=7lKy-ip9mcMyzBD_ TAFADHARI SUBSCRIBE,LIKE,COMMENT
🎉🎉
th-cam.com/video/aa7d7rN76fo/w-d-xo.htmlsi=wRkvJI4_wbgGhdNO ILI UWE WA KWANZA KUPATA UPDATE ZETU SUBSCRIBE YOUR CHANEL
th-cam.com/video/luoDKPE61bo/w-d-xo.htmlsi=dtJ1DUf4WYAlejfa USIPITWE NA HIKI GUSA LINKI HII UKA JIONEE
Kazi nzuri phina media
😊😊😊😊😊
Hongereni jeshi la police mkoa wetu wa katavi 👍👍👍
Istoria atammi nakubali
Kingkareem here from uoi
Karibu katuma ndiyo mtem up kasandalaua
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
Mitishamba inatibu na haikutengi na imani yako, tumia dawa mwombe Mungu, Afrika inahitaji kuamka!
Wamambwe niwengi
UTAJIRI*
Kazi nzuri zilizofanyika na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Pongezi kwa wananchi wa mlele Pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania #drsamia Pongezi kwa viongozi wote.