Kungekuwa na learning points ingependeza zaidi.. Hii video haikuwa na sababu ya kuwa na hadi dkk 10+, ingekuwa fupi but iwe na matukio ya muhimu tu during the shoot. BTW kazi nzuri sana LAVA LAVA keep it up
Wow 😳 she 🌶🌶🌶🌶🍉🍉🍎🍇🍎🍓🍇🍇🍇🍇🍇🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍌🍌🍉🍉🍌🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍓🍓🍇🥝🥝🥝🌰🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥞🥞🥞🥞🥞🥞🥞🍕🥓🥓🥓🥓🍳🍳🍳🍳🍳🍳🍳🍳🍳🍳🍕🍕🍕🍕🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍑🍍🍑🍅🍆lwamba and she has been on a long day of
Adhi cozi linanitoka kwa kjituma kwa Diamond ana sapot wasani wake jaman Mwenyezi Mungu azidi kuku barki papa
safi saaaana kaka siiiimba najua ipo siku wanaokuona mjinga kesho watajua ulikuwa ukifanya nin respect kwako one love
nimegundua kwann huyu jamaa anazidi sana kufanikiwa!!!!!ana moyo wa ajabu sana....!!!!
Mohamedi Yusuph kweli moyo wa kusaidia na kupondeke atazidi kubarikiwa mpaka watu washangae
tusiwe wanafiq diamond anajitoa sana kukuza tasnia ya music Tanzania na vilevile kufungua opportunities nyingi kwa vijana
Suleiman
beke
Suleiman Ahmed
Suleiman Ahmed nashukuru sana wanamusiki kutoka tandale kwa kuburudisha nchi nzima kwa musiki
Diamond amejitolea
Suleiman Ahmed fact
Diamond big up sana munguu akupe moyo huo huo usiwee mbinafsii kutoa ni moyo si utajirii
sanaa sio rahisi. sanaa inahitaji ujitoe. kazi nzur Kwa jinsi ilivyo
Sesi
Sana
Jamani Baba tiffa anajituma na ana moyo xio wa wote.....bigup bro....God bless you
jamaaa anaushilikiano mzuri na vijana wake ajari kitu chochotembele yake bigup my brother we need you for rever brother
Kwa kweli diamond unajitolea sn huna moyo wa kichoyo mungu andelee kukuweka na watt wetu wake wafate nyayo zako moyo unao napenda pia kz zako👏🙋😍😍😍😍
Saumu Kaisi
Ukweli kabisa
diamond platnumz you the best roho yako nzuri sana sijapata kuona
Joyt..swahl
Lavenda Apple
Kungekuwa na learning points ingependeza zaidi.. Hii video haikuwa na sababu ya kuwa na hadi dkk 10+, ingekuwa fupi but iwe na matukio ya muhimu tu during the shoot. BTW kazi nzuri sana LAVA LAVA keep it up
Very nyce song bt pole kama ivoh ndo uliteseka kw iyo mvua yte,,u seem 2 be mromantic kw ❤️ yaan ukai kuanya apa n pale,congratulation...
Salute sana kwake Diamond. ..uyu jamaa ana bidii sana. ...keep it up bro
lavalava punguza michezo yaambaluti utanasa mdau haaa poa japo kwenye mziki upo bomba sana ila ambaluti punguza
Nick Mwangi
Kumbe uli Teseka ivi Ndyo Maana hii video ina mvuto asee Daah kaza Boot mzee Baba
This Lavalava boy is cuuuuteeee
Diamond always doing the most✅💯
Kumbe mond wasanii wake katoka nao mbali mashalaa ❤❤❤
Namkubali Sana lava boy mungu amjalie
Like simba anabidi sana Tanzania kabarikiwa kupewa diamond
c'est jolie vraiment
Aww you guys are talented , fun and amazing . Keep it up ! Viva Africa 😍🤗
Mlio msikia queen darling alvyomwambia rayvanny tujuane 😂😂😂😂
Hilo mvua ilininyeshea wakatinilienda wasafi record kurekodi nyimbo zangu mbili
Jessica Mm
Nice
daimond inabidi awe director wa video za muziki au filamu maana anaweza kuongoza scene
frank jully sana huyu jamaa anajituma mbaya
Huyu jamaaa anajua kwa sababu n mzoefu wa haya.mambo na anaipenda kazi yake pamoja na wasanii waliopo chini yake
Diamond nakupenda bulee, kaz nzul
Sema uyu nasibu tutakuja kumpenda akisha kufa, jamaa anajitolea Sana
nakubal sana ngoma emenbaba atareee
Hivi huyu Vanny boy anajua kuwa yeye ni comedian??😂😂
Simba ni simba mm pya unishike mkono no LA simu ni 0796292655
Official Meznah sasa
Npo hapa 2020 kenya kuna lockdown kuboeka 😂😂😂behind the scene kukiwa na dai na vanny motoo sana
Hongera sana nasibu huendelee na moyo huo huo mashaallah
kamakweli wasanii wangelimfuata huyu huyu platnumz mziki ungekuwa juu zaidi
#sana simba unajua una moyo wa kusaidia
Watu wana piga kazi na mvua ina nyesha duh alf mna anza kuwa disi wak toka
kazi nzuri Cana xmb
goood. and nice toooo
Sana.lava
diamond amakuza wengi jamani alikiba ametuza wangapi diamond nakupenda bule from kenya
Simba ubarikiwe saana kwa kazi unayoifanya kuwasaidia wenzako
Nawakubali sana wanangu
good voice
Waah diamond is so down to earth I didn't expect this
Poa mukobele WCB natamani kujiuga bt dooo balaa nko keny
Lameck Athumani sasa
PERFECT BEHIND THE SCENE LAVALAVA AM A KENYAN ARTIST ;BIGMAN
So cute,,Mmmwah!!!
Diamond Mola akubariki snah endelea kuwa na huo moyo
Dv
Umoja ni nguvu.
Diamond kazi poa
dai nimekupenda bure unajitolea sana yani haujalishi upoje.mungu azidi kukupa moyo mzuri.na akuepushie kila lashari
U a work its blessend ukiona kumenyesha
Nakupend xan diamond
all that rain bigup guys
diamond we ni zaidi ya Simba
huyo anae ambiwa ataonekana namjua
lava lava big up xana komaa video kal yaaan noma xanaa
Nice
Wow 😳 she 🌶🌶🌶🌶🍉🍉🍎🍇🍎🍓🍇🍇🍇🍇🍇🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍌🍌🍉🍉🍌🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍓🍓🍇🥝🥝🥝🌰🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥜🥞🥞🥞🥞🥞🥞🥞🍕🥓🥓🥓🥓🍳🍳🍳🍳🍳🍳🍳🍳🍳🍳🍕🍕🍕🍕🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍖🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍗🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍉🍑🍍🍑🍅🍆lwamba and she has been on a long day of
Haha imeweza wcb
Simbaaa good
Kazi nzuri sana
Ephrazia Thadeo edfygbbm
ipo pouwa baba...t
Hahahahahahah Hahahahahahah mond naomba uwe director
Kaz kaz ndug mr lava lava
Napenda ushirikiano wa wasafi kabisa
Domo la mondi Kama maimarthar yanazidi sura kwa ukubwa
❤❤❤❤
nice
Diamond n simba bna pensa yy sana
Top music
Diamond
Diamond nataka kulewa
Nice job bro
mambo
anavyoigiza kujiringisha kama dem sasa 😂😂😂😂😂
Kwani diamond suruali vipi kakangu...mshipi hakuna
Big up san
Wow
4:55 anyone in 2023😅
Kwani Dimond Hana mkanda wa suruale
😂😂😂😂😂😂nmim nimron iyooo
Good
Lavalava uko swafi
lava lava jamani...penda wewe sana
Lavalava directed by diamond platnumz
fine
uyu jamàaaa akiwa location ataki utan yuko serious
Simbaaaaaaaaaa
ukweli diamond ni mtu wawatu
🔊🔊🎵🎶
afuu mond iyo misaraba umekazaniy ujuw zambi zake allah akuongeze tuu
Daimod platinum unaweza
Maskn #nick keletwa uswazi kushoot......kajikunjaaaa 😂😂😂😂😂
Umejitaid sana Lava boy
Just 4u
Hot
qaliiii
good
naipenda
mondi unajituma sana niggah
Simba
.i love you
Mondi ulikua umekonda suruali inashuka tu
Wasafi lebo from home
quendarlin swagga mbovu
afu mademu jamani
mkaliiiiii vip
nawapenda San wcb
Team Ushindi respect Wcb
Jamn diamond yuko simpo sana dah
Silva.i love your
kazi ipo