Balaa la CCM: Wasanii CHEKA TU Wajiunga CCM I Tazama Kilichotokea
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- Balaa la CCM: Wasanii CHEKA TU Wakijunga CCM I Tazama Kilichotokea
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wanafanya kampeni kubwa inayofanyika katika uwanja wa Taifa leo tarehe 6 Julai 2024 Jijini Dar - es Salaam.
Mmetishia sanaa
Daaah 😮
Hovyo kabsa
Wachoga waooo
Njaa
Wote hovyoo
Subaru woyeeee😂😂😂😂
Jamani njaa zinatutesa hata shetani kumwita mungu il mpate KULA aibu hiyo
Tuna kizazi cha ovyo sana
wachumia matumbo ni wengi kuliko wapigania haki
Vijana wa Hovyo Mno Kakojoeni Machawa tu Nyie.
Njaa Tupu
Ww unaonakunamtu mwenye akili hapo wavutabangi hao
😅😅😅😅😅😅
Majinga sana haya yanazani Sugu na Pro J walijipendekeza hivyo .