Jinsi ya Kupika wali mtamu 😋😋 wa Mayai utapenda sana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025
  • Jifunze nami jinsi ya kupika wali wa mayai mtamu sana 😋😋 , natumaini utapenda sana.
    Bonyeza Kitufe cha ngengele upate video za mapishi kila siku.
    Cookin' with novisca 😋😋 / @cookinwithnovisca
    Mahitaji:
    Mchele 1kg
    Mayai
    Kitunguu maji 2
    Hoho 1
    Caroti 1
    Mafuta ya kupikia
    Chumvi
    😋😋
    Music by
    Innocence by Roa | / roa_music1031
    Music promoted by www.chosic.com...
    Creative Commons CC BY 3.0
    creativecommon...

ความคิดเห็น • 47