Bwana awabariki sana Busungo. Pia hongereni sana kwa yafuatayo 1. Mziki mliotumia umetulia na unaomtukuza Mungu. 2. Namna ya uwasilishaji wa ujumbe ulio ndani ya wimbo mmewasilisha vyema barikiweni sana
Hallelujah sikuwa nimefungua kwakuwa nilijua itakuwa kawaida kama nilivyozowea tungo zako lakini leo roho amenisukuma kufungua huu wimbo nimejikuta nau download ninakiri ume improve sana sana Mwal, Msabila articulation, melody, harmony,vinakariabia asilimia 75 endelea kupambana mkuu. Mapungufu ni madogo nitakufuata inbox.
Aisee mbarikiwesana watumishi ni wimbo mzr na unabarikisana ma nisehem ya faraja ujaposongwa na shida
Amen amen nimebarikiwa
Wimbo huu ukawe ukombozi wa mtu flani mahali flani. Mungu akatende miujiza kupitia wimbo huu. Nimebarikisa
Bwana awabariki sana Busungo. Pia hongereni sana kwa yafuatayo
1. Mziki mliotumia umetulia na unaomtukuza Mungu.
2. Namna ya uwasilishaji wa ujumbe ulio ndani ya wimbo mmewasilisha vyema barikiweni sana
Amina mtumishi Bwan akubariki sanaaa
God bless u moree
Jamani, mbarikiwe sana.
Blessings to you wapendhi nmewamiss mnooo
Barikiweni Busungo SDA choir Bwana awanyanyue viwango vya juu
Amen amen nimebarikiwa sana
Amina sanaaaaa
Amina
Mwalim emanuel msabila ukerew washakumc mkuu
😂😂😂waambie nakuja
❤❤
wimbo mzuri, Barikiweni sana
Barikiwa sana Busungo
Hallelujah sikuwa nimefungua kwakuwa nilijua itakuwa kawaida kama nilivyozowea tungo zako lakini leo roho amenisukuma kufungua huu wimbo nimejikuta nau download ninakiri ume improve sana sana Mwal, Msabila articulation, melody, harmony,vinakariabia asilimia 75 endelea kupambana mkuu.
Mapungufu ni madogo nitakufuata inbox.
Asante sana kaka edga Bwna apewe sifa