VITU VINNE (4): KWANINI YANGA NI TIMU BORA ZAIDI..// PIRA GAMONDI KIUFUNDI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #SoccerDataFamily #Yanga #MiguelGamondi
    Karibu katika Uchambuzi wa Kibabe kutoka kwa FEYCHESS.
    - JE UNATAKA KUJIUNGA NA KUNDI LA WHATSAPP LA SOCCERDATA? Simple tu, ichangie leo Soccerdata upate Tiketi ya moja kwa moja kuingia kwenye kundi.
    TigoPesa: 0710 679 388
    Halopesa: 0627 532 401
    (Sekwao Mwendi)

ความคิดเห็น • 37

  • @MohamedMakangira-fp1gh
    @MohamedMakangira-fp1gh 9 หลายเดือนก่อน

    Unatoa uchambuzi mzuri sana. Kazi nzuri.

  • @BrayooAyubu
    @BrayooAyubu 11 หลายเดือนก่อน +2

    Good soccer data nimeenjoy uchambuzi

    • @AlyThani
      @AlyThani 2 หลายเดือนก่อน

      😂🎉😂

  • @RoyalMbega71
    @RoyalMbega71 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga ni 🔥

  • @mandelamsanganzila4175
    @mandelamsanganzila4175 11 หลายเดือนก่อน

    Iyo ni moto usiozimika
    Naomba niingie whatssap mtaalamu wa soccer

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  11 หลายเดือนก่อน

      Mtaalamu ni Simple tu; Chagia Soccerdata leo upate tiketi ya Moja kwa Moja kuingia SoccerData Family. namba ni 0710 679 388 chagia kiasi chochote kisha nishtue mkuu

  • @JumaMwanja-ez3vt
    @JumaMwanja-ez3vt 11 หลายเดือนก่อน

    Sanaa mwamba naqubal ✌️

  • @abuuasii8487
    @abuuasii8487 11 หลายเดือนก่อน

    Yes sasa hapa ni raha tu sio timu haieleweki wajifunze kwa yanga

  • @abdulkadirnoorhassan4024
    @abdulkadirnoorhassan4024 11 หลายเดือนก่อน

    Moto unaendelea kama kawaida

  • @franccoz94
    @franccoz94 11 หลายเดือนก่อน

    IPO siku utaamin simba ndoo bora utakuja kusemaa hapahapa

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini wachezaji wa simba hupenda kubusiana mdomo kwa mdomo? hawa ni wanaume kwa wanaume sielewi hata

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  11 หลายเดือนก่อน

      Hii umeiona wapi mkuu

    • @godfreymwendawila
      @godfreymwendawila 11 หลายเดือนก่อน

      Unajitoa ufaham sio kwani hujui ni mashoga? Au ulitaka kujua zaidi

  • @stephanmpangire4741
    @stephanmpangire4741 11 หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥

  • @Khamisjafar-v8
    @Khamisjafar-v8 11 หลายเดือนก่อน

    nawezaje kuungwa kwenye group la whatsap la soccer data

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  11 หลายเดือนก่อน

      Simple mkuu, ichangie Soccerdata Kupitia 0710 679 388 ( kiasi chochote) hii itakuwa tiketi ya kuingia Soccerdata Family mkuu

  • @mohamedchigochigo3325
    @mohamedchigochigo3325 11 หลายเดือนก่อน

    YONDANI ATAKUPIGA WEW SHAURI YAKO😂😂😂😂

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  11 หลายเดือนก่อน

      Nimechukua tahadhali zote kabla ya uchambuzi😂😁

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 11 หลายเดือนก่อน

    Sio kwamba yanga bola Zaid inakutana na vobonde sana ,, na kingne wachezaj tu wao wenyewe wanamolali itakat iyo molali skui iyo mje msome apa

    • @hbalexanderraphaelmagige538
      @hbalexanderraphaelmagige538 11 หลายเดือนก่อน +1

      Simba yenyewe haikutani na vibonde hao je matokeo yalikuaje? Mfano mtibwa na power dynamo hawakuwatoboa 😂😂 jiulize yanga mpk sasa kafungwa goli 1 na goli limetokana na penati na sio move. Hoja yako haina mashiko😂😂😂

  • @user-mj2ti5un5x
    @user-mj2ti5un5x 11 หลายเดือนก่อน

    Ni utaratibu gan wa kujiunga kwenye group lako la soccer data.?
    Nahitaji kujiunga 🙏

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  11 หลายเดือนก่อน

      Simple mkuu, ichangie Soccerdata Kupitia 0710 679 388 ( kiasi chochote) hii itakuwa tiketi ya kuingia Soccerdata Family mkuu

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 11 หลายเดือนก่อน +1

    Unaisifia yanga wewe Simba ata tukifanya vizur unachambua kawaida tu huwek manjonjo yoyote yale

  • @user-kl6fv1ti3w
    @user-kl6fv1ti3w 11 หลายเดือนก่อน

    Brother niunge kwenye group lako

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  11 หลายเดือนก่อน +1

      0710 679 388 Isapoti SoccerData Upate Tiketi ya kuingia SoccerData Family. Njoo tuuchambue Mpira.

    • @user-kl6fv1ti3w
      @user-kl6fv1ti3w 11 หลายเดือนก่อน

      @@SoccerData. si mchango wowote ule

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  11 หลายเดือนก่อน

      @@user-kl6fv1ti3w ndio mkuu

    • @inhispresenceworldwide2309
      @inhispresenceworldwide2309 11 หลายเดือนก่อน

      Nimekuamini mkuu..! Mungu akutunze best Socca Data!

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  11 หลายเดือนก่อน

      Amina mkuu, ubarikiwe nawe pia

  • @user-mj2ti5un5x
    @user-mj2ti5un5x 11 หลายเดือนก่อน

    Ni utaratibu gan wa kujiunga kwenye group lako la soccer data.?
    Nahitaji kujiunga 🙏

    • @SoccerData.
      @SoccerData.  11 หลายเดือนก่อน +1

      Ichangie Soccerdata mkuu, hiyo ndio tiketi yako, 0710 679 388 kiasi ni chochote uluchojaaliwa; njoo tuuchambue mpira