Askofu. Samahani ni andiko gani hilo-wakati Ibrahimu ameomba mtoto-aliloahidiwa kwamba huyo mtoto atampata kwa Sara? Kwani kuna madai kutoka kwa wa kristo kwamba Ismaail alikuja kinyume cha mpango wa Mungu, eti Sara na Ibrahimu hawakuwa na Subra hawakusubiri ahadi ya kupata mtoto kupitia Sara.
Nauliza hivyo kwa nia njema tu maana hayo yote yako ndani ya biblia . Na ni kweli kwamba Ishmaeli alizaliwa si kwa agizo la Mungu , ila Sara na mumewe walichoka kusubiri
@OmariShuli soma kitabu cha mwanzo anzia mlango 11 nenda mpaka mlango wa 24 kwa kuelewa vizuri . Lakini habari ya Ibrahimu na mkewe pamoja na Hajiri mjakazi wao iko ktk mwanzo 16 - 17.
Alhamdu lillaah-Qur-an 30:1-4 imelielezea eneo hilo, kwamba ni eneo lililo chini zaidi ktk ardhi, mahala palipopiganwa vita kati ya warumi na wafursi.
Ukweli mtoto wa ahadi ni issacka na ishmael sio
@cosmasmwaitete5004. ni ni maana ya mtoto wa ahadi? na ni ipi hiyo ahadi?
Hiki nikipindi Cha pekee kabisa
Askofu. Samahani ni andiko gani hilo-wakati Ibrahimu ameomba mtoto-aliloahidiwa kwamba huyo mtoto atampata kwa Sara?
Kwani kuna madai kutoka kwa wa kristo kwamba Ismaail alikuja kinyume cha mpango wa Mungu, eti Sara na Ibrahimu hawakuwa na Subra hawakusubiri ahadi ya kupata mtoto kupitia Sara.
Unasoma biblia ndugu ?
Nauliza hivyo kwa nia njema tu maana hayo yote yako ndani ya biblia . Na ni kweli kwamba Ishmaeli alizaliwa si kwa agizo la Mungu , ila Sara na mumewe walichoka kusubiri
@@salomemgaya1244Ndio aisoma. lkn hilo andiko sija jaaliwa kuliona. labda ungenielekeza ungenisaidia. Shukran.
@OmariShuli soma kitabu cha mwanzo anzia mlango 11 nenda mpaka mlango wa 24 kwa kuelewa vizuri .
Lakini habari ya Ibrahimu na mkewe pamoja na Hajiri mjakazi wao iko ktk mwanzo 16 - 17.