Lyrics Umeniosha Bwana kwa damu yako Umeniosha Bwana Kwa damu yako Umeniosha Bwana Kwa damu yako Nasikia kuitwa Na sauti yako Nikasafiwe kwa damu Ya kuangikwa kwako Nimesogea mtini pako Unisafi kwa damu Ya kuangikwa kwako
Aminaa nabalikiwa kwa damu ya yesu mambo yote yanayo edelea kwenye ulimwengu wa roho nimeyajua kwa damu ya yesu nimefuguliwa kupitia wimbo huu Asante yesu kwa kunifia pale juuu musalaban coz imeadikwa amelaaniwa aliye akikwa pale juu mtin yesu amebeba laana zetu tuko hulu Asante yesu
Nauona uwepo wako Mungu huu wimbo unaimba had nkiwa nmelala...Asante Mungu kwa ajili ya waimbaji wako wanaokuimbia ktk roho na kweli maana wanajua wanaemuimbia hafaninishwi na kingine🙏💙💙💙 barikiwa Kaka Paul Mwangosi..man of Living God
Mungu mwema anatupenda mno maana tunapata kuzidi kumsogelea kwa viwango vya juu sana maana hii ni nafasi ya upendeleo zaidi maana wapo wengi hawapo Leo au wanaona ni upuuzi kwako ila kwa wamwaminio Kristo Yesu kwetu tumaini kuu
Kila nikisikiliza hii nyimbo najikuta nimezama kwenye dimbwi la maombi na ktktk ya maombi hua naskia kulia sana cwez kuzuia hii kitu ,hasa nikiwa nymbn mwenyewe
To our Almighty God be the glory bcoz it has come to pass that He is a spirit so the worshipperz must worship Him in truth and in spirit .amen amen kwa ujumbe ulionao mtumishi wa Mungu.
Asante Yesu kutuosha watoto wake kwa Damu ya Yesu @2025 🎉❤Asante Yesu Wangu
Anyone in 2025?😢 i feel like crying whenever i listen to this song
Here i am dear God is good 🙏🏾
Nipo nasikiliza sasa @@CatherineChristopher-nt7ub
Tunaoendelea kuusikia hadi mwaka huu tujuane jaman
hi,,
Mm mmoja wapi mpaka Leo nasikiliza huu wimbo
Nipo pia😊
Tupooo hapaaaa❤
Nioshe ee Mungu mwaka huu 2025 nianze salama na kumaliza salama 🙏🙏🙏
Huku ndo tunaita kumwabudu Mungu alie hai.Mbarikiwe sana bila mipaka .
Hakika uwepo wa Mungu upo
Mara Kwanza kusikiliza huu wimbo ulinifanya niongeze viwango vya kumtaka Mungu na kusogea kwake, maana ulinibariki saana
Amen
Amina, Mungu ni mwaminifu katika maisha yetu. Kila tunapomuita anaonekana kwa kiwango cha juu sana. Jina la Mungu libarikiwe milele na milele
2024 and henceforth,we're favoured.
Huu wimbo unanibariki kupita kiasi. Mungu aendelee kukutumia mtumishi
Ameni. Nabarikiwa sana na huu wimbo
I love You JESUS. Son of David have mercy on me😭
Nimesogea mtini pako YESU.....nipe zaidi sikio LA kusikia sauti yako
Mungu awape uwezo mkubwa zaidi na zaidi kuuona ule ufalme wa Mungu nawapenda mno nakupenda Mwangosi Kristo akuneemeshe zaidi.
I love this worship Soo soothing and spirit filling ❤❤❤😊😊😊, glory to God
Lyrics
Umeniosha Bwana
kwa damu yako
Umeniosha Bwana
Kwa damu yako
Umeniosha Bwana
Kwa damu yako
Nasikia kuitwa
Na sauti yako
Nikasafiwe kwa damu
Ya kuangikwa kwako
Nimesogea mtini pako
Unisafi kwa damu
Ya kuangikwa kwako
Ubarikiwe
Nabarikiws na huu wimbo
2024 and henceforth, we’re favoured😩❤️🙏🏿#iloveyouJesus😍
Nimesogea kwako Bwana 🙏🏾 maana siwezi bila wewe
Huu wimbo Huwa unanizamisha Sana🛐🛐 miaka na miaka🙌🙌
My all time favorite worshiper 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Umebarikiwa baba keep on Nourishing
Hata Sasa Mungu ni mwema
Aminaa nabalikiwa kwa damu ya yesu mambo yote yanayo edelea kwenye ulimwengu wa roho nimeyajua kwa damu ya yesu nimefuguliwa kupitia wimbo huu Asante yesu kwa kunifia pale juuu musalaban coz imeadikwa amelaaniwa aliye akikwa pale juu mtin yesu amebeba laana zetu tuko hulu Asante yesu
Nabarikiwa Asante yesu
Sijawahi choka kusikiliza nyimbo zako mtumishi na kila naposikiliza nafanywa uupya
Yaan ukisikiliza nyimbo za Mtumishi Mwangosi ukiwa ktk uwepo hata njian utanena kwa lugha
Sijawahi kuchoka kuusikiliza tena na tena. Mbarikiwe waimbaji
Powerful Song! Glory to our Lord Jesus Christ! Amen.
This saxophonist does it very well
Hallelujah
pure ministration... downloading the song agai after 4yrs... this Grace is fresh annointin
Nataman kuishi hiv viwango
🎉🎉🎉🎉 tupo hapa tunaisilikiza mwaka huu 2024 ni mpya kwetu🎉🎉🎉🎉🎉
Ubarikiwe Mimi pia 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mtumishi Paul Mwangosi barikiwa sana..! Nahitaji nyimbo zako za kuabudu cjui ntazipataje..!?
Umeniosha bwana kwa Damu yakoo I feel the presens of all might God😭
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu.
The blood of Jesus that NEVER loses its power. Hallelujah to the Lamb or God. I love you Jesus Christ ❤
Blessed song 🙏🙏🙏🙏
powerful worship song when am so low and giving up in life i play this song and i get uplifted....UNINISAFISHE KWA DAMU YAKO
To God be the glory! Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah! I love you God
Aminaaa hata sasa MUNGU apewe. sifa
Nimesingea,mtini kwako,unisafi kwa damu ya kwambikwa kwako.🎼
Nauona uwepo wako Mungu huu wimbo unaimba had nkiwa nmelala...Asante Mungu kwa ajili ya waimbaji wako wanaokuimbia ktk roho na kweli maana wanajua wanaemuimbia hafaninishwi na kingine🙏💙💙💙 barikiwa Kaka Paul Mwangosi..man of Living God
MUNGU ni mwema sana,ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU nafarijika sana.
Mungu mwema anatupenda mno maana tunapata kuzidi kumsogelea kwa viwango vya juu sana maana hii ni nafasi ya upendeleo zaidi maana wapo wengi hawapo Leo au wanaona ni upuuzi kwako ila kwa wamwaminio Kristo Yesu kwetu tumaini kuu
Ameen mbarikiwe kwa WIMBO mzuri!!!!.
Nasikia kuitwa na sauti yako🙏🏻
Napata nguvu sana kila nikisikiliza huu wimbo
I love this song. So happy I found it. You have sang it very well 🙌🏽. Fantastic worship song 💖🙏🏽
Asante wimbo unaponya watu hatakama Huna roho mt utajazwa tuu
Uwiiiiiiiiiiiiiii nasikia kuitwa kwa sauti yako bwana
Power full worship anytime i listen to your songs i automatically connect to the spiritual realm and i experience that open heaven no heaviness
Bwana nami nmesogea kwako BWANA YESU.
Glory glory be to God ...God bless you Paul and your team, this song is so powerful it brings God's presence
Uwepo wako Yesu naufeel maishani mwangu
Huuu wimbo sjawah kuuchoka kabsa
29. august. 2024 ,, this is my favorite song ,,yes LORD you have cleansed me with your precious blood
May the Almighty bless you peaple
Can't get enough of this song
Wow i love this song God you are good i Worship you my lord
Mungu akutunze mtumishi nimemwona Mungu kabisa
Ameeni this song is powerful
What's that like smoke.. munaeka
Hizo ndo nyimbo sasa sio wengine wanaotuletea viduku kanisani
I love how he speaks in tongues in all his songs. The presence of the holy spirit
Ameeen
Daaaa Saxaphone mlivyomutee aiseeee hatary
Nisafishe Mfalme wa amani kwa damu yako
This worship song blows me away ! Carried me into the Holy into Holy of Holies .I am set free by the Blood of Jesus
⁴😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
This song mean alot to me❤
Wimbo wangu pendwa
AMEN ubarikiwe mtumishi wa MUNGU.
Wow 🙌what a powerful Annointed worship.Gbu Servant of God for allowing God to use you to bring us closer to Jesus 😁🥰❤❤❤liked n subscribed
Barikiwa mtumishi wa Mungu🙏
Barikiwa Sana mtumishi
Mungu awasaidie sana na kuwakiza zaidi katika huduma
Amen
Nisafishwe Kwa damu ya Yesu
Powerful song with full of presence of God, am so blessed, God bless you so much and have more grace. 🙏
Hallelujah hallelujah hallelujah 🤲🤲🙇
Hallelujah to God. I love your worships moG......Soar higher and higher each day.
Mungu ni mwema
Safi sana watumishi
Kila nikisikiliza hii nyimbo najikuta nimezama kwenye dimbwi la maombi na ktktk ya maombi hua naskia kulia sana cwez kuzuia hii kitu ,hasa nikiwa nymbn mwenyewe
Nimesogea mtin pako unisafi kwa damu ya kuangikwa kwako
Nasongea mbele ya kiti chako cha Enzi Yesu
Huwa nabarikiwa sana
Nasikia kuitwa
God take all the glory
Spirit of God keep on brooding till we overflow 🔥🔥🙏
To our Almighty God be the glory bcoz it has come to pass that He is a spirit so the worshipperz must worship Him in truth and in spirit .amen amen kwa ujumbe ulionao mtumishi wa Mungu.
Mtumishi wa Bwana Yesu MUNGU AKUBARIKI SANA!!!
Amina Amina Amina
Nimesogea kwako Yesu nisafishe kwa damu yako.
Thanks for re-uploading the songs!
Kweli!kweli! Umeniosha BWANA
Balikiwe Sana 🙏🙏🙏♥️
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana
Am back, can't hv enough of this worship!
0
Nasikia kuitwa na sauti yako Bwana
Nabarikiwa sana
Aminaa ubalikiwe somo wang
So powerful ....neema ya Mungu ikutoshe Paul
Best song my the Lord bless U abundantly Man of God
Still there is a blessing in this song 🎵 🙏
Ubarikiwe mtumishi
Mungu azidi kukubariki kwa uimbaji mtumishi