DENIS MPAGAZE -WE SIO BINGWA WA SHIDA ,USIOGOPE KUANZA TENA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 198

  • @imahmaimu7343
    @imahmaimu7343 4 ปีที่แล้ว +157

    Kama unamuelewa brother Fanya kutupa like hapa

    • @jackmichael1953
      @jackmichael1953 4 ปีที่แล้ว +1

      habari napenda sana mafundisho yako kaka kwani yana mafundisho mazuri mno mungu akuwezeshe kuyatekeleza haya kila iitwapo leo amina ni mimi masai dodoma

    • @mudytunda8897
      @mudytunda8897 4 ปีที่แล้ว

      Namuelewa cana

    • @kabulamanyangu4703
      @kabulamanyangu4703 4 ปีที่แล้ว

      Kweli bwana maana mie duuuu nafanya kuvumilia

    • @simonmumba654
      @simonmumba654 3 ปีที่แล้ว

      Nakuelewa sana kaka

    • @samikemagunia1850
      @samikemagunia1850 2 ปีที่แล้ว

      Asante kwa mafundisho mazuri

  • @samsonmuathe8012
    @samsonmuathe8012 4 ปีที่แล้ว +8

    Dennis mpangaze na kikosi chako,mungu awambariki tu xana,hapa kwetu Kenya tunahitaji watu kama nyinyi, MSEMA KWELI.hongera

  • @magrethmaduhu1105
    @magrethmaduhu1105 ปีที่แล้ว +2

    Bwana azidi kukupatia hekima yake akuongoze katika kazi yako . Wafilipi 4:13 Amen 🙏

  • @hassanmlenge7016
    @hassanmlenge7016 4 ปีที่แล้ว +14

    Kwa mara ya kwanza nina comment account ako braza you are so wonderful god bless you 💯 ever since before baada ya mama angu na Baba angu ww unafuatia Kama mwalimu wangu thnks for all

  • @mashakalonka9407
    @mashakalonka9407 4 ปีที่แล้ว +12

    "Kisichokuua hukuimarisha",yaani",What doesn't kill you makes you stronger". Ahsante Sana kwa elimu!.

  • @labanwaboyo6331
    @labanwaboyo6331 4 ปีที่แล้ว +2

    Naweza sikiza hii makala hadi mara mia moja kwa mpigo. Thank You Denis Mpagaze from +254

  • @celestinzenthy7684
    @celestinzenthy7684 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hadith hii imenifundisha kujaribu chochote maishani.asante saana ubalikiwwe kutufundisha

  • @soaringeagle3253
    @soaringeagle3253 4 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni sana Denis Mpagaze nà Ananias Edgar kwa kazi mnayofanya ,mmebarikiwa tayari Mungu azidi kuwapa hekima .

  • @niaanthony9588
    @niaanthony9588 4 ปีที่แล้ว +33

    Ahsante sana kwa mafundisho yako ni kweli ukisema ww unashida kunawengine wanashida mara 3 yake

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu nimesisimka,mafundisho ya kipekee

  • @allymadizeli6930
    @allymadizeli6930 4 ปีที่แล้ว +1

    Eee mungu
    2021 ntaenjoy na kuwa mtu mwngne kupitia makala zako

  • @yassinkiyomole2013
    @yassinkiyomole2013 4 ปีที่แล้ว +3

    brother Edgar huwa napambana sana kwa maneno yenye kutuonyesha njia wadogo zako mungu akupe shifaa ktk hili

  • @masebodaud584
    @masebodaud584 4 ปีที่แล้ว +9

    Ukiskia mwongozo bas ndio huu kuhusu maisha kwa ujumla,nakukubar xana mpagaze

  • @mandyfitnesstv6738
    @mandyfitnesstv6738 4 ปีที่แล้ว +7

    Ahsante kwa mafundisho! Mazoezi husaidia kupunguza stress,karibuni mjifunze mazoezi ya kujenga mwili bila kwenda gym( home workout)

  • @robertjoseph3906
    @robertjoseph3906 4 ปีที่แล้ว +6

    Mbarikiwe sana Denis mpagaze na Ananias Ediger 🙏

  • @yasintawalyuba2444
    @yasintawalyuba2444 2 ปีที่แล้ว +1

    Asnte San kwa Denic elimu Nzuri,ushauri,ntazidi kuwa jasili hkuna kukata Tamaaa , MUNGU Mwema Sana.

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 4 ปีที่แล้ว +13

    Asante enanies edigar kwa kuileta hii abari wakat mwafaka

  • @pqolai7740
    @pqolai7740 4 ปีที่แล้ว +6

    Asante sana kaka kweli leo umenifanya nijione nimezaliwa upya kweli nilisha kata tamaa penda sana ww ❤❤❤

  • @jeremipallangyo8631
    @jeremipallangyo8631 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelewa sana kwa istory yako nzuri

  • @Glorie711
    @Glorie711 2 ปีที่แล้ว +1

    Hogera sana kwa kutuelimisha God bless you 🙏🙏🙏

  • @olivyechambikwa425
    @olivyechambikwa425 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe nijembe waushauri llaaa unanizinduwa kaka mungu akuongezee hakirinyingi

  • @fransicochunji327
    @fransicochunji327 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongera saana,kwa mafundisho mazuri kwajamii. Mungu akujalie uwezo zaidi na zaidi,

  • @EVANGELSM
    @EVANGELSM 3 ปีที่แล้ว +2

    kwel lakn unajua ndio maisha yalyo

  • @mnikomaryam3037
    @mnikomaryam3037 2 ปีที่แล้ว +1

    .kaka.asante.kwa.mafundisho.yako.ila.ningeomba.ushauri.wako.kuna.vitu.unawesa.nishauri.

  • @elizabethejohn8127
    @elizabethejohn8127 4 ปีที่แล้ว +29

    God blees you Denis mpagaz

  • @mosesmoses1429
    @mosesmoses1429 4 ปีที่แล้ว +1

    Maisha mungu anaejua mungu atusaidie

  • @josephiloga9003
    @josephiloga9003 2 ปีที่แล้ว +1

    nakwelewa sana broo mafundisho yako

  • @athmanntandu4363
    @athmanntandu4363 4 ปีที่แล้ว +5

    Ni simulizi nzuri y'a kutia moyo ni kweli Kama kunadalili za kufeli. Amka na Anza upya nafasi unayo.

  • @mosesjairo3248
    @mosesjairo3248 2 ปีที่แล้ว

    Unastairi kutengenezewa sanamu lako big up bro

  • @samwelibrahim1948
    @samwelibrahim1948 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali Sana brother

  • @jamesjosephm6358
    @jamesjosephm6358 4 ปีที่แล้ว +3

    Thanks kaka mungu akubariki sana 💪🏾👏🏾👏🏾❤️

  • @yohanamboya555
    @yohanamboya555 3 ปีที่แล้ว +1

    Your the best Denis

  • @marykibwana9413
    @marykibwana9413 4 ปีที่แล้ว +23

    Makala nzuri, inanipa mafunzo mazuri, na kunifanya nizidi kuperuzi biblia na kuijua zaidi

    • @marykibwana9413
      @marykibwana9413 4 ปีที่แล้ว +1

      Kiukweli, 100% nasoma biblia nikienda church ila makala za Ananias Edgar & Denis Mpagaze zinanifanya niperuzi biblia.

    • @tasianamchome9252
      @tasianamchome9252 4 ปีที่แล้ว

      sure

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 4 ปีที่แล้ว +8

    We jamaa najua hata mwenyewe unajua upo vizuri😆

  • @ivenusfilbath4547
    @ivenusfilbath4547 3 ปีที่แล้ว +1

    nakuelewa sana mwamb wew🙏🙏🙏🙏🙏

  • @victoramestony9981
    @victoramestony9981 4 ปีที่แล้ว +1

    Asant kaka mungu akujalie

  • @davidfred9022
    @davidfred9022 2 ปีที่แล้ว +2

    amen kaka asantee kwa ushaur

  • @RickMusicRickmusic-rb4ol
    @RickMusicRickmusic-rb4ol ปีที่แล้ว

    Asante sana unatfundisha mungu akubaliki

  • @djyakuzah
    @djyakuzah 2 ปีที่แล้ว +1

    Dugu yangu umefanya nijijue James from Kenya

  • @snazzyfranz1874
    @snazzyfranz1874 ปีที่แล้ว +1

    Simply the best

  • @philemonomondi5944
    @philemonomondi5944 2 ปีที่แล้ว +1

    Cool brother

  • @emanuelniima5789
    @emanuelniima5789 3 ปีที่แล้ว +1

    Godbless ideas

  • @josephatkashendwa1177
    @josephatkashendwa1177 4 ปีที่แล้ว +2

    Hata na hii ya jibu la thamani ya X kuwa 0 kwa mwanafunzi kumshangaa mwalimu kwa kazi kubwa aliyoifanya na upotevu wa muda ubaoni , pia na hii ya padri ulishaitumia kwenye makala zako za siku za nyuma hii ni uthibitisho wa umakini wa wafuatiliaji wa makala zako na wewe kuweza kubuni MIFANO mingine zaidi ambayo inasisimua Makala lengwa.

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah Denis

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 2 ปีที่แล้ว

    Najifunza mengiiii Sanaa ♥️♥️♥️♥️

  • @kingkongmadiba3174
    @kingkongmadiba3174 4 ปีที่แล้ว +4

    Big Up...sana mkuu . I do appreciate your talent

  • @sweetbertmbowe3284
    @sweetbertmbowe3284 10 หลายเดือนก่อน +1

    Together as one....

  • @kelvinmselle8977
    @kelvinmselle8977 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana Br Mpagaze

  • @baojiamingjr.9266
    @baojiamingjr.9266 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sana,nakukubari sana👍👍👍👍👍

  • @eugenesichalwe4883
    @eugenesichalwe4883 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpagaze sijawahi kujutia kunifundisha darasani Mungu akubariki sana

  • @ramaccr7525
    @ramaccr7525 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali Sana bro🇺🇸🇺🇸

  • @cecilialucas7655
    @cecilialucas7655 4 ปีที่แล้ว +3

    Somo zuri mpka Nimemshangaa Mungu anavyotupenda hata nipite penye magumu sitakata tamaaa

  • @SallyRawanda
    @SallyRawanda 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante mwalim mzuli❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SebastianHilonga-kw9ff
    @SebastianHilonga-kw9ff ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana

  • @kelvinmselle8977
    @kelvinmselle8977 3 ปีที่แล้ว +1

    napenda sana Makala za kunitia moyo

  • @yusuphpetro2639
    @yusuphpetro2639 4 ปีที่แล้ว +4

    Changamoto nyingi sana zinatukabiri maishanimwetu nakubar kaka

  • @AlbathiLyuvale
    @AlbathiLyuvale 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mafundisho babu kubwa🙏

  • @swediamani9202
    @swediamani9202 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda sana hiyo.

  • @fabricelebon3608
    @fabricelebon3608 4 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaaa

  • @sauljoseph1752
    @sauljoseph1752 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jamaa anajua bn...yaan n fundi

  • @hancepopessau2527
    @hancepopessau2527 4 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana kwa mafundisho

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 ปีที่แล้ว +3

    KWELI KABISA BRO MUNGU KUZINDISHIE 👌❤️

  • @jimmygiliad6222
    @jimmygiliad6222 4 ปีที่แล้ว +12

    Da yani lazima nipambane sana mm

  • @elizabethejohn8127
    @elizabethejohn8127 4 ปีที่แล้ว +6

    Asantee anasey

  • @bupelupembe1581
    @bupelupembe1581 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awabariki sana ndugu zangu nimejikuta napenda sana kusoma biblia na nimejifunza akili ni kile kinachobakia baada ya kusoma darasani

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 4 ปีที่แล้ว +9

    Always be greteful🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @raphaelatel3485
    @raphaelatel3485 4 ปีที่แล้ว +6

    Nakuelewa sana Denis mpagaze

  • @abelisimbili2394
    @abelisimbili2394 4 ปีที่แล้ว +5

    Big up bro you are the reason to learn💪💪

  • @muntazironuronuromuntaziro4460
    @muntazironuronuromuntaziro4460 4 ปีที่แล้ว +2

    Ananas nakukubar sana mda wote na kilasiku Mozambique

  • @tumainjuliusmakurilo9337
    @tumainjuliusmakurilo9337 4 ปีที่แล้ว +12

    Safi tulikuwa 19k subscribe now 109k hii Chanel inatupa vitu vya madili Sana msibadilike plz mnajenga taifa

  • @stevennkanga5530
    @stevennkanga5530 4 ปีที่แล้ว +8

    Mwalimu wangu

  • @yusuphpetro2639
    @yusuphpetro2639 4 ปีที่แล้ว +6

    🙇tupo pamoja kaka

  • @nancyaroko4572
    @nancyaroko4572 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa mafundisho yako yanayo tusaidia

  • @BeastMaster-vt7nw
    @BeastMaster-vt7nw ปีที่แล้ว +1

    Sana bro.

  • @tulyymichael3466
    @tulyymichael3466 3 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri

  • @adamkayombo2401
    @adamkayombo2401 4 ปีที่แล้ว +2

    Safi kwa kufundisha mnafundisha sana

  • @diegocosta3638
    @diegocosta3638 3 ปีที่แล้ว +1

    Penda sana aisee

  • @liberatussylvanus9952
    @liberatussylvanus9952 4 ปีที่แล้ว +1

    Denis mpagaze and Ananias Edgar hakika natamani kuwaona laiv at least kwenye tv

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 4 ปีที่แล้ว +5

    Great statement and usable 🔥🔥🔥

  • @AlfredKamugisha-k9m
    @AlfredKamugisha-k9m ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe

  • @mosesmanasseh5618
    @mosesmanasseh5618 4 ปีที่แล้ว +1

    kweli ndugu toka nimejua kuhusu hii nimeacha kulalamika na kukata taa barikiwa san

  • @godfreyjoseph2926
    @godfreyjoseph2926 4 ปีที่แล้ว +1

    Nafuraah xaaan ndan y hili darasa huru najivuniaa saaan na sjuti kbxaaaa balikiwa ww na team yako.

  • @sweetbertmbowe3284
    @sweetbertmbowe3284 10 หลายเดือนก่อน +1

    Okey sir

  • @josloitalal4774
    @josloitalal4774 4 ปีที่แล้ว +3

    Story nzuri sana

  • @mikewilliam6907
    @mikewilliam6907 4 ปีที่แล้ว +5

    I big up saaaaaan ndugu

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 4 ปีที่แล้ว

    Asantee sana kwa mafundisho

  • @leilajumanne222
    @leilajumanne222 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana Kaka

  • @mkojanicomedy8292
    @mkojanicomedy8292 4 ปีที่แล้ว +11

    🙏🙏🙏 ASANTENI

  • @ibrahimzizola9790
    @ibrahimzizola9790 4 ปีที่แล้ว +2

    Binafsi nashindwa kutofautisha Kati ya mahubiri ya kanisa na hizi simulizi , Mr Edgar , kwanini utumie mistari ya Bible lakini wasikilizaji ni dini tofauti.(barrier of communication)

    • @darejoTV
      @darejoTV 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwani Biblia ni kitabu cha dini gani?

    • @mussakaembi5706
      @mussakaembi5706 4 ปีที่แล้ว +2

      Kaka kiukwel sijuti kuwa karibu na makala zako najiona kuyafikia mafanikio kila ninapo sikiliza makala zako na kuzitendea kaz nakuombea uishi maisha malefu ili uendelee kuelimisha jamii zatu zaid

    • @OmarOmar-tf6ph
      @OmarOmar-tf6ph 4 ปีที่แล้ว +3

      Kitabu cha biblia Quran zabur vyoote ni vitabu vya mungu mmoja tuu lengo nilile lile NEVER GIVE UP hapa usiangalie katumia kitabu cha physics wala civics mana huwez kufika safari yako kama huna usafir nayy anajaribu kunogesha makala ili watu wazidi kuwa waelewa.

    • @zuwenasoud9307
      @zuwenasoud9307 4 ปีที่แล้ว +1

      @@darejoTV Keep going, excellent , my lecturer Mr Denis

  • @mtemikifaru63
    @mtemikifaru63 4 ปีที่แล้ว +3

    Sahihisho maneno ya shida uliyotumika yanatoka kwenye wimbo wa shida alioomba Mbaraka Mwinshehe siyo Marijani

  • @gmaa7199
    @gmaa7199 4 ปีที่แล้ว +3

    🙏🙏🙏 God bless you ananias

  • @ibrahimwario3177
    @ibrahimwario3177 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu yngu umegonga ndipo

  • @rafaelharubu3533
    @rafaelharubu3533 4 ปีที่แล้ว +2

    Funzo zuri Sana'a kaka

  • @kingrobert002
    @kingrobert002 4 ปีที่แล้ว

    My teacher....napenda wewe sana

  • @shemguto3856
    @shemguto3856 4 ปีที่แล้ว +3

    Thanks my brother

  • @nyawishzion3713
    @nyawishzion3713 4 ปีที่แล้ว +3

    Shukran kaka

  • @marlowmagohe5022
    @marlowmagohe5022 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa anajua sana huyu cjawahi kuyachoka mafunzo yake

  • @oscasumary2671
    @oscasumary2671 3 ปีที่แล้ว

    Nipe no zako nikutumie hela ya kula kudadadeq

  • @godfreymagoso5334
    @godfreymagoso5334 4 ปีที่แล้ว +3

    Shukrani sana;,,,

  • @nulujackson44
    @nulujackson44 4 ปีที่แล้ว

    Hua unaniondorea stress big up sana bro ila make sure vitabu vyako viuzwe kwa hard copy