Siyo kweli jua kuna wengine tumesomea hicho uncho kisema, Lingine maeneo mazuri sana ya nje inategemea na maeneo hali za hewa ni maridadi kama mbeya lushoto iringa nakadhalika.
Jamani Mimi nipo kibaha mkoani pwani na ninataka kulima pilipili hoho kwenye udongo wa mchanga je,zinaweza kustawi huku nilipo? Au niende mikoa mingine yenye udongo wa tifutifu?
Siyo kweli jua kuna wengine tumesomea hicho uncho kisema,
Lingine maeneo mazuri sana ya nje inategemea na maeneo hali za hewa ni maridadi kama mbeya lushoto iringa nakadhalika.
Napenda sana kulimaa kwa sasa ninalima bamia ila ninaitaji ni nilime na zao jingine nipo dodoma
Mbegu ganii inafanya vizurii kwa pilipili hoho ya kijani
Asante sana! Ninapenda pilipili hoho!
Asnt sn
Jamani Mimi nipo kibaha mkoani pwani na ninataka kulima pilipili hoho kwenye udongo wa mchanga je,zinaweza kustawi huku nilipo? Au niende mikoa mingine yenye udongo wa tifutifu?
Keep the good work officer....ila katika space it depend na variaty mana kuna 60cm x60cm,60cmx45cm na hiyo zigzaga space ni triangular space...
Asante kwa ushaur mzur
Safi sana nitakutafuta
Caw jehe uki amuwa kupanda sehumi iliyo na tambarare inakubal xan
Ndio
Sawa nimekubali maelezo yako. Ila hukusema kwenye kitaru inakaa baada muda ganii
Kwenye kitalu hukaa siku 21
SEMA SEHEMU YA WAZI,SIO OPEN SPACE,SEMA UNYEVU SIO MOISTURE HUONGEI NA WASOMI
mbona hii hoho inasumbua uotaji.ipi njia sahihi ya kuotesha?
goood
👏👏👏
vipi hayo mafunzo yanagharama au ni bure
Bure mkuu
Natafuta mahali nitaweza kununua shade nets kwa ukulima wa mboga
Tunazo
Tafadhali wasiliana na mimj. +254739313737
najifunz. mengi. kutoka. kwenu asant. san
Asante kwa kutuamini