DOGO JANJA: Irene Uwoya haninyanyasi/Nilitamani kujiua/ Namshukuru Mungu Naendelea Vizuri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • Shot, Edited and Uploaded by Jacka Beleghe

ความคิดเห็น • 383

  • @stanslausmajalla128
    @stanslausmajalla128 6 ปีที่แล้ว +1

    Dogo janja, mpenzi ni km maji ya mto, so mwombe Sana Mungu akupe kibali cha kumtoa moyoni, Hawa watu hawanaga huruma kabisa, wana roho ya paka akiamua ameamua, Pole sana Mdogo wangu.

  • @MARY-bt1zm
    @MARY-bt1zm 6 ปีที่แล้ว

    kuna nyimbo waimbaji wanatoa yanausiana na maisha yao binafsi, ama pia maisha ya wenzao ambapo wameyashuhudia, pia wanaimba hali halisia ya kila mwanadamu...... zengine pia msikilizaji anaeza sikiza akatoa machozi...... Bado nina Imani....#ubunifu huo...
    bali kando na hilo Janjaro unaonekana na msongamano wa mawazo au pia kuna kitu kinakuumiza kwa undani.. kakangu tafuta ushauri wa mtu wa karibu nawe before is too late....
    Big up for the great song...#Bado nina Imani....Support from +254

  • @hellenyusuph8310
    @hellenyusuph8310 6 ปีที่แล้ว +9

    wewe Irene mungu anakuona kwa unacho mfanyia huyo Dogo mungu hawezi kukuacha salama Dogo njanja don't give up mungu pamoja nawe 😕😕😕😕

  • @lisamsola2892
    @lisamsola2892 6 ปีที่แล้ว

    Pole dogoooooo ..... Kuna maisha baada ya kuachwa

  • @ladybilionaire379
    @ladybilionaire379 6 ปีที่แล้ว

    Pole saana Dogojanja Mungu akusimamie ktk yote

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 6 ปีที่แล้ว +66

    Dogo usipo kuwa makini utamfata ndikumana maana unaonekana auko sawa kwa mawazo tena unaonekana unalia kimoyomoyo msaada waharaka unatakiwa kwako dogo

    • @samsonomary2691
      @samsonomary2691 6 ปีที่แล้ว

      Dogo unahudhunixha sana I just feeling sorry of u.. But hata me pia yalxhanikuta bro so nipart of life tu..

    • @mundhirkhamis5731
      @mundhirkhamis5731 6 ปีที่แล้ว

      Fatwima Makungu 🔥🔥🔥🔥

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 6 ปีที่แล้ว

      Fatwima Makungu .😂😂😂😂

    • @karimjuma571
      @karimjuma571 6 ปีที่แล้ว

      unachokisema true ndugu huyu dogo ana hali mbaya

    • @enjoyjumasaid5271
      @enjoyjumasaid5271 6 ปีที่แล้ว

      Achan nae mdongo Wang huyo malay

  • @lucychande3963
    @lucychande3963 6 ปีที่แล้ว +6

    Dogo Janja Ww ni kijana Mdogo sn, lakn nimependa Jinsi unavojieleza.... hongera kwa hilo

    • @reginaemmanuel8233
      @reginaemmanuel8233 6 ปีที่แล้ว

      ndo muwe munakoma huo ujinga et mapezi hayabagui.

  • @laymapeace4538
    @laymapeace4538 6 ปีที่แล้ว

    na uyo kijana ni wewe mwenyewe na irene ndo mwenye stoli ulomtungia pole sana dogo LOVE IS LOVE BUT LOVE IS DANGER usipouwanika utautwanga m.bichiiii

  • @leylahmohamed4769
    @leylahmohamed4769 6 ปีที่แล้ว +2

    Dogo janjanja hauko sawa kabisa embu Muombe Mungu akufanyie wepeai

  • @tatumatata2428
    @tatumatata2428 6 ปีที่แล้ว

    dogo ana hekma sna Mungu awaweke na irene wako

  • @saidhamisi7044
    @saidhamisi7044 6 ปีที่แล้ว

    safi sana dogo janja mtu mzma hanyanyaswii bhana

  • @abdalahramadhan7979
    @abdalahramadhan7979 6 ปีที่แล้ว

    Bonito yes😩😳 sas unahisi tutamp msaad gan said y kuw n sisi kama yeye mwanamke amemkimbia unathan atfny nini ngoj nimsaidie tu maan jinsia moja inawez kudumu I love yuo dogo janja nkupnd san amani kwko tu😢😚😗

  • @khadidjachusegirlmrslaby241
    @khadidjachusegirlmrslaby241 6 ปีที่แล้ว

    I believe inshaAllah u gonna be well don't worry kijana wetu Allah be with u acha stress

  • @tonywilliams8819
    @tonywilliams8819 6 ปีที่แล้ว

    Janja never give up on your situation
    You are still young and energetic!!
    Be strong and move on.................

  • @jonathanjulius8440
    @jonathanjulius8440 6 ปีที่แล้ว

    nakubaliana na ww janja....kuchukua goma kam lile umewakilisa sana kaskazin.tunakubaliiiiii

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 6 ปีที่แล้ว +8

    Pole sana dogo janja nahisi unasiri nzito Sana nahisi unamaumivu makali Sana mungu akusimamie .

  • @annamapunda431
    @annamapunda431 6 ปีที่แล้ว

    Dahhh pole sana Dogo una stress kweli huna furaha kabisa masikini hadi huruma

  • @mercyken9710
    @mercyken9710 6 ปีที่แล้ว

    Dah Dogo Mungu akuokoe huko ulipo.

  • @mariekogota7781
    @mariekogota7781 6 ปีที่แล้ว

    Jipe. moyo kaka usikate tamaha akuna kitu kikumbwa duniani kama matumaini usijali hiyo. Niupebu itapita bahandaye itaicha
    🌼🌹🌹🌿

  • @estherkibui2371
    @estherkibui2371 6 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hii iliokotwa wapi😕

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 6 ปีที่แล้ว

    Huwa napenda wasanii mkiumizwa coz huwa inawafanya mtoe ngoma Kali, Kuwa makini na mapenzi dogo

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 ปีที่แล้ว +1

    Ushauri wangu dogo kaka yangu ukitafta mijimama tafta walio starabika wanaji heshim wanaweza thamini ndoa n.a. wakastirika kinafsi n.a. maumbile naalie mmbora kwako akaijua. Nn thamani ya mune ....so ukupijao ndio ukufuzao i think now u grow up and u learn her lesson ....okay....big up 4 iman song iko juu ajab song......+254🇰🇪

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 6 ปีที่แล้ว +50

    Janjaro achana na hilo limama Irene tunajua anakupa stress ila unaficha..huyo ni kahaba yu r too young to deal with that harlot...rip ndikumana

  • @julytito3891
    @julytito3891 6 ปีที่แล้ว

    Nimekuonea huruma mdg wangu Jipange upya acha kuwa na mawazo. Mabaya songa mbele Mungu atakusaidia, utapt mwanamke wa ujana wako

  • @leahjames647
    @leahjames647 6 ปีที่แล้ว

    nakupenda Dogo Mungu awe naww

  • @nicolausekama5976
    @nicolausekama5976 6 ปีที่แล้ว

    yaani kaa utulie tu my dr Mungu yu pamoja nawe

  • @kokutetadoreen3590
    @kokutetadoreen3590 6 ปีที่แล้ว +25

    Mwenye macho haambiwi tazama dogo kashaachwa ajipange upya pale kachemka kiukweli mtazamo wangu

  • @emmyfezo7927
    @emmyfezo7927 6 ปีที่แล้ว

    Dogo janja njoo kwng ntakupenda kwelii

  • @haliimomar1692
    @haliimomar1692 6 ปีที่แล้ว

    Dogo sura haifichi na macho hayadanganyi
    Jicheki xanaàaa dogo love sio lazima Yule ni material

  • @wcbnewstv5128
    @wcbnewstv5128 6 ปีที่แล้ว +59

    Gonga like kama unakubaliana na janjaro

  • @protusmenzi7311
    @protusmenzi7311 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana janjaroo jipe moyo bro

  • @jenephjany7445
    @jenephjany7445 6 ปีที่แล้ว

    Maskin namuonea huruma hyu dogo yn anaonekana hayuko sawa kabisa amekua mpole anakitu kinamsumbua hayuko sawa anatia huruma dah!!! pole dogo Janja mapenz yanauma najua B STRONG me ni kama dadaako nko kwny situation kama yko ryt now!!! just pray 2God!!!!

  • @dianahyindi9803
    @dianahyindi9803 6 ปีที่แล้ว

    Ndo maan wanasem hakuna mtihan mgumu kama ndoaa ndo maan huw wanatoa vyeti kwnzaa na wangesem mtihan enthn vyetii weng wasingetakaa cha msingi ndoa inachangamoto nyingii kilichopo ww pamban my brooo Kuacha mke sio njia ya kusolve tatzo coz unaez enda kwa mwngnee akaw boraa kulikoo Irene

  • @momodoha6042
    @momodoha6042 6 ปีที่แล้ว +13

    Dogo Sura yaonyesha sana una msongo wa mawazo mengii lmani itakusaidia lnshaallah.

  • @robinyclement7893
    @robinyclement7893 6 ปีที่แล้ว

    Pole nahongera sana mdogo wangu umezungmza vizury sana nakwahekima kubwa mungu nimwema sana

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 ปีที่แล้ว +40

    Mdogo wangu nakupa ushauri tu siku nyingine ukome kutembea na mamazako

  • @frenkmushi686
    @frenkmushi686 6 ปีที่แล้ว

    We bado Chalii mdogo hebu acha ayo mambo yatakuaribia maixhaaa
    Ulikurupuka acha ujinga muombe mungu akuepuxh nailo jimama

  • @neilahomar2307
    @neilahomar2307 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana dogo Ila nilikushw ukipata nafuu nitafute nipo kenya

  • @moodkiller8962
    @moodkiller8962 6 ปีที่แล้ว

    pole sana janjaro imentokea kakaako

  • @tamicambega5132
    @tamicambega5132 6 ปีที่แล้ว

    Umetisha mpenzi D.M

  • @joycekemilembe5918
    @joycekemilembe5918 6 ปีที่แล้ว

    masikini dogo wakimtaja mkewe anakosa amani kabisa.pole dogo

  • @mangemihayo8326
    @mangemihayo8326 6 ปีที่แล้ว

    pole sana jamangu dogo jaja

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 6 ปีที่แล้ว

    Dogo janja ulikuwaa mzuri sana
    Såsa umezeeka hadi huruma

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 6 ปีที่แล้ว +71

    Naomba nitoe ushauri tuuu. ..
    Interview inatakiwa isikilizwe bila sauti ya mziki. Inatibua kila kitu 😩

  • @annaswedy5712
    @annaswedy5712 6 ปีที่แล้ว

    Mackin dogo uko na mawazo Pole mungu atakujalia kupata mke mwema

  • @priscageorge9230
    @priscageorge9230 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana ndugu mapnz mabaya

  • @agiadam3812
    @agiadam3812 6 ปีที่แล้ว

    pole but never give up. MUNGU yupo nawe 1 day yes

  • @aishasilaji5759
    @aishasilaji5759 6 ปีที่แล้ว

    Masikini nimeumia jamani anaonekana anamengi kweli ila anajizuia pole kaka mungu akupe Imani katika hilo

  • @aishahussein3879
    @aishahussein3879 6 ปีที่แล้ว

    pole sana mdogo angu acha streets nakupenda sana

  • @stainasmkoko604
    @stainasmkoko604 6 ปีที่แล้ว

    Hapo ni yeyey hataki tu kuweka wazi pole janjaro mungu akunyoosher yote katika safari ya maisha maana umepata mtihani

  • @momodoha6042
    @momodoha6042 6 ปีที่แล้ว +1

    Dua kwa dogo janja jamaa na marafiki.Jamaniii🙏

  • @muhammadnufailmuhammadnufa4261
    @muhammadnufailmuhammadnufa4261 6 ปีที่แล้ว +5

    Polesana janjaro njoo kwangu nikuliwaze achana nahilo gubeli yule asharifiki kama mchuz wamagoz na itakuwa ndo kawaida yake kuuwa wanaume kwa laana za ukahaba punguza mawazo atakuuwa allah atakuongoza na utapata mke alokuowa ns kher nawewe muache adange shetan yuko ktk kampeni

    • @jenovevadickson3729
      @jenovevadickson3729 6 ปีที่แล้ว

      Pole kwa ndoa

    • @goodyalphonse268
      @goodyalphonse268 6 ปีที่แล้ว

      WEEEEEEEEEE ACHA KUMPUMBAZA DOGO .. ACHA DEMU AJIVINJARII KWANI IRENE KALAZIMISHA MTU KUMPENDAAA?? ACHA ALE BATA KWA UZURI WAK NA KIBWENYA CHAKE ANACHIKITEMBEZA ANAKOJUA YEYE.

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 6 ปีที่แล้ว +26

    msaidieni mlioko karibu nae huyo dogo yupo na strees za ndoa japo hajasema lakini uso wake unaonyesha .tatizo la wabongo maneno mengi kujaliana hakuna.

  • @najjanaj7786
    @najjanaj7786 6 ปีที่แล้ว

    Anashikitisha sana wallah daa mola akupesbraa mutihani mtt wakiume kazana

  • @shangwefisima9723
    @shangwefisima9723 6 ปีที่แล้ว +13

    Irene Uwoya Kama kuna michezo michafu unaifanya juu ya huyu kijana hakika unatafuta laana kwa nguvu. Aliyekwambia uolewe naye ni Nani? Huyu n Dogo janja na Kwa Ndikumana je? Irene Irene

    • @joycekemilembe5918
      @joycekemilembe5918 6 ปีที่แล้ว

      Shangwe Fisima ndikumana alisema kwamba mama krish ataniua na nikifa atakuwa maarufu sana.akumaliza wiki akafa.nayote yametimia.dogo kuwa makini

    • @goodyalphonse268
      @goodyalphonse268 6 ปีที่แล้ว

      HAHAHAHAHAHAHAHAHAHA WEWE NINI WEWE ACHA WATU WAPAMBANE NA HALI ZAOOO AHAHAHA

  • @ernestjohanes9087
    @ernestjohanes9087 6 ปีที่แล้ว

    Ulijichanganya kwa wadangaji maarufu tanzania / ulitengemea nini ( HELA KALA ULE MAMA THEN AMEKUACHA UNAUMWA ) duh wadada wa dar ni hatari

  • @xavierycelsus3751
    @xavierycelsus3751 6 ปีที่แล้ว

    asante dogo umeimba kwa hisia,hata mm imenigusa..

  • @samiranaima4192
    @samiranaima4192 6 ปีที่แล้ว

    Yani namuonea huruma sana huyu kaka anaonekana anaumia sana moyoni yani vile anavyo jibu maswali na kueleza kuhusu ngoma yake kuna kitu kinamsumbua moyoni pole sana

  • @hakibaferouz7181
    @hakibaferouz7181 6 ปีที่แล้ว

    inakuaje mwanangu mbona sauti ya ngoma tu rekebesha kbs siku nyingine aanza kusikiliza interview kabra ya kuyi post

  • @bashirhasan255
    @bashirhasan255 6 ปีที่แล้ว

    Ushauri wangu dogo janja tafuta mwanamke mwingine achana na irene

  • @dicksonsylvester971
    @dicksonsylvester971 6 ปีที่แล้ว

    Mwenzi anakla bata wwe unaumia, kama kwel kakizngua uwoya pole sana kjana lkan huklazmishwa na mtu ulitaka mwenye umekorogo miuji amabayo haijaiva vzur na hujawwka skr hunabud kunywa ivyoivyo brow, ulitaka kuish kstaa wakat watoto wazr amambao hawana mambo meng wapo wengi tuu lakn ukajiingza kwenye kna krefu kwa kujiamn et unajua kpga mbiz utakfa kama mv fulan....... Pole sana, kama sio kwel bac hongera kwa kmmlk mtoto mzr,

    • @catherinepamphil8267
      @catherinepamphil8267 6 ปีที่แล้ว

      Pole Sana dogo lakini nikuombe tu kitu acha mawazo sahau yalio pita japo ni vigum kukubali jaribu kuachana na huyo mwanamke

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 6 ปีที่แล้ว +4

    Dogo janja endelea kuwa msiri lakini ww mtt unapata tabu😭kama c kudhulumiwa kimziki basi ni mapenzi☺

  • @cleopatraefatha3859
    @cleopatraefatha3859 6 ปีที่แล้ว

    Jamani Jamn..dogo hayuko sawa IPO siku watu watajuta kutompa ushauri ili aachane na lile jimama atakufa kwa bresh au anywe sumu

  • @elizabethyamy2705
    @elizabethyamy2705 6 ปีที่แล้ว

    haki mapenzi yanaua hasa kwa mtu uliyempenda kwa dhati akutende duuuh janja hata uso una onekana anatoka kulia jamani pole sana kakangu

  • @estherboke782
    @estherboke782 6 ปีที่แล้ว

    I feel u janjaro, wanaume wa tz wooooooooooooote kujieni wanawake Kenya achana na Malaya wa tz wanawahadhaa tu wanawatumia hela shikiisha wanaondoka

  • @minhokid
    @minhokid 6 ปีที่แล้ว

    Sema background sound sio muhimu inatia kelele

  • @abdullahrashid6297
    @abdullahrashid6297 6 ปีที่แล้ว +2

    Dogo Tunakuombea dua ndoa yako idumu lakini Sisi watu wa chuga hatuna ufala aina hiyo mbona kitambo ulikuwa mgumu Sana nao umekuwa Kama mlenda niaje jombaaa wacha Uduanzi weka ndoa yako sawa

  • @cleopatraefatha3859
    @cleopatraefatha3859 6 ปีที่แล้ว

    Irine nazungumza na wewe jimama ulieshindikana mpaka kwa wazazi wako,kumbuka kuna mungu..kumbuka kuna mwisho wa maisha haya..mkumbuke masogange...then mrudie mungu acha kutumia huo uzuri wako kwa kuumiza viumbe wa mungu waliojitoa kama huyu kijana mtogo..wallah namuomba mungu bora uage kwanza dunia wewe ukachomwe moto huko umuache mtoto wa watu

  • @tumeerewamiki7490
    @tumeerewamiki7490 6 ปีที่แล้ว

    wengi wamepitia hyo iko siku utasahau Inshallah mungu yuko nawe

  • @geofreysolomon8532
    @geofreysolomon8532 6 ปีที่แล้ว

    Swali langu. Ivi usipotokewa na kifo tunasema mwenyezi mungu kukupenda. Ivi waliokufa Mungu hawapendi?

  • @mayasajuma4475
    @mayasajuma4475 6 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana janjaro

  • @najmamohamed3180
    @najmamohamed3180 6 ปีที่แล้ว

    Pole. Kwa. Maumivu. Dogo

  • @mamafranjovlog72
    @mamafranjovlog72 6 ปีที่แล้ว

    Subscribe kwenye chaneli yetu bonyeza picha itakuleta kwenye chaneli yetu kucheki ubuyu habari zoote za instagram , comedy na filamu zetu asanteni

  • @youtuberstrendingvideos9422
    @youtuberstrendingvideos9422 6 ปีที่แล้ว

    Gonga like kama unamkubali dogo janja

  • @boniphectoboniphace7187
    @boniphectoboniphace7187 6 ปีที่แล้ว +1

    MPE neno moja Janjalo naanza mim namkubali sana janjalo

  • @princessaidal1130
    @princessaidal1130 6 ปีที่แล้ว

    Maskini dogo mpaka huruma,, hivi dogo hapo ulianguka mwenyewe ama ulisukuzwa,,, ila Irene ndiku alikufa,,, na janja akifa hatuta kuacha salaama

  • @juniorhassan4311
    @juniorhassan4311 6 ปีที่แล้ว

    lol! ungeliweza wp hilo gumegume.. pole dogo

  • @kilimojohn1064
    @kilimojohn1064 6 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Dogo janja

  • @rahmasaid3347
    @rahmasaid3347 6 ปีที่แล้ว

    Pole sanaa dogo

  • @aminaally93
    @aminaally93 6 ปีที่แล้ว

    Unatia huruma mungu akutie nguvu

  • @nasoromajira113
    @nasoromajira113 6 ปีที่แล้ว

    Imani iko poa xna

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 6 ปีที่แล้ว

    Pole dogo ongea yako unaonekana bado unaumwa pole sana

    • @Superman--un9xz
      @Superman--un9xz 6 ปีที่แล้ว

      dogo pole sana unaonekana unaumwa ongea ako

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 6 ปีที่แล้ว

    Gaha kiki tu.
    Na kama ukweli shiba.
    Mung akulanz mahala pema isha allah .kaka amadi katauti.
    Imana niyo nkuru gusa

  • @berthachacky797
    @berthachacky797 6 ปีที่แล้ว

    Pole mdogo wngu

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 ปีที่แล้ว

    nimekuelewa sana mwenetu imani kitu muhimu sana nami nimepitia makubwa

  • @ramlasameer4665
    @ramlasameer4665 6 ปีที่แล้ว +1

    Mapenz yanakutesa sana dogo uso umepooza yaani kama umetoka kulia

  • @didaamohsin6440
    @didaamohsin6440 6 ปีที่แล้ว +1

    Hio..nyimboo..umeejiimba..mwenyewee..dogoooo...

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 6 ปีที่แล้ว

    Jamani mnapoeka hio miziki wala hatuwaskii mkiongea ni mivumo na midundo ya miziki tu ndio inayoskika kwa interview hadi nikata njiani sjaimaliza, naombeni sku nyengine musituekee miziki bc inatuharibu maskio yetu pindi tunapovaa earphones.

  • @blackpantherleopard6320
    @blackpantherleopard6320 6 ปีที่แล้ว +5

    Wa kwanza ku comment pole dogo.

  • @perrybenson7188
    @perrybenson7188 6 ปีที่แล้ว +14

    Yani ndoa ya dogo na irene haipo kabisa maongezi yake tells it all pole bro....ila na irene hamuendani kabisa ule tabia kama kina tz sweethrt aisee

  • @abdallahgosso3029
    @abdallahgosso3029 6 ปีที่แล้ว

    Dogo analia maisha haya wanawake ni rafiki yako wa karibu lakini ndio adui wako wa karibu

  • @anthonymunish1710
    @anthonymunish1710 6 ปีที่แล้ว

    dogo kaza usjal wala uspanik kaa tulia uweke mipango yako sawa kwan hii ndyo dunia yetu

  • @mtafutajihachoki5937
    @mtafutajihachoki5937 6 ปีที่แล้ว +3

    kwani warembo wazuri Uwaoni kitaaa mpka unatembea na jimamaa njooo humu Chuga Umchukue mdogo wangu milka

    • @wendestiven7201
      @wendestiven7201 6 ปีที่แล้ว

      Mtafutaji Hachoki nimechekaa mnooo

  • @shangwefisima9723
    @shangwefisima9723 6 ปีที่แล้ว

    Fact Joyce

  • @selinamatiko1307
    @selinamatiko1307 6 ปีที่แล้ว

    pole xana

  • @taky_25
    @taky_25 6 ปีที่แล้ว +11

    Chalii unaakil sana 👊🏾

    • @goodyalphonse268
      @goodyalphonse268 6 ปีที่แล้ว

      HAHAAAHAHAHA UKO SERIOUS..???

    • @taky_25
      @taky_25 6 ปีที่แล้ว

      Goody Alphonse yaaah ndo vile mwanaume unatakiwa ujibu man

  • @railamypresidentrailamypre629
    @railamypresidentrailamypre629 6 ปีที่แล้ว +11

    Alicho fanyiwa Ivan na Hamadi ndikuman ndicho wafanyiwa ww ila pole kaka Allah akutangulie na akupiganie ushinde mitihani Amiin

  • @maisaalawi644
    @maisaalawi644 6 ปีที่แล้ว +1

    Ukiwa na kitu kinakusumbua rohoni kitoe usiogope mtu utapata nafuu sana hakuna asiekosewa wala kukosa,

  • @bongemwenyekiti2260
    @bongemwenyekiti2260 5 ปีที่แล้ว

    achana na irene tafuta size yako dogo janja

  • @asmahduhkweliduniaimekwixh8563
    @asmahduhkweliduniaimekwixh8563 6 ปีที่แล้ว

    pole janjaro aupoxaw kabixa yan