Jinsi ya Kutumia Photoshop CS6 kwa mara ya kwanza(Beginners) SEHEMU YA 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 32

  • @patrickmwakisyala4877
    @patrickmwakisyala4877 4 ปีที่แล้ว +1

    big up bro somo limeeleweka asante sana.

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 ปีที่แล้ว +1

    Hello Asante Kwa somo zuri, nimefuatilia sehemu ya kwanza, vp muendelezo wake maana nahitaji sana kujua hii program

  • @abdul-karimchannel5185
    @abdul-karimchannel5185 3 ปีที่แล้ว +1

    Habar yak broo,sina lakuongea ila nimekubali sana video hii,na ningeomba muendelez wa video zijazo,by Abdulkarim

  • @mussachingy3318
    @mussachingy3318 8 ปีที่แล้ว

    Nakubali designer uko vzr...

  • @bahatiluck8640
    @bahatiluck8640 ปีที่แล้ว

    Asante sana mkuu pia unaweza tusaidia somo la Excel

  • @majangapoko8570
    @majangapoko8570 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda na nimeelewa hii

  • @mwamba2875
    @mwamba2875 5 ปีที่แล้ว

    We jamaa genius sana hiv hauna group telegram

  • @mbeyatv
    @mbeyatv 5 ปีที่แล้ว +1

    sauti ndogo sana aisee

  • @rockangel5478
    @rockangel5478 6 ปีที่แล้ว +1

    natamani sana kuweza kubadilisha back ground nitaweza kuelewa kwakuangalia hii video?

  • @jopatech7738
    @jopatech7738 8 ปีที่แล้ว +1

    idea nzuri sana endelea kutoa maunzo yako wahitaji ni wengi

  • @aloyxcarterTz
    @aloyxcarterTz หลายเดือนก่อน

    in case of edit katika kipengele cha transform(perspective)nime try morethan 8 times,still i dont know how to keep it work like you

    • @Richstartz
      @Richstartz  หลายเดือนก่อน

      @@aloyxcarterTz Unatumia Photoshop ya Mwaka gan?

    • @aloyxcarterTz
      @aloyxcarterTz หลายเดือนก่อน

      @@Richstartz 2020 bruh

  • @brightonkivambe4228
    @brightonkivambe4228 8 ปีที่แล้ว +1

    Kila niko download software napewa trial so naomba nisaidiwe jinsi gani ni download permanent program

  • @kellyenterprises5358
    @kellyenterprises5358 11 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri sana ila tatizo sauti yako ndogo ila unajuwa kufundisha

    • @Richstartz
      @Richstartz  11 หลายเดือนก่อน

      Asante kwa maoni yako. Nitayafanyia kazi

  • @Sylver255
    @Sylver255 7 ปีที่แล้ว +1

    Bro, naomba assist namna ya ku download full version ya Adobe photoshop

  • @philemonwarioba7209
    @philemonwarioba7209 7 ปีที่แล้ว +1

    Nitapataje software ya Adobe photoshop?

  • @kimstarkidd4979
    @kimstarkidd4979 7 ปีที่แล้ว

    oi boi ss tunashindwa tutafanyaje

  • @issomhagama4619
    @issomhagama4619 2 ปีที่แล้ว

    ThaNx

  • @hamzaiddy3284
    @hamzaiddy3284 8 ปีที่แล้ว +1

    mbali na mafunzo ya kutumia ADOBE .... JE naweza kupata msaada wa program za adobe ambazo ni imara sio ambazo za demo ukitumia baada ya muda flani huwez kutumia tena.

  • @robertjaden9063
    @robertjaden9063 7 ปีที่แล้ว +1

    .........@ tunafatilikia kilask wengine mna unamadini

  • @shakavevo7276
    @shakavevo7276 6 ปีที่แล้ว +1

    hiyo adobe mimi ninayo ila wansema nilipie nilipewa wiki ya bure ikaisha sasa ya bure unapata je?

  • @happypatrick9466
    @happypatrick9466 3 ปีที่แล้ว

    Rich nagitaji kujifunza hii kitu unanisaidiaje ukiachana na totorial

  • @ahmedhaji1951
    @ahmedhaji1951 2 ปีที่แล้ว

    Naomba link ya sehemu ya pili!.

  • @nadysteve5740
    @nadysteve5740 6 ปีที่แล้ว

    unaweza Fanya video edit kwa adobe Photoshop bro rich

    • @NajimOne12
      @NajimOne12 5 ปีที่แล้ว

      nady steve hapan

  • @zamotomototv4609
    @zamotomototv4609 7 ปีที่แล้ว +1

    Laptop aifai

  • @mentortonny02
    @mentortonny02 2 ปีที่แล้ว

    link napataje bro