Upendo Kwaya (Choir)(Ngara Kagera) - Jenga Juu Ya Mwamba (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Hii Ni #KwayaMpya Iliyojinyakulia Ushindi Katika #Kwayazainjili2023 Mwanzoni Mwa Mwaka Huu, Ni Kwaya Yenye Kukutia Moyo Na Kukupa Nguvu Nyingine Zaidi Pale Ukiwa Katika Hali Ya Wasiwasi Lakini Hata Ukiwa Katika Hali iliyo Shwari, Usipitwe Na Mazuri Mengi Kutoka Katika Channel Hii, #Subscribe Na Weka Notification On Ili Uwe Wa Kwanza Kupata Habari Katika Channel Hii Kila Tunapo #Post Videos Mpya.

ความคิดเห็น • 511

  • @Minsirerickjuniorofficial1272
    @Minsirerickjuniorofficial1272 3 ปีที่แล้ว +32

    Niko ndani toka Kenya nipee like nijue tuko wengi tukifuatile style za ajabu huku

    • @juliusevance
      @juliusevance 9 วันที่ผ่านมา

      Baraka zikawe juu yenu

  • @angelfaustine5656
    @angelfaustine5656 3 ปีที่แล้ว +8

    Muandishi wa habali ujielewi kweli yan sasa gumzo ipo wapi au Cha ajabu kipo wapi chizi kweli weww

  • @sabrinamkinga901
    @sabrinamkinga901 3 ปีที่แล้ว +249

    Wenye mmefungua kuona style zenye gumzo rise up tujuane😅😅

  • @nelsonchaula6291
    @nelsonchaula6291 3 ปีที่แล้ว +8

    Sawa style za ajabu zikoapi hapo🤣🤣😂😂😅😅😆😆; mbarikiwe Sana wanakwaya wimbo mzuri sana

    • @robertmangoli40
      @robertmangoli40 3 ปีที่แล้ว +1

      Enyewe hamna style hapo bt wako sawa kapiza.style tuachie aict negro geita nyarusugusu.🇰🇪

    • @queenwere1
      @queenwere1 3 ปีที่แล้ว

      Style za kawaida tu. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @elinabaltazali9055
    @elinabaltazali9055 3 ปีที่แล้ว +1

    Wakiitwa wa style kali hao hawaoni ndani ng'oooo

  • @benedictsarungi5208
    @benedictsarungi5208 3 ปีที่แล้ว +1

    Vile nlikuja kwa kasi 🏃 kuangalia style za Ajabu Kama nawewe umekimbia Kama Mimi tupeane Pole

  • @mahitajimulemera1276
    @mahitajimulemera1276 3 ปีที่แล้ว +31

    Waimbaji wapendwa, huu ni wimbo wa msingi! Umeleta matokea makuu katika kujenga imani za walio wengi. Yesu Kristo ni mwamba wa kweli jana, leo na hata milele. Shetani amepata changa moto na wajumbe wake. Haya twendeni na silaha zote za Mungu zitiwe mafuta.

    • @cocomapicha
      @cocomapicha  3 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @dianajoseph3318
      @dianajoseph3318 3 ปีที่แล้ว

      @@cocomapicha saf Sana Wana wa mungu

    • @zubedasultan9585
      @zubedasultan9585 3 ปีที่แล้ว

      🙏 NAKUOMBA BONYEZA HAPA 👇
      th-cam.com/video/m7FXfhJotT0/w-d-xo.html

  • @amanirazalo1329
    @amanirazalo1329 3 ปีที่แล้ว +1

    Waandisha wa kichwa nimabwege japo wimbo mzuli laki watumishi mmekuwa waongo sana

  • @goodchancemonyo5158
    @goodchancemonyo5158 3 ปีที่แล้ว +3

    Hongereni. Ni wimbo mzuri. Mbarikiwe.

    • @cizamarc6419
      @cizamarc6419 3 ปีที่แล้ว

      Nzuri sana nyimbo hiyo ongela

  • @Frankdadi
    @Frankdadi 2 ปีที่แล้ว

    maneno flani hvi ya kumtukuza Mungu..barikiwa sana

  • @cosmasnyakundi1670
    @cosmasnyakundi1670 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimetafuta style za ajabu hapa na nimepewa 😯😯😯😯ng'oooo!!

  • @elizabethnasambu3068
    @elizabethnasambu3068 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani waandishi weeeeh mtatuonyesha mambo

  • @secikim9822
    @secikim9822 3 ปีที่แล้ว +5

    Hehee!!! Ivi ni pekeangu nmekuja kuona style za ajabu😀😀😳

  • @isaacdedonga7725
    @isaacdedonga7725 3 ปีที่แล้ว +3

    Ninavutiwa sana na wimbo huu. Bwana Mungu akubariki.

  • @fridahmudave8818
    @fridahmudave8818 3 ปีที่แล้ว +5

    Woouu so nice naona wanarika ndani which is good shikilia hawa wanarika waendelee kueneza injli it's 👍. Wapy likes zao.

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 3 ปีที่แล้ว +13

    Mwimbie Mungu kadri ya uwezavyo cheza kwa Mungu kadri uwezavyo

  • @mugishomwenda4265
    @mugishomwenda4265 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli je injili ni viashara tangazeni injili sahihi bila kutarajia chochote kwa watu

  • @happymbonye1219
    @happymbonye1219 3 ปีที่แล้ว +13

    Wimbo mzuri sana,pia yesu ni mwamba imara usiotikisika

  • @virginiakarimi2597
    @virginiakarimi2597 3 ปีที่แล้ว +9

    Mungu tufundishe tujue namna ya kukuimbia maana dunia imejaa mambo

    • @hensuuali3795
      @hensuuali3795 3 ปีที่แล้ว

      Mungu anaimbiwa au anaombwa?

  • @judithmoraaiisoe8219
    @judithmoraaiisoe8219 3 ปีที่แล้ว +2

    💃💃💃🤗 🤗 chenga juu ya mwamba nyumba itasimama 🙏🙏

  • @johnnjau4879
    @johnnjau4879 3 ปีที่แล้ว +6

    Ongeren sana wimbo mzuri tu

  • @fransavinhonacmela827
    @fransavinhonacmela827 3 ปีที่แล้ว +12

    Jenga juu ya mwambaaa....... daaahh penda sana swagaaa hizi.nabarikiwa aseee
    New vibes new style

  • @rhino.kedmony9669
    @rhino.kedmony9669 2 ปีที่แล้ว

    Kweli.mpo.vzr.mungu.azid.kuwaendeleza.ivi.ivi

  • @joyceulaya3102
    @joyceulaya3102 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzurii barikiwaa wanakwaya

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 3 ปีที่แล้ว +11

    Sawa nimeona style nyingi,
    Hila nyimbo ninzuri sana.

    • @zubedasultan9585
      @zubedasultan9585 3 ปีที่แล้ว

      🙏 NAKUOMBA BONYEZA HAPA 👇
      th-cam.com/video/m7FXfhJotT0/w-d-xo.html

  • @joycemaregesi1642
    @joycemaregesi1642 3 ปีที่แล้ว +1

    Kucheza mbele za Mungu siyo dhambi kwahyo sijaona style za ajabu hapo ww tu ndo uandishi wako wa habari ndo wa ajabu

  • @winifridathomas5081
    @winifridathomas5081 3 ปีที่แล้ว +2

    😀😀😀😍😍🙏mmejuwa kuza vyimbo watu wa mungu

  • @babuayo4839
    @babuayo4839 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi hapa nimelizo

  • @eliasmakobwe4203
    @eliasmakobwe4203 2 ปีที่แล้ว +1

    Upendo choir...Angrican Ngara mjini👏👏

  • @gladysgesare9549
    @gladysgesare9549 3 ปีที่แล้ว +3

    Heko sana mwapendeza😘😘😘

  • @paulowambula6216
    @paulowambula6216 3 ปีที่แล้ว

    Wakosawa mungu hawajarie kipanji zaid

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimepata kitu najenga juu ya Yesu nisitikisike daima

  • @esterivan5944
    @esterivan5944 2 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana,Mungu awabariki sana

  • @lightnesspeter5370
    @lightnesspeter5370 3 ปีที่แล้ว

    Utajifunza kitu wapo vizur

  • @judithmafwimbo2281
    @judithmafwimbo2281 2 ปีที่แล้ว

    style sio za ajabu ,ilani nzuri na wimbo unabariki

  • @mwanukuzide_receiver
    @mwanukuzide_receiver 3 ปีที่แล้ว

    sijaona maajabu kabisa kila kitu ni cha kawaida tu

    • @mugishomwenda4265
      @mugishomwenda4265 3 ปีที่แล้ว

      ninajua maajabu utayaona wakati wakuta kwako dipo utaikumbuka injili yote ulio hubiriwa

  • @pascalmsuyajr.7980
    @pascalmsuyajr.7980 3 ปีที่แล้ว

    Mbona wameimba na kucheza vizur tu mim cjaona cha ajabu hapo

  • @anteliusrwehumbiza9104
    @anteliusrwehumbiza9104 2 ปีที่แล้ว +1

    Nawapongeza kwa wimbo mzuri mungu awabaliki amin

  • @jumapililivingstone4403
    @jumapililivingstone4403 2 ปีที่แล้ว

    Safiiii, nimependaaaa

  • @raymondkagero3252
    @raymondkagero3252 3 ปีที่แล้ว +2

    Upendo choir ngara big up sana

  • @roderick636
    @roderick636 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri mungu awape nguvu zaidi

  • @eliafanuel9416
    @eliafanuel9416 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli ni stely zahatal by elia

  • @elickeephrahim8139
    @elickeephrahim8139 3 ปีที่แล้ว +3

    Nzuri sanaa👍😍🥰

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 3 ปีที่แล้ว +233

    Tliokuja kuona hizo stail za ajabu tujuanee

  • @munirah3545
    @munirah3545 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakujia style za ajabu but sioni 😂😂big up wanakwaya

  • @Khanmastory
    @Khanmastory 3 ปีที่แล้ว +3

    Nikweli kabisa hata Mimi nakusaport hawa jamaa wanaweza wakakuharibia cku kabisa

  • @evanvihiga4647
    @evanvihiga4647 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijaona style ya ajabu mimi

  • @elinabaltazali9055
    @elinabaltazali9055 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna style za kushangaza hapo.

  • @reginadaud2879
    @reginadaud2879 2 ปีที่แล้ว

    Jamani waooo najihis nipo paladso

  • @malikialindapeter3882
    @malikialindapeter3882 3 ปีที่แล้ว +1

    Baada ya apostle Harry kushare nasi kwenye mtandao wa whatsapp nilikimbia hapa mbio..... My salutations from 254 Tasia ❤❤❤

    • @cocomapicha
      @cocomapicha  3 ปีที่แล้ว +1

      M'barikiwe sana 🙏🏼🙏🏼

  • @verostaherman4952
    @verostaherman4952 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi mwehu wew

  • @appyphay1828
    @appyphay1828 3 ปีที่แล้ว +5

    Yeah hizo style zimeweza Sana😂😂😂

  • @delize3304
    @delize3304 3 ปีที่แล้ว +402

    Aliefuata style za ajabu tujuane kwa likes 😂😂🤣

  • @jamalalbert1367
    @jamalalbert1367 2 ปีที่แล้ว

    Hakika ni wimbo mzuri

  • @evagliuslyabonga3471
    @evagliuslyabonga3471 2 ปีที่แล้ว

    Nzr saaana

  • @labantryphon1276
    @labantryphon1276 2 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kujaza vipawa mlivyonavyo Amen nimebalkiwa

  • @antidiustibaijuka5283
    @antidiustibaijuka5283 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki Sana upendo kwaya Ngara mjini from nakatunga

  • @danielvyakare5907
    @danielvyakare5907 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawapa hongera mungu awabariki

  • @rebecagidawe1420
    @rebecagidawe1420 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaaah wamecheza vzr

  • @fadhilikaminyoge9021
    @fadhilikaminyoge9021 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awape nguvu wapendwa

  • @charlezmokiwa4378
    @charlezmokiwa4378 2 ปีที่แล้ว

    Wapo vizuri sana

  • @shwarikuuvj5416
    @shwarikuuvj5416 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwamba ni Yesu mubarkiwe

  • @nadhifamatimbwa4400
    @nadhifamatimbwa4400 3 ปีที่แล้ว +12

    Mungu azidi kuwainua

    • @zubedasultan9585
      @zubedasultan9585 3 ปีที่แล้ว

      🙏 NAKUOMBA BONYEZA HAPA 👇
      th-cam.com/video/m7FXfhJotT0/w-d-xo.html

  • @scolajaphary6259
    @scolajaphary6259 3 ปีที่แล้ว +1

    Tumikeni madam mnanguvu💐🌹🥀🌷🌺💱👏

  • @barakajackson2694
    @barakajackson2694 3 ปีที่แล้ว +3

    Wenye Chanel mnasikitisha sana kwa maneno mnayoandika bila yakutafakari kuwa hata sisi watazamaji tunaangalia na pia tuna uwezo wakutambua,wamefanya kazi yakumtukuza Mungu wao,wewe umefanya nini kwa Muumba wako.

  • @pavlovdeking3725
    @pavlovdeking3725 3 ปีที่แล้ว

    Hizo style za ajabu sasa ,ebu nami mnipe like zanu😁😁

  • @zayabdul626
    @zayabdul626 3 ปีที่แล้ว +3

    Nzuriii, Nimeipenda

  • @radhanisenko3425
    @radhanisenko3425 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabaliki waimbi hawa

  • @Chombomkali
    @Chombomkali 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongeren san kway

  • @andrewmsenga308
    @andrewmsenga308 3 ปีที่แล้ว +1

    Doo! Anyway sawa ni style za ajabu

  • @gracemmbaga8528
    @gracemmbaga8528 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimefata kuamgalia stail mpya hats sijaona cha ajabu

  • @elizabethnthenge5304
    @elizabethnthenge5304 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri hila mwatafta nini kweli shauli yake sijaona styli mpya

  • @shaluamagandi2184
    @shaluamagandi2184 2 ปีที่แล้ว

    Very beautiful and melodious voice . God bless you abundantly. AMEN

  • @sophiamsindika663
    @sophiamsindika663 2 ปีที่แล้ว

    Amina kubwa xna

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 ปีที่แล้ว

    Nzur sana Asante Sana God 🙏🙌

  • @laughtnessjoseph742
    @laughtnessjoseph742 3 ปีที่แล้ว +1

    Kichwa cha habari ndo kimenileta...khaaa

  • @peterlutende3282
    @peterlutende3282 3 ปีที่แล้ว +5

    Nzuri!

  • @malacktweve6012
    @malacktweve6012 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni kwa wimbo

  • @amosanderw2112
    @amosanderw2112 3 ปีที่แล้ว

    Acheni utani wa kumtania Mungu

  • @immah_deo19
    @immah_deo19 3 ปีที่แล้ว +24

    Sema Hicho Kichwa cha Habari Kimewapa Viwers Kirahisi Sana😅😅😅

  • @dorycaskapama836
    @dorycaskapama836 2 ปีที่แล้ว

    Muogopeni MUNGU watumishi

  • @janethsadock4559
    @janethsadock4559 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni saaana ndugu zangu

  • @elizabethkomba4953
    @elizabethkomba4953 3 ปีที่แล้ว +1

    Mh! Za kawaida sana

  • @gregorymashinji9984
    @gregorymashinji9984 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimebarikiwa kupitia wimbo huu

  • @maikoadam4232
    @maikoadam4232 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sana

  • @christopherchipalo7390
    @christopherchipalo7390 2 ปีที่แล้ว +1

    Azionekan mbna

  • @syesinyoafubima2038
    @syesinyoafubima2038 3 ปีที่แล้ว +2

    Zakawaida sana mbna

  • @benjaminbatano698
    @benjaminbatano698 ปีที่แล้ว

    Staili za ajabu ziko wapi Sasa? Badala ya kusemea ujumbe uliopo kwenye nyimbo unaandika.... Wimbo mzuri wenye ujumbe

  • @robertambrose1231
    @robertambrose1231 3 ปีที่แล้ว +5

    Ujumbe mzur

  • @cpriangenes2721
    @cpriangenes2721 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awabaliki

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 3 ปีที่แล้ว

    Mbona mnapenda mambo ya kisenge nyie waandishi

  • @emieotieno6991
    @emieotieno6991 3 ปีที่แล้ว +4

    Kweli nimejionea style ya ajabu🤣🤣sijaambiwa

  • @avizpaul3086
    @avizpaul3086 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwaya nzur

  • @malihaa5158
    @malihaa5158 3 ปีที่แล้ว

    Kweli syle ni za ajabu 💃🕺💃🕺

  • @hancesenya5259
    @hancesenya5259 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona sioni style😭😭

  • @bestmedia_tz
    @bestmedia_tz 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama upepo mnatuvuta tu hayaah

  • @odavianzowe2917
    @odavianzowe2917 2 ปีที่แล้ว

    we mbona style za kawaida 🙌

  • @thobiasodhiambo9553
    @thobiasodhiambo9553 3 ปีที่แล้ว

    Wala sio staili za jabu mkuu, mbona kawaida sana

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo ya kiroho harafu mwandishi wa habari mpagani mzuri tu hata shetani anajifunzia kwake

  • @jacksonfulano6015
    @jacksonfulano6015 3 ปีที่แล้ว

    Sorolist anapanga vzr sauti ,waitikiaji hawapangi sauti sio poa
    Ila mwimbo mzr mnoo