Nilikua watchman kwa wakati mwingine nikatusiwa na maadui wangu kwamba mimi ni mbwa na nitakufia kwa baridi😢😢😢 niliinyamaza nikaambia Mungu abadili hayo😊😊😊😊sahizi wanasema naringa sababu ya maendeleo nayo yafanya😊😊😅😅😅Sifa kwa Mungu🙏🙏🙏🙏
Whoever reading this, na hilo litapita wewe mwamini Mungu Tu ,He knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him litapita. Amen
Naili litapita tu, nalitangazia bila woga kwa Jina la Yesu kila jaribu nalopitia litapita tu, Maana Yesu alisha nishindia na akasema. Imekwisha nami nakili kila tabu, changamoto imekwisha sawa nano lisemavyo. Mungu azidi kukubariki Kaka "Christopher" ... Christopher from Christ Jesus.
Mizigo,machungu na magumu yangu huwa yanapita hadi nashangaa imekuwaje??ni MUNGU aishie milele🙏🏼🙏🏼🙏🏼yote yalipita,yanapita na yatapita kwa Jina la YESU.
beign a orphan ....rejection of family..society....friends no body but a merr house houselp cos life threw to corner. but now😊....i feel like im the rejected stone❤
Wooow 😮Glory glory to GOD....I'm widow yale nimepitia....na kuona....na watoto wangu...ni mengi...but yote yamepita kwa imani nimebarikiwa na kazi nzuri😅😅 im hear to say MUNGU amejibu maombi yangu💃💃💃🕺🙏🙏.
hallelujah very nice one song amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ you are only my father in heaven hallelujah Jesus Christ amen 💖💖💖💖💖 well done Chris for nice song amen 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah yesu wangu
looking good guys away amazing songs amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh mungu wangu nitetee. sing Chris ✴️✴️♥️♥️♥️❤️❤️❤️💟💟💟💟💟🌹 amen 💪💪💪 hallelujah
Mungu nikumbuke Kwa mapito ninayepitia, unasema unajua aja za mioyo yetu, kando na kupoteza mum, kando na kukataliwa, kung'ang'ana kulea watoto pekeangu, mungu nipe nguvu, ninajua Kuna siku Moja nitashuudia mtu wa nne kama Daniel, amen
very lmotional songs amen 💪💪💪 hallelujah yesu wangu you are wonderful God amen 🙏🙏🙏❣️❣️🌹 thank you for good songs Chris may God bless you 💥💥💥 ooooh mungu wangu
Mungu wewe ndiwe unaye sitaili sifa unatumia kila kabila mpaka masai kunena utukufu wa jina lako,,,mwangila na pual mungu awatende wema kwa ajili ya huu ujumbe
hallelujah very lmotional songs amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ thank you lord for healing me amen may God bless you guys well done Chris amen 🌹🌹🙏🙏 amen wonderful song amen 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah
Jaman Bwana Yesu apewe sifa leo nimekuwa wa kwanza naombe like 200 tu wapendwa
Nilikua watchman kwa wakati mwingine nikatusiwa na maadui wangu kwamba mimi ni mbwa na nitakufia kwa baridi😢😢😢 niliinyamaza nikaambia Mungu abadili hayo😊😊😊😊sahizi wanasema naringa sababu ya maendeleo nayo yafanya😊😊😅😅😅Sifa kwa Mungu🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏
Whoever reading this, na hilo litapita wewe mwamini Mungu Tu ,He knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him litapita. Amen
Najua litapita tu
Ee Mungu sikiliza dua zangu na sala zangu na toba yangu kupitia wimbo huu
Please 🙏 God listen to my prayer through this song and heal me of my mysterious illness which is not mysterious before You. Amen.
Amen direct to God ears it is well with you healing is your portion in Jesus name 🙌
From your lips to Gods ears may it be so in Jesus name Amen
Amen amen 🙌🙌🙌
Amen amen amen from your mouth to the heavens 🙏
Good Health Is Your Portion... Be Healed In Jesus Mighty Name Amen 🙏🙏🙏
Wakati wanadamu wanasema hapana, Mungu anasema ndio.... God of Elijah hear my cry.. Nakuaminia kwa hii jambo, ninalo taka unitimizie.
Please mungu wangu futa machozi yangu😢
In Kenya we have approved it... respect from 🇰🇪🇰🇪
Kabiza❤️❤️😊
Love songs mungu akuonekanie
Love songs mungu akuonekanie
🎉🎉🎉🎉
Naili litapita tu, nalitangazia bila woga kwa Jina la Yesu kila jaribu nalopitia litapita tu, Maana Yesu alisha nishindia na akasema. Imekwisha nami nakili kila tabu, changamoto imekwisha sawa nano lisemavyo.
Mungu azidi kukubariki Kaka "Christopher" ... Christopher from Christ Jesus.
Najisia furaha nikisikiliza huu wimbo unanifariji kweri❤❤
Amina 🙏na hili litapita tu wimbo wakututia nguvu🔥🔥barikiweni Sana wapendwa🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mizigo,machungu na magumu yangu huwa yanapita hadi nashangaa imekuwaje??ni MUNGU aishie milele🙏🏼🙏🏼🙏🏼yote yalipita,yanapita na yatapita kwa Jina la YESU.
Nimebarikiwa saaaana nahuuu,kila gumu litapita tu,,Amina
Ni kweli napitia kipindi nimekuwa nikijiuliza nitafanya aje.... Pindi nimefungulia tu TH-cam nakutana na ujumbe huu, kwa kweli umenitia moyo🙏🇰🇪🇰🇪
Wapi likes from Kenya ❤. Mungu mwenye majibuu .😊
Hongera mtumishi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🇰🇪
Hakika hili la pita..Naja na ushuhunda Kwa kweliii😭😭😭🙏🙏🙏🔥I love this from my favourite 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama unaamini hata shida unayo yapitia itapita tuu , gonga like
Not me hearing "nyamaza futa machozi" but all I can do is cry 😭😭😭😭. may God calm the storms in my life.
Amen beloved 🙏🏾
We trust only in Jesus
Hugs 🫂 mammie God is there😭
Hakika hata hili litapita tu...I TRUST YOU LORD... FATHER... MUNGU WA MIUNGU Ninakuamini sana❤
I'm believe in God and that will pass 😢😢😢
Ubalikiwe Mungu akutiye nguvu izidi kupaza sauti kwakuhubili kwa nyimbo nakufatiriya sana
Ehh 😢, m23 itapita kweli ,adf nalu wauji seront ils effffacerr
Mkenya mwenzangu nakutangazia mazito yamekwisha kuanzia leo,kwa jina la Yesu.
Amen Amen hata nahili ninalopitia Leo, litapita tu Kwa Jina la Yesu halleluyah❤
All this will pass...... Naamini Mungu will bless Me with children 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mwenyezi Mungu naomba chenye familia yangu inapitia kigumu chote tukaezane kupitia huu wimbo🙏🙏🙏.Amen.Amen.Amen
Baba ujawai kosea barikiwa sana
Mungu awape maelewano mumutukuze mungu🤝🤝🤝👏👏👏👏👏👏🥰🥰🥰🥰🥰🥰
🙏🙏🙏 amen iyi nyimbo imenigusa kwaro yang asant🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu wangu chukueni mau yenu jamani sijui niseme nn ila Mungu ana watu wake 🙏🏼🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌷🌷🌷🌷🌷🌷
kweli mungu wangu ooooh well come Kenya Deliverance church amazing songs hallelujah ❤️❤️❤️🌹💐💐💐 amen
Karibu sana kaka Mungu ameona moyo wako umemtunza Mungu ndaniyako wewe hakika ni mtu wa rohoni ukutanishwe na watu wa rohoni akuepushe na maajenti
Ivi Christopher Mwahangila Hazeeki Au.😅😅😅😅 JAMANI Mbona hii Neema ya Mungu Mno.
Amazing kazi nzuri kaka 🙏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
MUNGU MWENYE MAJIBU nakuamini futa machozi yangu😢😢
kweli yesu wangu well done guys nice song amen 💪💪💪 hallelujah
beign a orphan ....rejection of family..society....friends no body but a merr house houselp cos life threw to corner.
but now😊....i feel like im the rejected stone❤
Kazi Safi can't bro
wimbo mzuri 😊ila chorus ina kelele kiasi
Hiii nyimbo uisikiza Kila mara yaan Wacha niseme Amina nyingi cna 🙏🙏🙏🙏🙏
Ahsante Mungu Umemtumia Mtumishi Wako anifariji.Nakuamini Mungu huu Mkataba utaisha tuh.
Naamini hata haya ninayo pitia yatapita tuu namwamini Mungu 🙏🙏🙏🙏
Wooow 😮Glory glory to GOD....I'm widow yale nimepitia....na kuona....na watoto wangu...ni mengi...but yote yamepita kwa imani nimebarikiwa na kazi nzuri😅😅 im hear to say MUNGU amejibu maombi yangu💃💃💃🕺🙏🙏.
Powerful. Mungu naamini kwa hili jaribu niko litapita tu
Combination ya Nguvu💪, MUNGU awabariki Sana watumishi wa Mungu
hallelujah very nice one song amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ you are only my father in heaven hallelujah Jesus Christ amen 💖💖💖💖💖 well done Chris for nice song amen 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah yesu wangu
Aki mungu awabariki cna ebu imbeni Tena apa muliweza cna👏👏👏👏👏🥰🥰🤲🤲
Mungu nisaidie nivuke salama katka majaribu ninayopitia, nakuaminu Bwana nisaidie. Aminaa 🙏
looking good guys away amazing songs amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥 ooooh mungu wangu nitetee. sing Chris ✴️✴️♥️♥️♥️❤️❤️❤️💟💟💟💟💟🌹 amen 💪💪💪 hallelujah
very nice one song amen 💪💪💪 I see Masai the needies hallelujah Jesus Christ 💥💥💥❣️❣️ amen 🌹🌹 amen 🙏🙏🙏
Nani akesikia akiimba Masai jamani aaah glory to Jesus 💗
Nyamaza vuta machozi..na hilo litapita tu, amini Mungu...Yesu 'inatosha' tu
Sirya Mungu akubariki sana kaka unaimba sana🙏🇮🇱🙏
Mungu nikumbuke Kwa mapito ninayepitia, unasema unajua aja za mioyo yetu, kando na kupoteza mum, kando na kukataliwa, kung'ang'ana kulea watoto pekeangu, mungu nipe nguvu, ninajua Kuna siku Moja nitashuudia mtu wa nne kama Daniel, amen
ooooh mungu wangu that's true amen amazing songs amen 💪💪💪 hallelujah ♥️♥️♥️ wonderful song 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah 💟💟💟🙏🙏🙏
Mungu awabariki sana wimbo huu ni mfariji kwangu tosha hakika litapita tu Mungu awabariki
Daah, hakika mubarikiwe watu wa mungu kwa wimbo wa ujumbe na kufuta machozi.
this is blessing me amen very nice one song amen 🙏🙏🙏 hallelujah yesu wangu well done Chris amen 🌹🌹🌹💐💐💐💐💐 hallelujah
Wimbo una mseji nzur sana balikiwa sana
❤huu ujumbe nimeuelewa kabsa
very lmotional songs amen 💪💪💪 hallelujah yesu wangu you are wonderful God amen 🙏🙏🙏❣️❣️🌹 thank you for good songs Chris may God bless you 💥💥💥 ooooh mungu wangu
Eeee mungu wangu, niongezee kiwango cha imani, nikakutumainie hata Kwa magumu
Huu wimbo umenifariji..licha ya kupitia changamoto
wow looking good away ameeeeen nice one song may God bless you 💪💪💪 Chris amen 🙏🙏🙏💟💟💟💟💟💟💟💟🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💥💥💥 ameeeeen 🙏🙏🙏❣️❣️💟🤞💟💟🤞 hallelujah yesu
Hongera sana chriss mtumishi wa Mungu, Mungu aendelee kukuinua kwa vuwango vya juu unanibariki sana kwa nyimbo zako
Mbarikiwe Sana watumishi wa Mungu kwa kazi nzr
WIMBO MUKUBWA ƙwakweli MTUMISHI wa MUNGU❤
Na hilo litapita tu. Nimeupenda sana wimbo huu. Mungu awabariki sana.
All the way from bungoma county nimebarikiwa sana
Kwa Imani majaribu yenye napitia yatapita TU kwa jina LA yesu asanteni sana watumishi wa mungu
Ameen barikiwa mtumishi kwa wimbo huu wakutia moyo na tumaini maishani nimepata nguvu ya kusonga mbele
😭😭😭😭i needed this message🙌.what a divine confirmation😭😭💗
Kwa kweli litapita nikuamini mungu❤
I know Mungu unasikia maombi wewe si kiziwi. Najua ukanijibu soon🙏
❤ nyimbo zako ninzuri Sana Mungu azidi Kuku inuwa ame 🙏🙏🙏🙏
Amen barikiwa sana na bwana ❤❤❤
Amina..Nangoja ushuhuda wangu kutoka kwenye huu wimbo. Wanaosikiliza wabarikiwe maradufu..Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa kazi nzuri❤❤❤❤
Na hili ninalolipitia litapita pia. AMINA.
Aminaaaaaa kubwaaaaa asante yesu kwa nguvu zako wewe unae futa mapito yote mabaya ninayopitia nami nashukulu kwa wimbo huu maana umenifanya niwe hulu
Mungu wewe ndiwe unaye sitaili sifa unatumia kila kabila mpaka masai kunena utukufu wa jina lako,,,mwangila na pual mungu awatende wema kwa ajili ya huu ujumbe
Ninayoyapitia Ewe Mwenyezi Mungu najua yatapita tu..Amen🙏🙏
Na kweli hilo bingu litapita tu katika Jina Lake Yesu kristo. Very encouraging song🙏🙏
Amen. Kwa kweli nalo litapita tuu yatosha kumwamini Mungu.
this song is very lmotional songs amen 💪💪💪 hallelujah ♥️♥️♥️ wonderful song may God bless you Chris 💞💞💞 ooh jesus amen 🍀🍀🔥🔥🙏 hallelujah ❤️❤️
Christopher na Paul asanteni sana nawapenda sana munyarwanda diaspora mtoto wamungu
Mungu ni mwema litapita kweli ❤❤❤❤❤❤
kudos my brothers wimbo huu umenibariki sana
What a powerful message,no matter what u are going through just trust in lord and all shall pass 🙏🙏
Ameeeen utukufu kwa Mungu mzidi kuinuliwa mno
Mr mwahangila we love you ,amen amen kabisa ninyamanze nifute machozi
Acha mungu apewe utukufu🙏🙏🙏🙏
Mungu aendelee kuwainua nakuwarinda nawapenda Sana mubalikiwe paka mushangae
Wimbo wa kuamsha upya matumaini hongereni sana Paulo na Christopher
hallelujah very lmotional songs amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ thank you lord for healing me amen may God bless you guys well done Chris amen 🌹🌹🙏🙏 amen wonderful song amen 👏🏽👏🏽👏🏽 hallelujah
ameeeeen 💟💟💟 hallelujah very nice one song amen 💪💪💪👍🏽 trust in God ❣️❣️ amen
Wimbo nzuri barikiwa mutumishi wa mungu 🙌🙌
Jambo Tanzania 🇹🇿 God bless you Christopher and your friend Syria ❤
ameeeeen 🙏🙏🙏 hallelujah ❤️❤️❤️ very powerful song amen 💪💪💪 hallelujah Jesus Christ 💥💥💥❣️❣️🌹 amen
Naamini mungu yupo na hili jaribu litapita tu kwa jina la yesu alie hai emen