Hii tabia ya kukurupuka kupga na kuua watu kisa wamesema mwizi bila kujua ameiba wapi na nini ni mbaya sana unaweza kutenda dhambi ya mauaji bila kujua,,,rafk yangu alipoteza maisha iringa kisa watu walimfananisha na mwizi kuja kugundua sio yey bas washaua
You right yaaani just imagine Leo mi ndo namuona nimeona nyimbo moja inaitwa maumivu nayajua I had to search for his other songs nimeshanga he has a beautiful voice and lots of songs halafu hajulikani sana I kinda felt sorry for him since he's super good angefunika wale wote wa singeli coz nyimbo zake zinajumbe zinaweza sikilizwa na kila mtu siyo kama singeli zingine daah Yani I'm out of words
tumezoea singeli kuchezeka tu bila ujumbe lakin mfalme ninja umekuja na mapinduzi mapya ya singeli yenye ful ujumbe big up sana

Nime ikumbuka leo naipenda hii nyimbo❤❤❤ 9/7/2024
Nakubali yusuph ninja mshikaji wako hp Hija boy mburahat moja
Mwamba mfalme ninja umetisha nakubali kaka kazi zako ✊✊✊
Ppppppp
Bonge la nyimbo ila umekosa tu exposure! lots of love from South Africa.
You right yaaani just imagine Leo mi ndo namuona nimeona nyimbo moja inaitwa maumivu nayajua I had to search for his other songs nimeshanga he has a beautiful voice and lots of songs halafu hajulikani sana I kinda felt sorry for him since he's super good angefunika wale wote wa singeli coz nyimbo zake zinajumbe zinaweza sikilizwa na kila mtu siyo kama singeli zingine daah Yani I'm out of words
Shemela umenikosha nikiwa oman nakupata vizuri msalimie nyoka pande za kisiwani to kinondoni
Nimeilewa sana big up
Nakupenda sana ninja coz unaimba point za msingi😘😘😘
Xjaskia Hap Kweny Bandali😮😮
Bonge la nyimbo nilikua nalitafuta sana
Big up Ninjaaaaa
Hii xungl imekuj tofaut xan inajmb unaoelewka
Mzik Wang umetoka kwauyu mwamba
Naqubali 🙌 sana
nimekubari mfalme ninja sarut
Aliyeitafuta hii nyimbo 2022 nana
2024
Mbona kama unachochea wizi nyote wezi aijarishi wa mia tano au bilion
bonge la nymbo video kali
nakubar nakubar xana mzeee baba ivoooooo yan
such a gud song hii singeli bora ina maana sana
Wale tuloifuata 2022 dondosha like
Mimi nasema ukweli yaani huyu jamaa anajua mpaka loho yangu inauma ivi mbona simusikiii sikuiz mfalme ninja jamani kijanayupovizurii
hatariii
Nakubali ninja saruty
Dah unakua sasa ninja
Wimbo mzuri ila kakosa talent
ELIV TV . BASE AFRICA ...Em jaribu yako tukusikie mkuu
Hongeraaa 26-12-2021
Hiiiii ngomaaa kaliii
Respect xn brw
duh!!!!;;;;;;;! ni shda
nzuri kinyama asee
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huo so comment kwe ye visingelii ila huyuu dogo ananikosha unaimba kisingeli chakoo peke ako
nakukubari sana
❤
heshima kk mkubwa
nishidaaa
Hahh hatarii
NICE VIDEO
nakubal.ninja
Hussein Rashid Hussein makini
Og
tumezoea singeli kuchezeka tu bila ujumbe lakin mfalme ninja umekuja na mapinduzi mapya ya singeli yenye ful ujumbe big up sana
unajua sanaa ninjaaa
2024