@@nk-computertraining hapana mwl siyo mazito hii kama sijayapa pengine nikayapata hapa hii kwangu inakuwa ni kweli pia kinachowafanya kuwa hivyo ni kwa sababu mnafafanua Hadi mlengwa anakuwa anakubali hakika kwangu NK Computer Training ni chaguo sahihi
@@nk-computertraining Nakukubar sana Mwalimu wangu sijujua kama tutafika hatua hiii ya kuandika program zetu wenyew.. Pia Mwalimu husisahau kozi hizi kutuwekea kwenye playlist.
Hapa mwalimu naona kabisa Kuna baadhi ya Mambo sisi wa offline utatuacha tafadhali mwalimu zile function na $varname za cs50 nyingi Zina Leta error offline
Nilikuwa nataka somo hili kwa hamu sasa lilivyoanza nakaa mkao wa kula si banduki mpaka kieleweke NK Computer Training ever is the number one 1
Duh Mr. ni maneno mazito sana, asante sana sana.
@@nk-computertraining hapana mwl siyo mazito hii kama sijayapa pengine nikayapata hapa hii kwangu inakuwa ni kweli pia kinachowafanya kuwa hivyo ni kwa sababu mnafafanua Hadi mlengwa anakuwa anakubali hakika kwangu NK Computer Training ni chaguo sahihi
Asante sana sana ndugu maneno yanatia moyo zaidi.
Ahsante kaka, Mimi nipo chuo nasoma kozi ya IT, .
Nimelipenda Sana hili somo kaka🎉🎉🎉🎉
Asante nawe Mr. Sam na Karibu sana sana katika Channel yetu.
good
Asante sana, tunatarajia kuwa nawe ni miongoni mwa wanaosoma Lugha hii.
Mm nakuombea uzima tuendelee kukufaidi. Mungu akubariki sana mwalimu
Ameen ameen, asante sana Mr. Michael
Nipo Mwalimu ✋✋
Sawa asante Mr. Muhsin nyi ndo waanzilishi wa NK lazime tuwe pamoja daima.
Bndika bandua e!
Mwalimu New King uko serious sana!
Asante Mr. Dominic, tunataka tufike waliko, tuwe More Than A Professional.
@@nk-computertraining
Nakukubar sana Mwalimu wangu
sijujua kama tutafika hatua hiii ya kuandika program zetu wenyew..
Pia Mwalimu husisahau kozi hizi kutuwekea kwenye playlist.
Shukrani kk
Shukran nawe pia ndugu.
Yaani nitakuganda wew, Mbona utanichoka huku ndani ngoja nifanta IDE Kwanza
We kaa vizuri tu, mpaka tuwe More Than A Professional.
Thanks tcha
You're welcome.
Lakini mwalimu ili usi lete mkanganyiko tunaomba fundisha kupitia offline cs50 ide imeondolewa kwa offline tupe mbinu mpya
Sawa nimekusikia na mbinu zinakuja kaa mkao wa kula.
Mwalimu lete somo la HTML, CSS bigginer
Linakuja usijali hii kozi mbele yake kuna html we jiandae tu.
thanks
Hapa mwalimu naona kabisa Kuna baadhi ya Mambo sisi wa offline utatuacha tafadhali mwalimu zile function na $varname za cs50 nyingi Zina Leta error offline
Usijali tatapata suluhisho tu Hii ni NK tunataka sote tuwe More Than a Professional.
Aaa kaka weee mimi umeniyachambali maelezo mingi na mifanomingi sisi wengine vichwa maji kaka punguza soga
Sawa tutajitahidi kupunguza mifano.