Government demolishes houses near river banks in Mukuru kwa Reuben

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 99

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 7 หลายเดือนก่อน +13

    Mbona mnateta sana hiyo place ni risk sana mbona nyinyi wenyewe hamuoni muhame kwani mnataka kusomba na maji ndio tulalamikie Ruto na sakaja vile watu wamezoea kwenda huko toka huko haraka sana hongera president wetu

    • @ounzwayz
      @ounzwayz 7 หลายเดือนก่อน +1

      utawatumia pesa ya kuhama? wanaeza kuja kwako wasinyeshewe during this period?

    • @thukusimon
      @thukusimon 7 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@ounzwayz hata wakijenga hapo walijua ni illegal

    • @AndrewKyule-ce4iy
      @AndrewKyule-ce4iy 7 หลายเดือนก่อน

      @@thukusimon wewe ni mkikuyu mjinga sana.Kwa kichwa ni mavi imejaa

    • @AndrewKyule-ce4iy
      @AndrewKyule-ce4iy 7 หลายเดือนก่อน

      sasa hata wakitoka wanatoka waende wapi .Ni aibu sana kuona jimama kama wewe mwenye anaongea ili afurahishe watu.Kiboko chako kimotoni.Mark those words.Wewe na wenye wanabomoa mnafanana na kichapo ni hapahapa.Usijali utakumbuka maneno yangu kikikuramba

    • @mrpsm2737
      @mrpsm2737 7 หลายเดือนก่อน

      I can't understand it. Wewe ukiambiwa ama utaenda wapi?

  • @alicemumbi7585
    @alicemumbi7585 7 หลายเดือนก่อน +7

    Watu wakikufa Maji....Ruto
    Mkiambiwa mhame musikufe... Ruto
    May God strengthen Ruto coz he has gone through Soo much since he took over leadership.
    May God forgive us as Kenyans 🙏🙏🙏

    • @thuita2tiime
      @thuita2tiime 7 หลายเดือนก่อน +1

      i mean maybe i don't get it but i always thought ukiuliza kazi kuwa tayari kuifanya

    • @JoyceAntony-gm1rs
      @JoyceAntony-gm1rs 7 หลายเดือนก่อน

      48 hours they was given what they have been waiting? Ignore Kenyans pay place

    • @antonywambuguofficial
      @antonywambuguofficial 7 หลายเดือนก่อน +1

      They should have been relocated even if ni kwa mashule.... 48hrs sai kupata nyumba ni stress...

    • @thuita2tiime
      @thuita2tiime 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@JoyceAntony-gm1rs you mean to tell me if someone gave you a 48 hr ultimatum to move from your home knowing very well you don't have anywhere else to go you'd be okay with that

    • @Mike-tp8sg
      @Mike-tp8sg 7 หลายเดือนก่อน

      We ni fala

  • @stevegeee298
    @stevegeee298 7 หลายเดือนก่อน +2

    Why Mukuru ?????.We have people in Runda spring valley south C who have built on riparian areas yet their houses are still standing.Same in Outlying upmarket estates in Athi river

  • @faithgatwiry
    @faithgatwiry 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nairobi river needs space. Sometimes it sweeps houses and people

  • @jimmymaina9846
    @jimmymaina9846 7 หลายเดือนก่อน +2

    People stop acting as if the government is wrong on this. Or mnangoja watu wakufe juu ya kuunda nyumba kwa mtoni alafu bado mlaumu serikali haikufanya kitu na tena nyinyi mnajua hizo nyumba vile huwazimeshikana ata serikali ikitaka kuokoa watu incase of disaster inakuangumu juu hakuna njia. Then watu wawache kusoma hakuambiwa juu waliambiwa everywhere. Let's stop all this acting kila mahali na tukuwe serious about protecting our people from unnecessary deaths

  • @maryann2463
    @maryann2463 7 หลายเดือนก่อน +4

    But my people hata kama you forgets izo nyumba ziko juu ya mto and what is to demolish them.but watu waokolewe instead of kuamka watu wote wameenda na maji let.s us stand with them when they are atleast alive iyo place ni dangerous sana

    • @rebeccakuchio6807
      @rebeccakuchio6807 7 หลายเดือนก่อน

      Very true, lakini the government fails it's job,by never stopping people not to build in the first place.
      This couldn't have happened

  • @thukusimon
    @thukusimon 7 หลายเดือนก่อน +4

    Before you complain remember the structures were built illegally ni kama tu ukajenge kando ya barabara. Yes ni nyumba za watu but again wamevunja sheria kukaa hapo so serikali haina responsibility kuwahamisha

    • @AndrewKyule-ce4iy
      @AndrewKyule-ce4iy 7 หลายเดือนก่อน

      ebu endeni mkalipe tax ya avocado.Mkikuyu mshenzi

  • @kenmutesh4265
    @kenmutesh4265 7 หลายเดือนก่อน +4

    the fact that huwa wanapeana notice watu wanakataa. but now actually be thankful instead we experience another tragedy ka ya mahi mahiu

  • @tonyokech2159
    @tonyokech2159 7 หลายเดือนก่อน +4

    I don't want to cry let me hold my tears

  • @jameskihonge7449
    @jameskihonge7449 7 หลายเดือนก่อน +5

    Clueless government. Mbona mikakati, tumepanga tumetenga, tumetoa. Think ahead

  • @carolinemusimbi9232
    @carolinemusimbi9232 7 หลายเดือนก่อน +3

    Have they settled them somewhere? This government!😢

  • @marksebesto6750
    @marksebesto6750 7 หลายเดือนก่อน

    Si wapewe hizi manyumba za affordable housing.?

  • @BornIn82
    @BornIn82 7 หลายเดือนก่อน +11

    Serikali more than happy to screw it's people and blame the weather.

    • @philiponkui8650
      @philiponkui8650 7 หลายเดือนก่อน

      When the weather screws them you will still blame the government for slow response, jeez

    • @BornIn82
      @BornIn82 7 หลายเดือนก่อน

      @@philiponkui8650 who do you think allowed those settlements in the first place? Shenzi.

    • @philiponkui8650
      @philiponkui8650 7 หลายเดือนก่อน

      @BornIn82 I don't care who allowed, people in their sane mind know its not right, and then go ahead to settle near a river? and then later blame the government for illegally allowing you? You are mad.

    • @BornIn82
      @BornIn82 7 หลายเดือนก่อน

      @@philiponkui8650 you must be fun at parties. Kojoa ulale, ama uende ukasali, whichever applies.

    • @philiponkui8650
      @philiponkui8650 7 หลายเดือนก่อน

      @@BornIn82 were heri babako angemwaga nje

  • @ChumanaSusi
    @ChumanaSusi 7 หลายเดือนก่อน

    Ruto andelea na kubomoa hizo mabanda hatari kwa maisha ya wananchi. Kisha endelea na affordable housing umalize hi aibu ya slums kenya

  • @peterkariuki9475
    @peterkariuki9475 7 หลายเดือนก่อน +2

    Watu ni wale wale tu they are difficult, they biuld on reperian land and expect mercy because they Custed their vote for hustler nation .

  • @Kajokejiking
    @Kajokejiking 7 หลายเดือนก่อน

    Kwani serikali ndiyo iliwambia mjenge kwa njia ya mto,tena mkibebwa na maji serikali saidia.

  • @jameswesonga9189
    @jameswesonga9189 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aliwapa serikali kuwalinda, Ruto akawapa notice Monday, maji hayatawapa notice, yatawasomba mkilala. Ni machungu kupoteza mali, lakini bora uhai. Tumienin hii nafasi mmepewa na Mungu kupitia kiongozi wake kutafuta namna sio kulaanai mtu anawasaidia

    • @AndrewKyule-ce4iy
      @AndrewKyule-ce4iy 7 หลายเดือนก่อน

      wataenda wapi juu hata nyinyi wakale mkona utoto sana

  • @monicanjoroge8842
    @monicanjoroge8842 7 หลายเดือนก่อน

    Huko ni kwenu aje? Wacheni ujinga tokeni. Uchungu ya illegal occupancy. Nyinyi wrote mko na makwenu mnajenga tunyumba kando za mto harafu mnalialia. Kwendeni kabisa!

  • @austinolale4055
    @austinolale4055 7 หลายเดือนก่อน +1

    The hearts of people are hurt when the lands are occupied.What did the government do

  • @fredrickochola77
    @fredrickochola77 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ruto Ruto Ruto has turned against hustlers..serakali ya wanyonge inanyonga voters..

    • @danielmbatha5525
      @danielmbatha5525 7 หลายเดือนก่อน

      do blame Ruto blame grabbers on the riparian land period

  • @JoyceAntony-gm1rs
    @JoyceAntony-gm1rs 7 หลายเดือนก่อน +2

    Notice been given by president on Monday Kenyans???

  • @evanskipchirchirngeny9005
    @evanskipchirchirngeny9005 7 หลายเดือนก่อน

    That is not a good decision.... I feel your pain mama 😢

  • @marrielsarah5475
    @marrielsarah5475 7 หลายเดือนก่อน

    Kina kamau hapa na njoroge naona wanafurahia sana,,,kitawaramba,,,,tuh

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama namjua..ye huuza malimali apo

  • @bernardmasai6287
    @bernardmasai6287 7 หลายเดือนก่อน +1

    God have mercy for YOUR people

  • @perisfolkert8285
    @perisfolkert8285 7 หลายเดือนก่อน

    This is what he wants when children mothers are crying, one day he will pay, no wander God is angry with him. Continue but you're day will come.

  • @anthonykaranja8965
    @anthonykaranja8965 7 หลายเดือนก่อน +2

    nyamazeni serikali ilimpea 48 hrs wacheni kihere

  • @annewenjiku-oc8bk
    @annewenjiku-oc8bk 7 หลายเดือนก่อน

    Maskini mwenye kuaginza zimbomolewe mungewambia wahame maskini weeh mnataka kupigwa nyinyi gova ya ruto ogopa mungu muwe na huruma kilio cha watu nikibaya

  • @JaneMacharia-t4c
    @JaneMacharia-t4c 7 หลายเดือนก่อน

    Tokeni haraka msikufe muanze kusema serikali saidia

  • @nambuyascovia8994
    @nambuyascovia8994 7 หลายเดือนก่อน

    Too painful

  • @Yuca878
    @Yuca878 7 หลายเดือนก่อน

    Wangetoa vitu zao aki 😢😢😢😢

  • @joicefinthuku8751
    @joicefinthuku8751 7 หลายเดือนก่อน

    Am sure your given notice

  • @margretmachora
    @margretmachora 7 หลายเดือนก่อน

    that's good huyo mama alinifukuza kama umbwa

  • @ValentineOkello
    @ValentineOkello 7 หลายเดือนก่อน

    Mlitaka ruto 😂😂😂😂

  • @dotytydo2342
    @dotytydo2342 7 หลายเดือนก่อน

    Aki Uhuru rudi kwa debe hiki cgengene nikukula midomo tu heri Uhuru agewalipa atakaa nizakuama sio kuambia mtu nenda na uchumi hii wataka haende wapi naapo labdha ata anadahiwa

  • @tabithamuthoni9840
    @tabithamuthoni9840 7 หลายเดือนก่อน +1

    48hrs

  • @danielkimani5720
    @danielkimani5720 7 หลายเดือนก่อน

    Azimio goons waende kwao wakalime mahindi bei ipungue hawa watu wako na kwao

  • @RICHARDCHEMWETICH
    @RICHARDCHEMWETICH 7 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢😢Government did not doing good

  • @AMMOHL
    @AMMOHL 7 หลายเดือนก่อน +9

    The government gave you 48hrs notice, you ignored the warning

    • @JoyceAntony-gm1rs
      @JoyceAntony-gm1rs 7 หลายเดือนก่อน

      Yes notice was given awhole country Kenyans??

    • @jameskihonge7449
      @jameskihonge7449 7 หลายเดือนก่อน +3

      48 hours are not enough to move a family especially to unknown destination.

    • @AndrewKyule-ce4iy
      @AndrewKyule-ce4iy 7 หลายเดือนก่อน

      akili unayo bt inakaaa matope ndio mingi kichwani

    • @oddahoward4902
      @oddahoward4902 7 หลายเดือนก่อน

      Never laugh at the poor people. What could they have done within 48 hours notice ? Move to which safe area when these people are you struggling to live?

    • @AMMOHL
      @AMMOHL 7 หลายเดือนก่อน

      @@AndrewKyule-ce4iy heri wewe uko Na sewage sludge veins zako....

  • @robertkabuthia2781
    @robertkabuthia2781 7 หลายเดือนก่อน

    Woi..they should have been given time jameni

  • @korirassa
    @korirassa 7 หลายเดือนก่อน

    Mlikua mumepewa 48hrs

  • @shakimchemist7196
    @shakimchemist7196 7 หลายเดือนก่อน +1

    Si serikali si mvua si ajali....God protect the poor

  • @danielkimani5720
    @danielkimani5720 7 หลายเดือนก่อน

    Huko ni base ya azimio goons warudi wakatege samaki

  • @decoloniz_afro
    @decoloniz_afro 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bomoa all slums and some other useless buildings in east Nairobi.... Nairobi doesn't look like city but one big slum where water can't find it's way

  • @kelvinjacobs4211
    @kelvinjacobs4211 7 หลายเดือนก่อน +1

    Today's kenya😢

  • @Brickyadventures26
    @Brickyadventures26 7 หลายเดือนก่อน

    Ruto is the devil worse than adevil

  • @gladyschepkorir6789
    @gladyschepkorir6789 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwendeni huko! Mnataka kufa maji? Mnaokolewa maisha na mnatete na kulaani serikali. Binadamu huwa wanaridhika kweli?

    • @JoyceAntony-gm1rs
      @JoyceAntony-gm1rs 7 หลายเดือนก่อน

      They should go back where they was born mukuru kwanjenga not home they was given 48hours Kenyans???

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hasoraaaa atawale mirere😂😂😂😂

  • @elvismutua1749
    @elvismutua1749 7 หลายเดือนก่อน

    This is stupidity of the highest order.Watu wako kwa shinda na wanaongezeea shinda ist not fair

  • @NancyWanjiru-g9p
    @NancyWanjiru-g9p 7 หลายเดือนก่อน

    Woi