Guys! we have to understand and diffreciate between music and anasheed! music has instrumental while anasheed has not!... Anasheed has no any sin, I've many of the big scholars like Mishary Rasheed Al Afasy is also making anasheed. let's not being brain washed by others. Allah knows better
SUBHANALLH!!!!!!!TWAELEKEA WAPI WAISLAMU KWA SS????YAPI MANENO MAZURI ZAID YA QUR'AN???LEO TWAYASIFIA HAYA BADALA YA KUMUOMBEA ALLAH NDUGU NA SHEIKH WETU KURUDI KTK USAWA SISI TWAMPONGEZA.....MMMH
@@kilongozisalafi6231,nabii Mohammad hakufundisha wala kusali tharawee misikini lakini sasa hivi nisuna kubwa kusali tharawee misikini, jeneza zilikua za wazi lakini fatima bint rasullah akasema jeneza zifinikwe na mpaka sasa jeneza zinafinikwa japokua wengine bado wanatumia za wazi, kaswida bila kinanda haina uharamu wowote msidanganye hapo na mnakesha kusikiza miziki yakina diamond, je mtume alikutuma usikize miziki yakina Alikiba! Hilo ni shairi lisilo na mziki hivyo basi sio vibaya
ewe Allah tusamehe na utujalie na kutuongoza katika mapito yetu,(
I FEEL LIKE CRYING WHEN AM LISTENING THIS NASHEED, YA ALLAH, YA RAHEEM ,YA MALIK ,YA QUDDUS ,YA JABBAR.. PLEASE FORGIVE US
husnat gamaah SWAHIHI KABISA
NI MARAYANGU YA KWANZA KUSKILIZA NASHID KWA UTUO LKN HII NIMEIRUDIA.NA IMENIGUSA .YARABIY TUKUBALI NA UTUSAMEHE .
Allah tujalie aghalaki na mwisho mema
Masha allah !!sikujua before , sheikh yussuf adi unatoa nasheed ,
Ya Allah tustiri waja wako ameen
Allhamdullaah mungu akuwe shee yusufu akupe umli mrefu naakupe elimu naufahamu uzid najihad nakulingania nakutukumbusha din amina
Naipenda saana hiii nasheed
Masha Allah
ALLAH AKUJALIE HUWEZE KUFANYA ZAID YA ULIPO FIKIA.SABABU AJABU NAMNA GANI NAFSI YANGU HUTULIA PINDI NINAPOKUA NA HUZUNI KWA KUSIKILIZA QASDA KAMA ZAKO
Ni njia nzuri pia ya kufikisha ujumbe mungu akujalie
Allahukbar Allahukbar nasheed mashallah yallah tusamehe makosa yetu na utupe ismullhatima yarabbi sheikh wetu Allah akuhifadhi na akulipe kwa jitihada zako
Aminaaaa🙏🙏🙏🙏
YARABI MUNGU UTUSAMEH WAJA WAKO. AMEEN
yaraba nisamehe mm nakubali yote niliyo yateda yarahimu rehemuni kanja
Mashallah shk yusuf abdi swalah very inmportan
Mashaallah yazakallahul khair❤
inshaalah nirithia arab
mashaalaha sauti mzuri
mashaalah sheikh yusuf endelea kutunufaisha
Mashallah
MashaAllah sichok kusikiliza
Lovely words💞 so sad😔
MUNGU AKUJALIE NASHEED KWANI NI CHANGAMOTO KATIKA MAISHA ALLAH
AKBAR
good
Mashallah Allah bless u buddy ,this is fantastic Qaswida
Maashallah Allah bless you Inshaallah
Jazakallahul khayyyyyyyr bi jayidiannashiyyd
yarabi sioni wakumoba msamaha ila wewe yarabi gefirini yaala alahuma samehini ninalothaka niahera nikifika iwe pepo yanguu yarabi wewe jaluwajalu yarahimani rahimu wewe ndiwe upo keaye toba yarabi rehemuni 9, 8, 20017 handj
shukran jazak allah kher .
Subhanallah
Alhamdulillah
jitahidini kutuelimisha kwan islam ndio dini sahihi mbele ya allah.
😭😭😭🤲🤲🤲🤲
mashallah allah yabarik
God bless you brother
Inshaalah amin
maashallah
MASHALLAH NICE NASHEED.GREETINGS FROM ZAHIR AND FAMILY FROM LEICESTER U.K,
mashala sheihe yusufu ala akupe kilalahera nakutufunza mema
Masha Allah
Nani anaangalia hii mwaka 2024/25
Yarrabi tupe mwisho mwema
Subhana llah❤
Other bast My Allah bless you
MashAllah,
alaa akupe kheri hapa dunian an akhera nakoakupe mema waalahi tukisikiza maneno yako yatujenga . handija saidi
yaalal yarabi
mash bro ni mwenenyu undavunda rikodi
Sisi wakosefu kila mda tunakuuzi mora
☝️
mashallah allahu barik
uisilamu dini iliokuja Jules amani amutakaye rahimani atafanikiwa
nakuipongeza afirca tv kamana Mungo ajali vema
Mashallah jazaka Allah kheir
mashala raba athiki athiki kheri
Guys! we have to understand and diffreciate between music and anasheed! music has instrumental while anasheed has not!... Anasheed has no any sin, I've many of the big scholars like Mishary Rasheed Al Afasy is also making anasheed. let's not being brain washed by others. Allah knows better
Nitaweza vipi kuzipata kwenye apple?
SUBHANALLH!!!!!!!TWAELEKEA WAPI WAISLAMU KWA SS????YAPI MANENO MAZURI ZAID YA QUR'AN???LEO TWAYASIFIA HAYA BADALA YA KUMUOMBEA ALLAH NDUGU NA SHEIKH WETU KURUDI KTK USAWA SISI TWAMPONGEZA.....MMMH
Kakosea wapi?
@@fatumamwalimu5765
Alipokosea Nikufanya Jambo Ambalo Mtume wetu Alayhis ssalaam Hajalifanya.
@@kilongozisalafi6231 ,kafanyaje?
@@fatumamwalimu5765
Ameimba Anaashiyd,Nahili Halijawahi Kutokea Kwa Mtume Wetu kulifundisha wala Kulifanya Yy.

MainshaAllah