Amina amina.Wimbo mtamu sana. Da Sarah, Bwana YESU akubariki na akuatamie. Napenda utumishi wako katika shamba la Bwana. Nyimbo zako zapatikana wapi Arusha au Nairobi?
Merci beaucoup avec cette belle chanson une très belle voix de puis le Cameroun je coûte tès chansons merci que dieu te bénisse et protège j'aime tes chansons je coûte toujours ça chaque jour
Amina amina.Wimbo mtamu sana. Da Sarah, Bwana YESU akubariki na akuatamie. Napenda utumishi wako katika shamba la Bwana. Nyimbo zako zapatikana wapi Arusha au Nairobi?
So nice.Achana nao 🤍
Huna baya unazid kutubarik
Amen historia yangu imebadilishwa na Mungu
Nyimbo zako unibariki sana 🔥
Daah wapi congrats za Sarah jamani,,,
Am here from tiktok
❣️❣️❣️ nice song dear May God continue lifting you
Baraka tele @magesa
it is a very nice and true song...May God keep Enlarging you and your Ministry Magesa
Nakupenda sanaaa asnte yesu kwautumishi ullioweka kwa Sara Mungu akupake mafuta mpya ya uimbaji Kila leo
Kazi nzuri saaana mtumishi wa Mungu barikiwa saana
Kazi poa sana Mungu aendelee kukuinua dadangu 🙏🙏🙏
Amena Sarah Magsa ubalikiwe
Kabisa Dunia Hii imechafuka kwasababu yawanadamu Mungu akubaliki
Sauti nyororo kama ya ndege daah,,I must follow your steps congrats congrats mpenzi
Historia ni historia, tugange yaliomo na yajayo. I love it🔥❤️❤️👍
Mimi wa kwanza
❤❤Sarah napenda jinzi Mungu anakuinua kutoka hatua Hadi hatua,,,naamini sana Mungu wako ni Mkubwa zaidi kwa hiyo huyu Mungu wako ni wangu pia,
Amen and amen 🙏🙏 be blessed ❤️🇰🇪👏
Amen Amen and Amen 🙏 nice song ❤️ much love from kenya 🇰🇪
Keep the fire burning dear
atali sana 🔥🔥🔥
Kazi nzuri sarah magesa hata mimi Raphael Otuke nimefurahishwa na kibao hiki
Merci beaucoup avec cette belle chanson une très belle voix de puis le Cameroun je coûte tès chansons merci que dieu te bénisse et protège j'aime tes chansons je coûte toujours ça chaque jour
Amina mtumishi wa mungu hongera dada kwa huo wimbo
Sawa
Be blessed Sarah ni mungu ana kuongoza
Wewe ni WA juu sanaaaaaaaa❤❤❤❤❤
Nakupnda sana Magesa❤❤❤ nyimbo zako Zina nimotivate
Amen barikiwa sana dadangu mungu azidi kukuinua🙏🙏🙏🥰🥰🥰
Nyimbo Kali Sana mama ubarikiwe sana
Umeishiwa mashairi, nyimbo inachamba tu
Wonderful song 🎉 pia mimi nina amini nimebarikiwa na nitazidi kubarikiwa. Naomba likes zenu ndio nirudie kusikiliza kila wakati
BUANA YESU AKUBARIKI SANA CHANTRE SARAH MAGESA.
Mumy I love you ,you are a blessing 🙌 ❤❤❤🇪🇺🇪🇺🇪🇺kenya 🇰🇪 ❤ 💖
Nakupenda bure
Amen. thank you Lord🙏🏻
Your ministry is full of glory ❤
That's great
Kweli kabisa, ubarikiwe Sarah
Good song dear you always bless me a lot
Mungu akuinue na akubaliki
Nice 👍 song
Kwa Hakika penzi langu kwako ni la kweli...I love you dear...any song you release inspire me alot dear😢
Kweli kabisa
Nime barikiwa na nyimbo zako zana zana jina LA mungu iinuliwe amen
Glory to God almighty...the most high God.
A beautiful song 🎵 ❤
Ahsante dada. Mungu akuzidishie❤
Wimbo mtamu sana
Ya kale yamepita Mimi ni MTU mwingine nimesamehewa historia ishabadilika
Amen 🙏🙏
Amen 🙏 ❤, blessings
inspirational...more and more grace
Ameen ❤❤
❤❤❤
Amen Amen barikiwa sana Mtumishi wa Mungu wimbo mzuri sana
Awesome ❤
Amen 🙏 🙏 🙏
This is gorgeous 🥰❤