Tanzania, Tanzania Nakupenda kwa moyo wote Nchi yangu Tanzania Jina lako ni tamu sana Nilalapo nakuota wewe Niamkapo ni heri mama wee Tanzania, Tanzania Nakupenda kwa moyo wote. Tanzania, Tanzania Ninapokwenda safarini Kutazama maajabu, biashara nayo makazi Sitaweza kusahau mimi mambo mema ya kwetu kabisa Tanzania, Tanzania Nakupenda kwa moyo wote. Tanzania, Tanzania Watu wako ni wema sana Nchi nyingi zakuota nuru yako hakuna tena Na wageni wa kukimbilia ngome yako imara kweli wee Tanzania, Tanzania Heri yako kwa mataifa. Tanzania, Tanzania Karibu wasio na kwao Wenye shida na taabu Kukimbizwa na walowezi Tanzania yawakaribisha Tuungane kiume chema wee Tanzania, Tanzania Mola awe na we daima.
Absolutely stunning! What wonderful voices and instrumentalists! And as for the soloist, truly amazing! Thank you. And God bless Tanzania and all Tanzanians.
The soloist! A powerful and organized "instrument"!!! The Chorus by St. Kizito, the instruments, the arrangement,... the song, the lyrics,... So nice, healing and entertaining.
Sitaweza kusahau mimi Mambo mema ya kwetu kabisaaa Tanzania Tanzania Nakupenda kwa moyo wote UMEBADILISHWA LINI HUU WIMBO MAANA SIJASIKIA HIYO PART anyways , such a masterpiece 🙌🏼🙌🏼🙌🏼👌👌👌👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Dar Choral Society (DCS), an inclusive musical group in the East African country of Tanzania based in Dar Es Salaam, has been building bridges between all cultures with the diversity of its membership in its long heritage of over 70 years of performance. The group, founded by a European community based in Dar es Salaam, has enrolled musicians from Kenya, Norway, the United Kingdom, Japan, South Africa, Tanzania and the United States to promote social change through music. While music binds the members of the group, in their daily lives they are corporate managers, teachers, lawyers, accountants, marketers, diplomats, doctors and students.
Mmechemsha yaani mmevuruga ingawa hongera Kwa kufanya Kwa sehemu yenu (sitaweza kusahau mimi mambo mema ya kwetu kabisa..sio mstari wa kupuuza,mpangilio wa vyombo vya mziki sio muhimu kuliko huo mstari)
I remember this song in 1968 when we marched from Mwanza to Butiama. I am sad that the song has been cannibalized to fit the western society. This is not we intended when we marched to Butiama.
Tanzania, Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania, Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.
Tanzania, Tanzania
Ninapokwenda safarini
Kutazama maajabu, biashara nayo makazi
Sitaweza kusahau mimi mambo mema ya kwetu kabisa
Tanzania, Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.
Tanzania, Tanzania
Watu wako ni wema sana
Nchi nyingi zakuota nuru yako hakuna tena
Na wageni wa kukimbilia ngome yako imara kweli wee
Tanzania, Tanzania
Heri yako kwa mataifa.
Tanzania, Tanzania
Karibu wasio na kwao
Wenye shida na taabu
Kukimbizwa na walowezi
Tanzania yawakaribisha
Tuungane kiume chema wee
Tanzania, Tanzania
Mola awe na we daima.
My gosh. This is brilliant and beautiful. Asante. Love the pride. And what a soloist.
Absolutely stunning! What wonderful voices and instrumentalists! And as for the soloist, truly amazing! Thank you. And God bless Tanzania and all Tanzanians.
Oh wow!!!!
Given Nkosi
Napenda izi imbo zote 3: Tanzania&sous Africa& Mozambique
Goosebumps and tears i love you my country🇹🇿🇹🇿
Amazing tenor
TANZANIA, nakupenda kwa moyo wote.
TANZANIA, I love you with my whole heart.
Naanzaje sasa kukimbia nchi yanguuu,, blessed Country, blessed Tanzania
Beautiful just beautiful ❤️
Safi na mzuri sana!!
Tanzania Tanzania 🇹🇿
Nakupenda kwa moyo wote
Hakika naipenda nchi yangu mkono wa kuume wa Dunia mzaliwa wa pili wa Mungu naipenda Tanzania
Taifa lenye utele wa joto la ukarimu, taifa la pekee sana. Najivunia kuzaliwa Tanzania milele!
We need you to redo our national anthem Mungu ibariki Tanzania…the old version haina enough bass kama South African’s plus it sounds too old ..
Amazingly beautiful!
Wonderful. Really enjoyed it. Asante sana.
Now this version brought tears to my eyes because it was a song we sang as kids during Chipukizi! 🙌🏾🙌🏾
The soloist! A powerful and organized "instrument"!!!
The Chorus by St. Kizito, the instruments, the arrangement,... the song, the lyrics,... So nice, healing and entertaining.
Proudly Tanzanian! 🇹🇿
Never seen this before🎉❤
Shoot and Directed by EK ( my first Orchestra project to Direct) #memories🇹🇿#Dar Choral Society
2023
I'm missing you so much Tanzania.... Very proud to be your son
I love you my Tanzania🇹🇿❤
🇹🇿
So powerful I'm in tears...
I love My country.... Tanzania
Lovely to hear this beauty from all participants. Stunning.
Its amazing, my heart melt by just listening to this.....I love my country
This is beautiful...hongera Sana Hekima and the whole Dar es salaam choral society
Huyu bwana anaitwa hekima nani nataka nimtafute
Sawa lakini wamevuruga (sitaweza kusahau mimi mambo mema yakwetu kabisa sio mstari wakupuuza)
In 2022 am enjoying this amazing orchestra. Beautiful..
Ilove you Tanzania
I love My mother country Tanzania , I love Africa in general
Guys, this is so damn good!🙌🙌🙌🙌. You can belt out notes.
This is soooo good. Big up the Dar es Salaam Choral Society
Nkosi`s voice will always be one of the best. nice tenor poi..
I went to heaven...
This is TALENTTTT!!!
Khalila Mbowe please send me your contact if you won't mind
Sitaweza kusahau mimi
Mambo mema ya kwetu kabisaaa
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
UMEBADILISHWA LINI HUU WIMBO MAANA SIJASIKIA HIYO PART
anyways , such a masterpiece 🙌🏼🙌🏼🙌🏼👌👌👌👌🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Thank you guys 4 so much love in my country yes its true this nation is very beautiful and peaceful
Awesome!I love you my Tanzania..! Thank you for the piece guys
So where is this society based?
Dar Choral Society (DCS), an inclusive musical group in the East African country of Tanzania based in Dar Es Salaam, has been building bridges between all cultures with the diversity of its membership in its long heritage of over 70 years of performance. The group, founded by a European community based in Dar es Salaam, has enrolled musicians from Kenya, Norway, the United Kingdom, Japan, South Africa, Tanzania and the United States to promote social change through music.
While music binds the members of the group, in their daily lives they are corporate managers, teachers, lawyers, accountants, marketers, diplomats, doctors and students.
If You are watching This after the Death of President John Magufuli Like. And let us give 5 mints pray For Him.
Jamani kuimba ni raha sana hongereni sana
Amaizing , proud to be part of it !!!
So wonderful nafeel touch of nationalism from the tablet of ma heart,get blessed a lot.
Najivunia nchi yangu tz
somewhere wrong,
sitaweza kusahau mimi, Mambo mema ya kwetu kabisa...
but u did well done, nice vioce
Naipenda Tanzania, wimbo unanitoa chozi
True,....mambo mema ya kwetu kabisa...hakuna
Wow!
Wow!!.... Such lovely song to the beautiful country
what a nic song !!!!,,,,,,,
Asante kwa video nzuri na wimbo wetu mzuri
Viva Tanzania viva Mangufuli
asante sana japo kunavipande mmechanganya kidogo
Najivunia kuwa mtanzania🇹🇿
What a Nice song of Patriotism Tanzania Tanzania
Hakika mkataa cha kwao ni mtumwa
Nakupenda sana Tanzania 🇹🇿
mungu wangu ayayaya hapo kwenye kuhama kii patamu sana sitasahau mambo yakwetu tz jamani mimi kamwe wimbo huu hautachuja raza yake mmeimba vizuri sana
Mimi bangla desi akram I love tanzani
Padhma Aluminium karbu
Hii ni nzuri sana. This society is doing a good job. God bless their work
Beautiful!
Hawa jamaa hatariiii
Hongereni sana
Najivunia kuwa MTANZANIA
Proud to be🇹🇿
Great ensemble
Woooooooooow
Very good
e bwana ee sio mchezo nimekubali mwanawane
However you messed up the lyrics a little bit but its okay🇹🇿
hadi mwili umesisimka asew
Miss Tanzania so much..
nzur san TANZANIA*****************************************************
Wonderful.Simply wonderful.Bravi
Great !!!!!!!
So touching
argh!! nimekumbuka sana Tanzania yangu ;(
Given Nkosi is a big talent.
it is heavenly.....so nice
this is soooo dope
Fantastic indeed
Mmechemsha yaani mmevuruga ingawa hongera Kwa kufanya Kwa sehemu yenu (sitaweza kusahau mimi mambo mema ya kwetu kabisa..sio mstari wa kupuuza,mpangilio wa vyombo vya mziki sio muhimu kuliko huo mstari)
Kunamajitu yasio na akili unaona yanasimama kwenye vyombo vya habari na kuisema vibaya nchi yake na kuitakia mabaya huo ni utahila.
Tres majestuex,i like
Majestuoso
Perfect! Spotless!
Very great!!!
Amazing
Magnifique
Wooooh nice
Nice song
Perfecto
👍👏👏👏👏👏
Beauti full
So Wonderful..
Is so impressed
Good!!
Lovely
I love choirs, where are they performing?
Dar es salaam - Tanzania...
I remember this song in 1968 when we marched from Mwanza to Butiama. I am sad that the song has been cannibalized to fit the western society. This is not we intended when we marched to Butiama.