JINSI YA KUPIKA MOMOS ZA KUKU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024
- MAHITAJI
SUPU
Mifupa ya kidari vipande 3
Maji vikombe 6
Kitunguu Maji kikuba 1/2
Kitunguu thom chembe 6
Tangawizi ukubwa wa kidole gumba
Pilipili manag nzima kiasi 8
Chumvi kiasi chako
MCHANGANIYKO WA KUKU
Gram 500 kuku alosagwa
Kitunguu kilikatwa kiasi gram 100 ( 3/4 kikombe)
Kitunguu cha kijani kilokatwa kiasi 1/4 kikombe
Thom ilosagwa Vjk 2 vya kulia
Tangawizi ilosgawa kjk 1 cha kulia
Chmvi kiasi kjk 1 na nisu cha chai au zaidi
Vjk 2 vya kulia soy sauc
Pilipili manga ya unga kiasi kjk 1 cha chai
Dania ilo katwa kiasi vjk 3 vya kulia
Samli a siagi vjk 3 vya kulia
UNGA WA MOMO KIASI 30
Unga wa ngano kikomne 1
Unga wa corn starch 1/2 kikombe
Chumvi kiasi chako
Maji ya moto kiasi kikombe 1
GARLIC CHILI OIL
Vjk 2 vya kulia chili flakes
Kjk 1 cha chai pilipili ya unga
Kjk 1 ch chai pilipili mnga ya unga
Chumvi kiasi
Kjk 1 cha kulia ufuta
Kjk 1 cha chai
Kjk 1 cha kulia ufuta
Kjk 1 cha chai thom ilosagwa
Mafuta ya kukaanga 1/4 kikombe pamoja na kitungguu thom kiasi chembe 4
UROJO WA NYANYA
Nyanya 2 za kiasi
Pilipili kabvu kiais 3 mpka 6
Dania alokatwa kiasi vjk 2 vya kulia
Maji kikomba 1 na 1/2
Chumvi kiasi
Salt to taste
Kjk 1 cha kulia thom ilosagwa
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas www.youtube.co...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
www.instagram....
Music courtesy / contemplative-middle-e...
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world
THIS RECIPE IN ENGLISH th-cam.com/video/NsEpA86KTh0/w-d-xo.html
Mashallah mamy unazidi kutupa ujuzi ALLAH akubariki inshallah Aaaamin 🤲🤲🤲
Waaaah nzuri kwa macho kweli
MashaAllah shukran habibty jazzaka llahu lkhair
Nimeipenda sana
Mashallah shukran sana habbty kwa kutufundisha mashallah waelekeza vizuri sana mungu akuzidishie.
Shukran, amin
Mashallah mamy unazidi kutupa ujuzi ALLAH akubariki 🤲🤲🤲 Aaaamin
Mashallah ❤
From 🇧🇮 mashaallah 🥰
MashaAllah, it looks delicious, shukran for shearing a good recipe ❤
Most welcome
MashaAllah!❤
Nawakubali sana aroma
Mash allah fathiya tunajifunza mapishi mengi kutoka kwako allah ndie atakae kulipa kwetu dua twakuombea daima uwe mzima wa afya utufundishe zaid tuna furahia na family zetu Allahuma amin❤❤❤
Shukran sana dear, I appreciate your support always 💕💕
MashaAllah
mashaallah
Mimi kwa kweli ni mshabik wako Sana,napenda sanaa mapishi yako!❤ My Dear..👍🏻
Shukran sana kwa support ❤🙏🏽🌹
Mashallah hasbiyallah
🙏🏽🌹💕
❤❤❤😋😋😋
Umenifanya namimi sasa naitwa chef
Hongera ❤