Tp yimejifia ndo timu kwenye masindano yote yakimataifa ambaye yimefungiwa kusajiri alafu unajisifia kuyifunga kweli Wana yanga wamechanganyikiwa. Kumiliki mpira mpira sio ushindi . Mpira ni hesabu 😂😂
Ibenge kwanza hakuna mechi ambaye ukicheza nae ataongoza ball position. Utaonga ww lkn kichapo kipo pale pale. Na club bingwa sio size ya yanga maana anacheza kitoto kama arsenal mpira mwingi lkn matokeo ziro
Mpira ni hesabati jmn sio ligi yenu mtu moja anazamini vilabu 8 ili achukuwe ubingwa. Simba kaingia mara tano robo finally club bingwa sio shirikisho sio mchezo. Sisi tunataka yanga afike tu mara tatu maana mara tano hawezi.
Mashabiki wa yanga hawataki kuwambiw ukwel.lkn huo ndo ukweli
😂😂😂 endeleeni kupiga lamri hiyo michuano sio size yenu rudi nyumbani ununue mechi
Tp yimejifia ndo timu kwenye masindano yote yakimataifa ambaye yimefungiwa kusajiri alafu unajisifia kuyifunga kweli Wana yanga wamechanganyikiwa. Kumiliki mpira mpira sio ushindi . Mpira ni hesabu 😂😂
Ww ndiyo wakuombewa siyo yanga uijui we ni hovyo
Yanga walipowafunga tp ulipata shida kuhojiwa kwa misingi kuwa hakupendezewa yanga kushinda.
Unajua umemshinda friji mechi ni ngumu kweli lkni wakicheza vizuri.
Mnafki Sana wee Jamaa
Maombi kamuombee babaako
Tunajua. Sio jambo la kutuambia.
Ibenge kwanza hakuna mechi ambaye ukicheza nae ataongoza ball position. Utaonga ww lkn kichapo kipo pale pale. Na club bingwa sio size ya yanga maana anacheza kitoto kama arsenal mpira mwingi lkn matokeo ziro
Mpira ni hesabati jmn sio ligi yenu mtu moja anazamini vilabu 8 ili achukuwe ubingwa. Simba kaingia mara tano robo finally club bingwa sio shirikisho sio mchezo. Sisi tunataka yanga afike tu mara tatu maana mara tano hawezi.
Mechi ya hilali ni nyepesi mno ibenge hawezi mpisha mwarabu yule mgalatia
Ngoja tuwaombee waje malaika wacheze nao
Yanga itapita najua roho itakuuma lkn huna jinsi,subiri Simba yako yatakayowatokea.
Ibenge ataileta ugalatia kuwabania waarabu bila hivyo ilikua kwisha habar ya yanga
Tunza hii ramli yampiga ramlihuyu
TP MAZEMBE kagawa utamu jana,Yanga hatuna chetu tena MC ALGER tayari wana 8 points
Walifungwa na tabora😂😂😂na khalid alikuepo..walikula mbili 2 algeria aucho alikuepo pia
Tabora,job na baka hawakuwepo,alhilalia aucho hakuwepo na mzinze ,lgelria job hakuwepo,think about it
😂😂😂
Hamna mcha mbuzi
Tunatoboa
Timu nane bora Africa Simba ipo,Timu bora inacheza Shirikisho? Nyang'au wewe.
Mda utaongea tu yan
Achana na wachambuzi wapumbavu wa aina huyu mbwa.
Huyu Pimbi kasahau Yanga ya Nabi ilipita wapi ?
Acha mapenz shekh.. yang ataweza kushnda dhid ya timu zinaxo ongoza????? Yuko sahhh kbsa
NABI yuko wapi??
sawa we endelea kukalili
Sioni Mchambuzi Hapa. Yanga wana uwezo wa kushinda mechi zote mbili huyo oruma hajawahi kupenda kuona Yanga wanashinda. YANGA BINGWA.
Yaan yanga mnakasirika mkion mchambuz anasem man Hali ngum😂😂😂
Yanga bingwa wa nini 😂 mnajionaga wakali kumbe mna danganyana ukweli unauma kumbe
Oruma kachambue mchele